ulinzi wa taarifa binafsi

Ulinzi wa Taarifa Binafsi
Sheria ya Ulinzi wa Taarifa ya Binafsi ya mwaka 2022 (Tanzania) inatumika kwa 'Ulinzi wa Taarifa Binafsi', ambazo ni taarifa zinazohusiana na mhusika wa taarifa (data subject). Sheria hii inawapa watu haki ya kulindwa faragha zao katika ukusanyaji, uchakataji na udhibiti wa taarifa.
  1. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Sheria ya ulinzi wa Taarifa binafsi ilitungwa kufuatwa na watu wengine tu? Waziri wa Katiba na sheria anataja jina na namba za simu za mtu

    Ni ajabuWaziri wa katiba na Sheria kutaja jina, eneo, mtu alikokuwa anafanyia kazi na namba ya simu ya mteja anayemuhudumia, haoni kuwa anavunja sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi za mtu. Au hajui kuwa hizo taarifa zinapaswa kuwa siri hazitakiwi kuwekwa hadharani kama alivyofanya yeye Waziri...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Assenga: Wananchi wengi hawana elimu ya kutosha ya utunzaji na matumizi sahihi ya taarifa, hivyo kupelekea upatikanaji holela wa taarifa

    Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Miundombinu, Aboubakar Assenga amesema ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa wananchi, taasisi za serikali ni suala la kipaumbele katika ustawi wa nchi pamoja na ulinzi na usalama wa nchi. Anasema kamati imebaini kuwa wananchi wengi wakiwemo watumishi wa umma na sekta...
  3. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Muhimu: ulinzi wa taarifa binafsi

    Tahadhari; kuwa makini na barua pepe zote zinazotumwa kupitia normal messages au kwenye email yako. Hususan zile zinazokuvutia kama scholarship, paper submission, conference invitations, mikopo na nyingine zinazofanana na hizo. Wadukuaji wengi hutumia njia hizi kupitia mbinu kama ClearFake au...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PDPC: Taasisi zote ziteue Afisa Ulinzi wa Taarifa Binafsi kabla ya 8 Aprili, 2026

    Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imezitaka taasisi zote nchini kuhakikisha zinazingatia kikamilifu matakwa ya Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, ikisisitiza kuwa kutokufuata sheria hiyo kutasababisha hatua kali za kisheria. Kwa mujibu wa Tume hiyo, adhabu kwa watakaobainika kukiuka...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) yakanusha taarifa usajili wa CCTV kwa watu binafsi

    Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imebaini kuwepo kwa taarifa zisizo sahihi zinazosambazwa mitandaoni kuwa kila mwenye kamera za usalama (CCTV) anatakiwa kujisajili na Tume hiyo. Kupitia ufafanuzi wake, Tume imeeleza kuwa si kweli kwamba kila mtu binafsi mwenye kamera za CCTV anatakiwa...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Nimefungiwa maandazi kwenye fomu ya Loss Report ya Polisi, nimepata hadi social media za mhusika! Hii ni hatari!

    Wakuu, Leo nimenunua maandazi na karatasi/kifungashio nilipewa ni form ya mtu aliyeenda polisi kutoa taarifa ya kupotelewa kitu, maarufu kama Loss Report. Ambapo muhusika alienda kuripoti kitambulisho chake cha Taifa - NIDA kimepotea. Katika loss report hiyo, kuna taarifa ya kituo alichoenda...
  7. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC): Wanaosambaza taarifa binafsi za watu bila ridhaa yao kuchukuliwa hatua za kisheria

    Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imesema kuwa mtu au taasisi yoyote itakayobainika kukiuka faragha au kutumia taarifa binafsi bila ridhaa ya muhusika au kinyume na taratibu zilizowekwa kisheria, itawajibishwa ipasavyo bila kujali hadhi au ukubwa wake. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hofu ya ulinzi wa taarifa binafsi kwa waomba kazi na wananchi: Uzoefu wangu binafsi kama funzo

    Katika dunia ya sasa ya kidijitali, taarifa binafsi zimekuwa mali nyeti yenye thamani kubwa kuliko hata fedha. Hata hivyo, kwa vijana wengi wahitimu wa vyuo, hususan wanaotafuta ajira au kujihusisha na mifumo ya taasisi mbalimbali, ulinzi wa taarifa binafsi bado ni jambo linalotia hofu kubwa...
  9. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kwanini tTunapaswa kufikiria upya Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi?

