ghana

Ghana ( (listen)), officially the Republic of Ghana, is a country in West Africa. It spans along the Gulf of Guinea and the Atlantic Ocean, sharing borders with the Ivory Coast in the west, Burkina Faso in the north, Togo in the east, the Gulf of Guinea and the Atlantic Ocean in the south. Ghana covers an area of 238,535 km2 (92,099 sq mi), with a population of 31 million. It is the second-most populous country in West Africa, after Nigeria; and Accra is its capital and largest city.
The first permanent state in the territory of present-day Ghana dates back to the 11th century, the Bono State. Numerous kingdoms and empires emerged over the centuries, of which the most powerful were the Kingdom of Dagbon, and the Ashanti Empire. Beginning in the 15th century, the Portuguese Empire, followed by numerous other European powers, contested the area for trading rights, until the British ultimately established control of the coast by the late 19th century. Following over a century of native resistance, what are now Ghana's borders follow the lines of what were four separate British colonial territories: Gold Coast, Ashanti, the Northern Territories and British Togoland. These were unified as an independent dominion within the Commonwealth of Nations on 6 March 1957.Ghana is a multinational state, home to a variety of ethnic, linguistic and religious groups. According to the 2010 census, the vast majority, or 71.2%, of Ghana's population was Christian, 17.6% was Muslim, and 5.2% practised traditional faiths. Ghana's diverse geography and ecology ranges from coastal savannahs to tropical rain forests. It is a unitary constitutional democracy led by a president who is both head of state and head of the government. Ghana's growing economic prosperity and democratic political system have increased its regional influence in West Africa. It is a member of the Non-Aligned Movement, the African Union, the Economic Community of West African States (ECOWAS), Group of 24 (G24) and the Commonwealth of Nations.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Lugha ya Kichina na utamaduni wa Kichina vyapata umaarufu miongoni mwa wanafunzi wa Ghana

    Bertha Asiedua Boadu, mwanafunzi kijana wa Ghana, alianza kupenda kutazama filamu za Kichina mwaka 2020. Ili kuelewa hadithi za filamu bila kutegemea (subtitle) yaani tafsiri zinazopita chini ya filamu, mwanafunzi huyo alianza kutumia programu za kujifunza lugha ya Kichina mtandaoni ili...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ghana yaahirisha Mkutano na Ramaphosa kutokana na harakati za Xenophobia

    Ghana imekataa ombi la ziara ya kiserikali ya Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, huku kukiwa na uhusiano mbaya unaosababishwa na wimbi la mashambulizi dhidi ya wageni (xenophobia) yanayowalenga raia wa mataifa mengine ya Afrika ikiwemo Ghana wanaoishi nchini Afrika Kusini. Msemaji wa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kwa Watanzania kushangilia msaada wa afya wa USA wa USD 1.3b bila kujua masharti yake yote; Zambia, Ghana, na Zimbabwe wayamekataa!

    Hivi karibuni, kumekuwa na ushabiki wa kipumbavu sana, hasa kutoka kwa wakereketwa wa CCM, pale waliposikia USA wataipatia Tanzania msaada wa huduma za afya wa USD 1.3 ndani ya miaka mitano ijayo. Sasa hawa wenzetu wasio na uwezo wowote wa kufikiri wameshangilia sana kusikia hili, hata wakibeza...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Croatia 2-1 Ghana | World Cup 2026 | Lincoln Financial Field | Juni 28, 2026 | 6:00 Usiku

    Croatia na Ghana Zapambana Kutafuta Nafasi ya Kuongoza Kundi L Kombe la Dunia 2026 Croatia na Ghana zitashuka dimbani zikiwa na lengo la kujiweka katika nafasi nzuri ya kuongoza Kundi L la Kombe la Dunia 2026 iwapo England itateleza dhidi ya Panama. Mchezo huo utachezwa jijini Philadelphia na...
  5. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ni kweli kuwa Kane alisema alipoteza udhibiti wa miguu yake wakati wa mechi dhidi ya Ghana?

  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: England 0-0 Ghana | World Cup 2026 | Gillette Stadium | 23 Juni, 2026 | 5:00 Usiku

    England na Ghana zinalenga kukata tiketi ya hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia mapema iwezekanavyo kwa kushinda mtanange huu wa Kundi L utakaopigwa huko Boston. Fomu ya Timu na Habari Zilizopo England: Walionyesha moja ya kiwango cha kuvutia zaidi kwenye Kombe la Dunia baada ya kuichapa Croatia...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Ghana 1-0 Panama | World Cup 2026 | BMO Field (Toronto) | 19 Juni, 2026 | 8:00 Usiku

    Kuelekea Mechi: Ghana vs Panama Ghana na Panama wataanza kampeni zao za Kombe la Dunia la FIFA 2026 kwenye Uwanja wa BMO Field kule Toronto, Canada. Mataifa yote mawili yanajua wazi kuwa matokeo chanya kwenye mechi hii ni muhimu sana, ikizingatiwa kuwa wako Kundi L pamoja na miamba mingine...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Thomas Partey Kuikosa Mechi ya Ghana Baada ya Kunyimwa Kibali cha Kuingia Canada

    Ila hili kombe la dunia la mwaka huu linamambo ya ajabu sana Au ile kesi inayomkabiliwa na mashitaka ya ubakaji mara tano na shambulio moja la kingono? =========== Kiungo wa timu ya taifa ya Ghana, Thomas Partey (32), hatashiriki katika mechi ya kwanza ya timu hiyo kwenye mashindano ya Kombe la...
  9. bless on

