Wanachokitafuta CCM kwa kuendelea kumsumbua Lissu ni kuilazimisha dunia, kupitia taasisi zake kama ICC na UN, pamoja na nchi kama Marekani na za Ulaya, kuchukua hatua kali dhidi yao.
Nimekuwa nikisema humu kwamba kusalimika kwa CCM kuko mikononi mwa Lissu.
Kumsumbua Lissu kwa kesi za kutungwa...
Wanaukumbi.
🇺🇸🇮🇷 Baraza la Wawakilishi limepitisha tu Azimio la Mamlaka ya Vita vya Iran, 215-208.
Warepublican 4 walipiga kura na Wademokrasia: Massie, Fitzpatrick, Barrett, na Davidson.
Hatua hiyo inalenga kupunguza hatua zaidi za kijeshi dhidi ya Iran.
Ikiwa itabadilisha chochote ni swali...
Baada ya Tume ya Othman Chande , Rais kaunda tume nyingine ya Uchunguzi wa Kijinai.
Hii sasa ndio itakuja na majibu ya nani kahusika na hatua gani zichukuliwe.
Bado hatujapata majibu yake, kule nako marekani kaja na muswada wake katika bunge akidai kuwachukulia hatua baadhi ya viongozi.
Utata...
Baraza la Wawakilishi nchini Marekani limekumbwa na mtikisiko mkubwa baada ya wabunge wawili wenye nguvu, Eric Swalwell na Tony Gonzales, kujiuzulu nyadhifa zao ghafla siku ya Jumanne ili kukwepa kufukuzwa kwa aibu kutokana na kashfa nzito za maadili na ngono.
Kujiuzulu Dakika ya Mwisho
Wabunge...
Mwenyekiti wa Kamati ya Haki za Binadamu ya Bunge la Marekani, Chris Smith, amekemea vikali vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu na mateso dhidi ya waumini wa dini mbalimbali duniani. Katika hotuba yake, Smith ameorodhesha nchi zinazokandamiza uhuru wa kidini kuwa ni China, Urusi, Nikaragua...
The Tanzanian government is on the hunt for a Washington lobbyist to help “shape its narrative” on Capitol Hill and beyond as the East African nation reels from post-election violence that has spawned its biggest political crisis in decades, according to two
people familiar with the plans...
Wabunge wa Marekani wameanzisha Sheria ya Bunker Buster, ambayo itaidhinisha Rais Trump kuhamisha ndege za B-2 na mabomu ya GBU-57 ya bunker-buster kwenda Israeli ikiwa Iran itarejelea utengenezaji wa silaha za nyuklia.
Hatua hiyo inajibu hofu kwamba Iran inaweza kuanza tena kurutubisha mali...
Mike Johnson, spika wa bunge la Marekani amezua gadhabu kutoka kwa raia wengi na wabunge wenzake baada ya kuhairisha bunge wiki nzima kufuatia kushindwa kuzuia muswaada wa mbunge mmoja wa chama chake cha Republican uliolenga kuruhusu wabunge wenye udhuru wa uzazi(waliojifungua watoto) kuweza...
Wakuu,
Tunapoongelea mambo ya demokrasia na uwajibikaji basi bila shaka Marekani inakuwa ni nchi mama.
Hivi karibuni Speaker wa Bunge la Marekani amekataa ombi la Rais Joe Biden la kupeleka msaada wa Bilioni 24 nchini Ukraine.
Mike Johnson ambaye anatokea kwenye chama cha Republican amesema...
Serengeti.
Wizara ya Maliasili na Utalii imepokea Ujumbe wa Wafanyakazi wa Bunge la Marekani ukiongozwa na Bi. Courtney Butcher, ambao wamefanya ziara nchini kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa Serengeti kuanzia tarehe 26 hadi 28 Oktoba 2024.
Dhumuni la ziara hiyo ya miadi ni kujadili namna...
Israel ndilo taifa linaloongoza kwa kutengenezewa vikundi vingi vya kigaidi ili tu lisiwe na amani na pengene mpango wa viongozi wenye kutengeneza vikundi hivyo, ni kulifuta Taifa hilo.
Irani kuchangamkia vita kwa sasa dhidi ya Israel, ni Isarel baada ya kumuua Gaidi na kiongozi wa makundi ya...
Spika wa bunge la Marekani anasema watapiga kura kumuondoa Rais mgonjwa kwa mujibu wa katiba baada ya chama chake kumuona ni mgonjwa inamaanisha kuwa hata kumalizia muda sio sahihi
Mwanadamu haridhiki kabisa walimtaka asigombee amalizie ingwe yake na amekubali sasa hawataki hata kumalizia...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa rasmi kutoka Congress
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau atahutumia bunge la Marekani Congress hivi karibuni.
Mungu ibariki Israel
Kamati ya Bunge la Marekani🇺🇲 kuhusu Mambo ya Nje imemuandikia barua Spika wa Bunge kuomba ridhaa yake ili Rais William Ruto ahutubie kikao cha pamoja cha Bunge hilo
Iwapo Mheshimiwa Spika atakubali, Rais William Ruto atakuwa :
• Kiongozi wa kwanza kutoka Kenya kuwahi kuhutubia Bunge la...
Kampuni ya ByteDance ambayo ni Kampuni mama ya Mtandao wa Kijamii wa TikTok, imeshikilia msimamo wake kuwa haitauza mtandao huo licha ya tishio la kufungiwa nchini Marekani.
Bunge la Marekani hivi karibuni lilipitisha sheria ya kuilazimisha Bytedance, ambayo ni Kampuni ya China kuuza mtandao...
Hivi majuzi Baraza la Wawakilishi lilipitisha mswada ambao unaweza kusababisha kupigwa marufuku kwa TikTok nchini Marekani. Sheria inamtaka ByteDance, mmiliki wa China wa TikTok, kuuza maslahi yake kwa kampuni ya Marekani ili kuepuka marufuku. Mswada huo sasa umehamia kwenye Seneti, ambako...
Baada ya mkwamo wa muda mrefu uliochangiwa na baadhi ya wabunge wa Marekani wenye mahaba na Putin hatimaye bunge la Marekani limepitisha kifurushi kipya cha $billion 60 kwa vita vya Ukraine.
Msaada huu mpya kwa Ukraine unajiri baada ya mwaka mmoja na nusu tangu bunge lililokuwa likiongozwa na...
Bunge la Marekani limepitisha Muswada wa Sheria itakayoruhusu kufungiwa kwa TikTok, mtandao wenye Watumiaji Wamarekani takriban Milioni 170, kama haitatengana umiliki wake na kampuni ya ByteDance yenye asili ya China.
Wakitoa maoni ya kupitisha Muswada huo, Wabunge wamesema TikTok inahatarisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.