ulinzi wa taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abdul S Naumanga

    Kwanini sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni muhimu?

    Juzi (03.04.2024) tumeshuhudia Mh. Raisi akizindua Tume ya ulinzi wa taarifa binafsi na kusisitiza juu ya ulinzi wa taarifa binafsi kwakufata sheria. Sasa, je ni kwanini Sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni muhimu kwetu watanzania? Leo nitawasanua wadau juu ya umuhimu wa sheria hii mpya nchini...
  2. S

    Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imezinduliwa, ianze na wale wanatumia taarifa za watu kwenye Vifungashio

    Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Mwaka 2022, ilianza kutumia rasmi Mei 01, 2023 na Tume inayosimamia Ulinzi wa Taaarifa Binafsi japo ilianza kufanya kazi tangu Mei 2023, imezinduliwa jana na Rais wa Samia Suluhu Hassan. Najua Tume ina kazi nyingi za kufanya hasa kwa wakati huu ambapo ndio...
  3. Roving Journalist

    Rais Samia: Hadi Desemba 2024, Taasisi za Umma na Binafsi ziwe zimetekeleza Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atazindua Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, leo, Aprili 3, 2024, Ukumbi wa JNICC. Tume hii ina majukumu muhimu kama kusimamia sheria na kushughulikia malalamiko. Muundo na taratibu za Tume zimekamilika na zinazingatia haki za faragha...
  4. Influenza

    Zifahamu kazi za Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi inayozinduliwa na Rais Samia

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni rasmj katika hafla ya Uzinduzi wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi utakaofanyika Kesho katika ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam Kwa mujibu wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya mwaka 2022 kazi ya Tume hiyo ni pamoja na;
  5. Abdul S Naumanga

    Kesi muhimu katika ulinzi wa taarifa zetu binafsi

    Kati ya moja ya jiwe (case) muhimu kwako wewe kama mwanasheria ni hili, kesi hii iliyoamuliwa na Mahakama Kuu (MK) ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu sehemu sahihi ya kuwasilisha madai yanayohusiana na ulinzi wa wa taarifa binafsi nchini Tanzania. Kweny kesi hii...
  6. Roving Journalist

    Nape Nnauye: Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi iachwe iwe Huru, isiingiliwe

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mh. Nape Nnauye ameizundua rasmi Bodi ya Tume ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi huku akiitaka kutekeleza majukumu yake kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na miongozo iliyowekwa na si kwa Matakwa na Utashi wa watu fulani. Waziri Nape amesema...
  7. Influenza

    Yafahamu majukumu ya Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya mwaka 2022 imeanza kutumika rasmi Mei 2023 ambapo pamoja na kuwepo kwa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kutakuwepo na Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ambayo itakuwa ni chombo cha usimamizi wa Tume. Hata hivyo, ili kudumisha uadilifu wa Tume na...
  8. Influenza

    Maxence Melo: Kanuni za Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi zimeweka utaratibu wa kumalizana nje ya Mahakama kwa kila upande kupata stahiki sahihi

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo akiwa kwenye kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM ameeleza kuwa Kanuni ya Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi - "Kanuni Za Taratibu Za Kushughulikia Malalamiko ya Ukiukwaji Wa Misingi ya Ulinzi Wa Taarifa Binafsi" zimeeleza namna ambavyo watu...
  9. Roving Journalist

    Rais Samia ateua Wenyeviti na Makamu Wenyeviti wa Bodi za TMA, Mkonge na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wenyeviti na Makamu Wenyeviti wa Bodi kama ifuatavyo: i) Amemteua Jaji Mshibe Ali Bakari kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (Tanzania Meteorological Authority - TMA) na...
  10. R

    Taarifa zako binafsi zikitumiwa vibaya au kinyume na makubaliano peleka malalamiko kwa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Wakuu, Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imeanza kufanya kazi toka Mei 1, mwaka huu 2023 na Tume ipo kuhakikisha huumizwi na watu au taasisi wanaotaka kutumia vibaya taarifa zako kwa maslahi yao. Ikiwa una malalamiko ya taarifa zako kutumiwa vibaya mfano mtu katumia picha zako kwenye...
  11. Influenza

    Tume ya Mawasiliano (Nigeria) yawaonya wanaotuma matangazo kupitia simu. Tanzania sheria ipo, ila matangazo ya simu yanazidi

    Tume ya Mawasiliano ya Nigeria imewaonya Watumiaji wa simu kwa matangazo (Telemarketers) kuwa ukusanyaji wa taarifa (data) za wateja kwa matumizi ya Kibiashara ni marufuku nchini humo chini ya Kanuni za Nchi. Tume ya Mawasiliano ya Nigeria (NCC), Mamlaka ya Udhibiti wa Sekta ya Mawasiliano...
  12. BARD AI

