ulinzi wa data

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Je, ni sawa kwa Wanajeshi kurekodi video kama hizi na kuzisambaza mtandaoni?

    Wakuu kwema? Nimekutana na video hii mtandaoni, ambako huyu 'kuruta' (kama sijakosea) anapewa amri ya kugeuka kulia na kushoto, kijana huyo anafata maagizo aliyopewa huku anayetoa maagizo na wengine wakisikika wakicheka. Nini dhumuni la kurekodi video hizi mpaka kufikia hatua ya kuzirusha...
  2. Miss Zomboko

    Ghana: Wafanyabiashara 5 mbaroni kwa Kuvunja Sheria ya Ulinzi wa Data

    Wafanyabiashara watano huko Accra wamekamatwa na polisi kwa kushindwa kujiandikisha kwenye Tume ya Ulinzi wa Data (DPC) na kuvunja Sheria ya Ulinzi wa Data. Wafanyabiashara hao ni wawakilishi wa CareFlight Ghana, kampuni inayotoa huduma za kliniki na ambulensi, Embassy Gardens, kituo cha...
  3. The Sheriff

    Serikali na Matumizi ya Programu za Udukuzi na Upelelezi: Ongezeko la Tishio kwa Ulinzi wa Faragha na Haki za Binadamu

    Serikali nyingi duniani zinaongeza matumizi ya udukuzi kufanikisha shughuli zao za upelelezi. Hata hivyo, nyingi hutumia udukuzi huo kwa siri na bila msingi wa wazi wa kisheria. Hata katika kesi ambapo serikali zinajaribu kuweka uwezo huo katika sheria, mara nyingi hufanya hivyo bila kuweka...
  4. The Sheriff

    Ni muhimu kwa kila Mtanzania kuchukua jukumu la kujilinda dhidi ya Mashambulizi ya Kimtandao

    Mashambulizi ya kimtandao ni jambo la kawaida katika enzi hizi ambapo teknolojia ya habari na mawasiliano inakua kwa kasi. Maendeleo ya kiteknolojia yameleta faida kubwa katika maisha yetu, lakini pia yameleta changamoto na tishio la usalama wa kimtandao. Teknolojia inaendelea kuwa sehemu...
  5. R

    Kwanini ni muhimu kulinda simu yako ukipeleka kwa fundi kwa ajili ya matengenezo

    Habari za hivi majuzi za mwanafunzi ambaye picha zake za faragha zilifichuliwa baada ya kutuma iPhone yake kwa ajili ya matengenezo ni ukumbusho kwa watumiaji kufunga data zao, wataalam wanasema. Apple ilisuluhisha kesi na mwanamke mwenye umri wa miaka 21 baada ya kutuma iPhone yake kwenye...
  6. R

    Jinsi ya kuilinda simu yako inapoibwa

    Ikiwa miaka michache iliyopita, kuwa na simu yako kuibiwa tayari ilikuwa hasara ya kifedha, leo inaweza kuwa kubwa zaidi. Teknolojia inapoimarika - na pia ujuzi wa wahalifu - upotezaji wa kifaa unaweza kuwa hasara ndogo ikilinganishwa na kile genge linaweza kufanya ikiwa wana ufikiaji wa hati...
  7. Suley2019

    Stella Fiyao: Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi ni muarobaini wa wananchi kuingiliwa akaunti zao

    Mbunge CHADEMA Songwe Viti Maalum, Stella Fiyao akichangia hoja yake katika mjadala wa Muswada wa ulinzi wa taarifa binafsi anabainisha kuwa mswaada huu ni muhimu na utakwenda kutatua changamoto ya mamlaka kuingilia kwenye akaunti za watu mbalimbali. Akifafanua hoja yake anasema kuwa Muswada...
  8. Roving Journalist

    Bungeni: Mjadala wa Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa Mwaka 2022 uliosomwa kwa mara ya pili

    Leo 01/11/20220 muswada wa sheria ya ulinzi wa Taarifa binafsi wa mwaka 2022 ulisomwa Bungezi na Waziri Habari mawasiliano na teknolojia ya habari Nape Nnauye. Mswada huo unajadiliwa wakati huu bungeni fuatana nami kufatilia mjadala huu. ===== Zahoro Muhamadi Haji: Malengo ya kudhibiti, yapo...
  9. R

    Makarani wa sensa ni akina nani?