    Katika zama za kidigitali, taarifa si tu chanzo cha maarifa ama elimu bali pia ni nguvu ya kijamii na kisiasa. Haki ya kupata na kulinda taarifa binafsi imekuwa moja ya mihimili ya demokrasia na utawala bora. Hata hivyo, mijadala ya sasa kuhusu Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi nchini...
  10. Maxence Melo

    JamiiForums Tanzania Nimejiuzulu rasmi nafasi yangu ya Ujumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Leo, Septemba 06, 2025 nimemuandikia rasmi Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari juu ya uamuzi wangu kujiuzulu ujumbe wa Bodi katika Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Niliteuliwa Disemba 18, 2023 na nimehudumu kikamilifu majukumu yangu...
  11. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Taarifa binafsi ni mali ya mhusika (mmliki wa taarifa). Haitakiwi kutolewa na mtu mwingine, kwani mhusika ndiye anayefahamu taarifa zake kwa usahihi, isipokuwa pale inapobidi kisheria au kwa ridhaa yake. Ukusanyaji wa taarifa binafsi unatakiwa kufanywa na mamlaka au vyombo husika kwa kuzingatia...
  12. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania MaGuest House, Lodge na baadhi ya Hoteli wanakiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi?

    Wanabodi, leo nimepata nafasi ya kuipitia hii Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, na nilichogundua ni jambo la kutia mashaka. Yale malodge, maguest house na hata baadhi ya nyumba ndogo za kulala wageni ambazo huwa "wanawaanika ma baby daddies" au wateja kwa staili ya rejesta za wazi, kwa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC): Tunalinda Taarifa Binafsi ili zisiende kwenye mikono isiyo sawa

    Kwanini tunalinda Taarifa Binafsi? Innocent Mungy, Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano - Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) amefafanua kwa kina kuhusu Swali hili wakati wa Mafunzo ya siku moja ya Dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa Maafisa Habari wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makarani wa daftari la mpiga kura muwe na siri mnapayuka sana asee! Sasa miaka 18 ni kitu cha kutangazia kituo kizima?

    Makarani wanaotuandikisha kwenye daftari la mpiga kura wawe na siri wanapouliza taarifa zetu binafsi kama vile mahali pa kuzaliwa, namba ya simu, mwaka wa kuzaliwa n.k Karani anakuuliza mwaka wako wa kuzaliwa unamtajia halafu na yeye anaurudia kwa sauti kubwa ilhali watu wengine wapo kando hapo...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi: Ukitumia taarifa bInafsi za mtu bila idhini yake Faini Tsh. Milioni 100

    Dkt. Noe Nnko Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imezitaka taasisi na mashirika kuwa makini katika matumizi ya taarifa za watu, kwani mtu yeyote ambaye taarifa zake zitatumika bila idhini anaweza kudai fidia ya hadi Sh. milioni 100, kwa mujibu wa sheria. Akizungumza Machi 1, 2025...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Innocent Mungy: Wanapiga picha majina katika Nyumba za Kulala Wageni kisha wanaenda kufanya utapeli

    TUME ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), imesema wenye madaftari ya wageni kujiandikisha kwenye malango ya ofisi zao wanafanya makosa kwa mujibu wa Sheria ya Taarifa Binafsi kwa kuwa wanakusanya taarifa za watu bila ridhaa yao. Mkuu wa Mahusiano na Mawasiliano wa Tume, Innocent Mungy ameyasema...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC ) yaongeza muda wa usajili kwa Taasisi hadi 30 Aprili, 2025

    Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imeongeza muda wa mwisho wa usajili kwa taasisi zote za umma na binafsi ambazo hazijajisajili kabisa na ambazo hazijakamilisha hadi kufikia tarehe 30 Aprili, 2025 baada ya muda wa usajili wa hiari kumalizika tarehe 31 Desemba, 2024 kama ilivyoelekezwa na...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Namibia: Kampuni ya Simu inayomilikiwa na Serikali yadukuliwa, taarifa za Wateja zavujishwa, Tanzania tupo salama kiasi gani?

    Wakuu, Wahenga wanasema mwenzako akinyolewa zako tia maji, Wenzetu Namibia yamewakuta, sisi tunajipanga vipi? Taarifa kamili hizi hapa chini: --- Kampuni ya simu ya Telecom inayomilikiwa na serikali ya Namibia imeshambuliwa na wadukuzi na kusababisha uvujaji wa taarifa nyeti za wateja...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uganda: JamiiForums Yashiriki Kongamano la Afrika Kuhusiana na Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Desemba 4, 2024

    https://www.youtube.com/live/JA35HedbKJA JamiiForums na ADRH (Africa Digital Rights Hub) wanaendesha Kongamano la Afrika kuhusiana na Ulinzi wa Taarifa Binafsi jijini Kampala, Uganda ambapo Mwaka huu wa 2024 Kongamano hilo linaangazia Ulinzi wa Taarifa Binafsi kama nyenzo muhimu katika ukuaji...
  20. J

    JamiiForums Tanzania JamiiForums yashirikiana na DPDC kuendesha Mafunzo ya Uelewa wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa Mahakimu Wakazi wa Mikoa 29

    Taasisi ya JamiiForums kwa kushirikiana na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) iliendesha Mafunzo ya Uelewa wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa Mhimili wa Mahakama ili kurahisisha mazingira ya Utekelezwaji wake katika Mashauri mbalimbali yanayofika Mahakamani. Mafunzo hayo...
Back
Top Bottom