    Bunge laishutumu Ofisi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kushindwa kuwalinda

    Bunge la Kenya limembana Kamishna wa Ofisi hiyo, Immaculate Kassait na kumweleza kuwa amewaangusha Wananchi kwa kushindwa kuchunguza na kuhakikisha Taarifa Zao Binafsi zinalindwa dhidi ya kampuni ya Worldcoin. Hatua hiyo inafuatia Kamishna kuieleza Kamati ya Bunge ya Habari na Mawasiliano kuwa...
  13. BARD AI

    Ofisi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi yaishutumu Worldcoin kuingilia Faragha za Wakenya, Inataka Mahakama Kuingilia kati

    Ofisi ya Ulinzi wa Data inasema kuwa uchakataji wa Taarifa Binafsi kupitia mradi wa Worldcoin haukuzingatia kanuni za ulinzi wa data kama zilivyobainishwa katika kifungu cha 25 cha Sheria. Ofisi hiyo sasa imeitaka Mahakama kuingilia kati ili kutoa mwongo wa hatua za kuchukuliwa dhidi ya...
  14. BARD AI

    Kamishna wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi ahoji kuhusu Usalama wa Taarifa zilizokusanywa na Sarafu Mtandao ya 'Worldcoin'

    Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CA) na Ofisi ya Kamishna wa Ulinzi wa Data (ODPC) wameelezea kutoridhishwa kwao kuhusu mradi wa Sarafu Mtandao "Crypto" unaoenezwa na mtandao wa Worldcoin. Katika taarifa ya pamoja iliyotolewa leo Agosti 2, 2023 na Taasisi mbili za Umma, zimeangazia wasiwasi wa...
  15. OLS

    Afrika Kusini: Idara ya Haki na Katiba yapigwa faini kwa kukiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa binafsi

    Mamlaka ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Afrika kusini (Information Regulator) imeipiga faina ya Randi millioni Tano (Tsh milioni 108) Idara ya Haki na Maendeleo ya Katiba “Department of Justice and Constitutional Development” DoJ&CD. Kabla ya kupigwa faini DoJ&CD ilipewa notisi ya siku 30...
  16. R

    Wadau walalamikia Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kuanza kutumika bila Kanuni wala kutolewa kipindi cha mpito kuruhusu usajili

    Wadau walalamikia notisi ya kuanza kutumika kwa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi bila kutolewa kwa kipindi cha mpito kabla ya kuanza kutumika rasmi kwa sheria. Notisi ya Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imetolewa ikionesha tarehe 1 Mei, 2023 imeteuliwa kuwa tarehe ambayo Sheria ya Ulinzi...
  17. jingalao

    Teknolojia imetuweka uchi, Taarifa zetu binafsi zipo ughaibuni. Sera ya Ulinzi wa taarifa ipitiwe

    Bila shaka kama nchi tumekuwa out-paced na ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano na mitandao ya kijamii. Leo hii kila mtanzania ikiwemo viongozi,vyombo vya serikali ikiwemo vya ulinzi na usalama wapo watsapp, tiktok, google, Instagram n.k. Mawasiliano yote au almost yote katika shughuli za...
  18. BARD AI

    Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Ina Maana Gani Kwako Kama Mwananchi?

    Hatimaye Tanzania imepata Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, sheria ambayo imekuwa ikipigiwa chapuo na wanaharakati wengi wa masuala ya haki za binadamu waliokuwa wanataka sheria hiyo iwepo ili taarifa binafsi za watu ziweze kuwa salama. Mnamo Januari 31, 2023, Spika wa Bunge Tulia Ackson...
  19. BARD AI

    WhatsApp yapigwa faini ya Tsh. Bilioni 13.9 kwa kukiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Tume ya Kulinda Data ya Ireland (DPC) imetoa adhabu hiyo baada ya kubaini Ukiukaji wa Majukumu yake na Kutoweka Wazi Matumizi ya Taarifa Binafsi inazokusanya kutoka kwa Watumiaji wake. DPC ambayo inafanya kazi kama Mdhibiti Mkuu wa Faragha wa Umoja wa Ulaya, imeitaka WhatsApp kujitathmini jinsi...
  20. BARD AI

    Facebook na Instagram zapigwa faini ya Tsh. Bilioni 961 kwa kukiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Faini imetolewa na Umoja wa Ulaya (EU) dhidi ya Mitandao ya #Facebook na #Instagram iliyobainika kulazimisha watumiaji wa Nchi za EU kupokea matangazo yanayoendana na wanachokifanya Mitandaoni. Uamuzi huo wa Nchi 27 zenye watu karibu milioni 450, ni utekelezaji wa Sheria ya...
Back
Top Bottom