Vyama Vya Siasa Vyasema Kusoma kwa Muswada wa Sheria ya Uchaguzi ni Ishara Nzuri

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Siku moja baada ya kusomwa kwa muswada unaokwenda kutunga sheria mpya itakayoanzisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi itakayojitegemea, Vyama vya siasa vimesema ni ishara nzuri ya kuelekea kuwa na uchaguzi huru na haki.

Wakati hilo likifanyika pia vyama vimesema umefika wakati sasa wa kuhakikisha milango ya wagombea kupita bila kupingwa inafungwa kabisa kwa sababu ni kinyume na sheria.

Wametoa kauli hiyo leo Novemba11, 2023 katika katika mkutano wa kamati ya uongozi wa Baraza la vyama vya siasa ikiwa ni maandalizi ya mkutano wa baraza la vyama vya siasa ambao ni mahususi kwa ajili ya uchaguzi wa viongozi wa baraza hilo.
 
Hao ACT wana mambo yao au hawajaona muswada. Mbona mswada hauna kitu chochote cha tofauti.
 
Bunge limesema katika sheria Mpya ya Vyama vya Siasa Chama chenye Kiongozi wa kutoa maamuzi ambaye ni mkimbizi kitachukuliwa hatua kali Sana

Source: TBC

Mlale Unono 😂😂🔥
Yule mwenyekiti wa CCM Rukwa mnyarwanda alistaafu au bado yupo?
 
Back
Top Bottom