    Zoezi la sensa kufikia tamati leo wakikusanya taarifa mbalimbali zinazotuhusu. Je, tunajua makarani wa sensa ni akina nani? Kama taarifa zako zikitumiwa vibaya na kuuzwa kwa watu huna pa kumshtaki zaidi ya kulalamika kwasababu mpaka sasa hivi bado hatuna sheria ya ulizi wa data. Lakini siyo tu...
  10. beth

    Mbunge Neema Lugangira: Sheria ya Ulinzi wa Data iharakishwe

    Mbunge Neema Lugangira amesema mchakato wa Anuani za Makazi unaleta changamoto kubwa ya Usalama wa Taarifa Binafsi za Watu, akitoa wito wa kuharakishwa kwa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi. Amesema, "Natambua zipo Asasi za Kiraia ambazo zimeshaanza Mchakato huu, mfano ni Jamii Forums na...
  11. The Sheriff

    Waziri Nape: Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi upo katika hatua za mwisho

    Waziri wa Habari, Nape Nnauye, leo Jumatatu, amesema muswada wa Sheria ya Ulinzi Binafsi, uko katika hatua za mwisho “hii ni sheria muhimu sababu vinginevyo uwekezaji utakuwa mgumu. Sio kwa sababu kulikuwa na kurekodi rekodi watu, hapana lakini ni kwa sababu ya kutunza faragha.” Nape ametoa...
  12. Analogia Malenga

    Ulinzi wa Data: Sheria ya Kulinda Taarifa ni muhimu

    Akizungumza kwenye kipindi cha Clouds 360 Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Sheria ya Ulinzi wa Taarifa ni ya msingi katika Tanzania ya kidijitali, ili watu wajiamini na kuwa huru Haki hii ya Faragha ipo kwa mujibu wa Ibara ya 16 ya Katiba ya Jamhuri ya...
  13. beth

    Ulinzi wa Data: Sheria zinalenga kuwapa watu binafsi uwezo wa kujua jinsi Taarifa zao zinavyotumiwa

    Faragha ya Data/Taarifa limekuwa suala muhimu siku zote, lakini kadri Taarifa zetu zinavyozidi kuwekwa kidigitali na kutolewa zaidi Mitandaoni, umuhimu wake umezidi kuongezeka Kampuni moja inaweza kuwa na Mamilioni ya taarifa za wateja ambazo inapaswa kuzilinda. Sheria za Kulinda Taarifa...
  14. beth

    Ulinzi wa Data: Wakusanya taarifa wengi hawana namna nzuri ya kuzitunza

    Wakati mwingine Taarifa hukusanywa kwa nia njema, lakini Changamoto ni kwamba wengi hawana namna ya kuzitunza Kwa mfano, mara nyingi unatakiwa kusaini kabla ya kuingia Ofisi mbalimbali. Je, taarifa zako zinahifadhiwa wapi? Kuwepo Sheria ya Ulinzi Wa Data kutasaidia kufahamu taarifa...
  15. beth

    Taarifa binafsi huweza kuleta madhara zikiwa mtandaoni pasipo kulindwa

    Taarifa binafsi kama Jina lako, Namba ya Simu, Anwani na zile za malipo ya kifedha huweza kuleta madhara zikiwa mtandaoni pasipo kulindwa, kwani ni rahisi kudukuliwa Kuwa makini unapofungua tovuti au 'Links' ambazo kwenye "https" hakuna 'S' yaani inasomeka "http" pekee. Weka nywila (Password)...
  16. J

    Mjadala wa Haki ya Ulinzi wa Data binafsi kupitia Clubhouse ya JamiiForums

    Taarifa binafsi ni taarifa yoyote inayokutambulisha, iwe inahusiana na Maisha yako binafsi, Kitaaluma, au ya umma (Mfano: Majina, Namba za Simu, Anwani n.k) Ni mara ngapi umeshakutana na taarifa za Watu wengine katika Mazingira ambayo hukupaswa kukutana nazo? Kama ni mara nyingi, basi huenda...
  17. beth

    Ireland: WhatsApp yapigwa faini ya Euro Milioni 225 kwa kuvunja Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi

    Mtandao wa WhatsApp umetakiwa kulipa Euro Milioni 225 kwa kuvunja Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi ya Umoja wa Ulaya (EU) kwa kutowaambia Watumiaji wake jinsi inavyotumia Taarifa zao Tume ya Ulinzi wa Data ya Ireland imesema imebaini ukiukwaji katika namna ambayo WhatsApp ilielezea jinsi...
  18. Replica

    Maxence Melo: JamiiForums imefanikiwa kujenga Fikra Mbadala kwa watanzania wengi

    Leo mkurugenzi wa JamiiForums amefanya mahojiano kwenye kipindi cha Clouds 360. Pamoja na mambo mengine ameongelea suala la hofu ya kuingia matatani na kusema ameshaingia mara kadhaa na haijawahi kuwa hofu kwake pia ameongelea awamu ya sita ilivyoanza kwa kuwasikiliza. ======== SWALI: Kama...
  19. NGolo Kante

    ULINZI WA DATA: Usalama taarifa binafsi shakani

    Dar es Salaam. Usajili wa taarifa za watu kwa mfumo wa kidigitali, umeanza kuibua wasiwasi wa usalama wa taarifa binafsi, hivyo kuibua hoja ya umuhimu wa kuwapo sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi na faragha nchini. Hoja ya kutungwa kwa sheria ya aina hiyo, imepata nguvu hasa baada ya uamuzi wa...
Back
Top Bottom