    JamiiForums Tanzania Ghana Yapitisha Sheria Kali Dhidi ya Ushoga

    Ghana imepitisha moja ya sheria kali zaidi barani Afrika dhidi ya ushoga baada ya Bunge kuidhinisha Muswada wa Haki za Kijinsia za Binadamu na Maadili ya Familia wa mwaka 2025. Sheria hiyo inaweka adhabu ya kifungo cha hadi miaka mitatu kwa vitendo vya ushoga, na hadi miaka mitano au zaidi kwa...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ya Ghana mambo yake kama haipo Africa vile

    Ghana wapo kwenye mchakato wa kupitisha Sheria ya kuwaruhusu wananchi wenye uraia nchi nyingine(diaspora) kuwa na fursa ya kugombea ubunge na kuwa na haki ya kuteuliwa nafasi ya uwaziri! Cha ajabu nchi yetu diaspora haruhusiwi hata kumiliki shamba kwenye nchi yake ya asili! Hivi changamoto hasa...
  11. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Cambodia yaagiza Waafrika wote wakiwemo kutoka Kenya, Ghana, Cameroon na Uganda kuondoka nchini humo kabla ya Mei 31, 2026

    Serikali ya Cambodia imetoa tangazo linalowaagiza raia wote wa Afrika, wakiwemo kutoka Kenya, Ghana, Cameroon na Uganda kuondoka nchini humo kabla ya Mei 31, 2026, la sivyo watakamatwa na kushtakiwa kwa mujibu wa sheria za uhamiaji. Katika taarifa rasmi iliyotolewa na Idara Kuu ya Uhamiaji...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ghana kuwachukua raia wake 300 kutoka Afrika Kusini

    Serikali ya Ghana imetangaza kuwahamisha raia wake 300 kutoka Afrika Kusini, kufuatia kuongezeka kwa vitendo vya chuki dhidi ya wageni nchini humo katika wiki za hivi karibuni. Katika ujumbe aliochapisha kwenye mtandao wa X, Waziri wa Mambo ya Nje, Samuel Okudzeto Ablakwa, alisema Rais John...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ghana yakataa Msaada wa Marekani wa dola Milioni 109 za ufadhili wa Afya

    Ghana imejitoa kwenye mazungumzo ya mkataba wa msaada wa miaka mingi kutoka Marekani. Hatua hii imekuja baada ya Washington kudai kupewa ruhusa ya kupata taarifa binafsi za raia wa nchi hiyo, kwa mujibu wa chanzo kilicho karibu na serikali ya taifa hilo la Afrika Magharibi kilichozungumza...
  14. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Mwanaanga Christina Koch apeperusha bendera ya Ghana kwenye misheni ya Artemis 11

  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Raia wa Ghana ashtakiwa kwa kuendesha utapeli wa kimapenzi uliowaibia Wazee zaidi ya Dola Milioni 8

    Baraza kuu la majaji la shirikisho (federal grand jury) limetoa hati ya mashtaka yenye makosa mawili dhidi ya raia wa Ghana kwa tuhuma za kuwaibia wazee zaidi ya dola milioni 8 kupitia utapeli. Kwa mujibu wa hati ya mashtaka iliyofunguliwa hivi karibuni, Frederick Kumi, anayejulikana pia kama...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ni aibu Rais anamkaribisha Rais Wa Ghana kufungua mwaka wa mahakama ya Afrika huku Tanzania ilishajiondoa ili Raia wasifungue kesi

    Tanzania ilijiondoa kupitia ibara 36(4) yq optional protocol to African court of human rights. Ikipinga raia na non governmental kwenda kuishitaki moja kwa moja kwenye hii mahakamama. Hii ni kwa sababu kesi nyingi dhidi ya serikali ya CCM juu ukiukwaji wa haki za binadamu ziliibuka na kuiabisha...
  17. Yesha

    JamiiForums Tanzania Ghana Seeks Extradition of Russian Man Accused of Secretly Filming Women

    Ghana plans to request the extradition of a Russian man accused of secretly recording sexual encounters with multiple women and sharing the videos online without their consent. Reports from African and Russian media identified the man, in his 30s, as a self-proclaimed “pick-up artist” and online...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kusafiri kwenda Ghana kunahitaji Visa?

    Habari waungwana, kama kichwa cha habari kisemavyo. Je, kuna uhitaji wa mimi Mtanzania kuwa na Visa iwapo nataka kwenda Ghana? Naelewa kuwa hatuna ubalozi hapa nchini ila sijui nchi zetu zina makubaliano gani.
  19. Agent-47

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 GHANA yasikitishwa na mauaji ya Watanzania yalitokea Oktoba 29. Yasisitiza ufanyike uchunguzi huru na wazi

    HALI YA KISIASA NA HAKI ZA BINADAMU BAADA YA UCHAGUZI TANZANIA Ghana imeona kwa wasiwasi mkubwa hali ya kisiasa na haki za binadamu inayoendelea kwa kasi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia uchaguzi mkuu uliofanyika hivi karibuni Jumatano, tarehe 29 Oktoba 2025. Mazingira ya baada...
  20. simplemind

    JamiiForums Tanzania Je, Jerry John Rawlings Aliimarisha au Kudhoofisha Demokrasia ya Ghana?

    Jerry John Rawlings anabaki kuwa mmoja wa viongozi mashuhuri na wenye utata mkubwa katika historia ya kisasa ya Ghana. Uongozi wake ulidumu kwa zaidi ya miongo miwili — kuanzia utawala wa kijeshi hadi mfumo wa vyama vingi. Swali la kama aliimarisha au alidhoofisha demokrasia ya Ghana linaweza...
Back
Top Bottom