mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    Athari ya majina ya mitaa katika historia ya Tanganyika

    ATHARI YA MAJINA YA MITAA KATIKA HISTORIA YA TANGANYIKA Mtaa wa Makunganya unaanza karibu ya Msikiti wa Shia ambao uko kwenye kona ya Mtaa wa Zanaki unashuka chini kama unakwenda Picha ya Bismini (Askari Monument) na kabla ya kufika Picha ya Bismini inapita pembeni ya Msikiti wa Ngazija na...
  2. B

    Hongera Wananchi kutengeneza barabara za mitaa Mwanzi Manyoni

    Wananchi wa kitongoji ya Mwanzi mtaa wa mlimani leo wamejitokeza kwa wingi kutengeneza barabara ya mtaa ili kuweza kuondoa tatizo ya ukosefu wa barabara inayosababisha wakina Mama wajawazito kushindwa kupelekwa hospitalini. Rai yangu serikali iwashike mkono Wananchi wao kwa kuwachongea barabara...
  3. sky soldier

    Mabingwa ndani ya basi special wanatamba Mitaa ya MSIMBAZI, mtaa umefurika njano na kijani halafu linapigwa GOMA LA "hawaamini macho yao"

    Mabingwa wamefika Mitaa ya MSIMBAZI mbele ya ofisi za MAKOLO wakiwa kwenye BASI MAALUM (sio fuso za kubebea viazi), mtaa umefurika njano na kijani alafu linapigwa GOMA LA "hawaamini macho yaoooo"
  4. ROOM 47

    Mitaa ya Gongo la Mboto kituo cha Mzambarauni mpaka kituo kipya ndio makao makuu ya kunguru hapa wilaya ya Ilala

    Kwa wakazi wa Gongo la Mboto mitaa ya Mzambarauni kuna kunguru wengi sana kila siku jioni huwa wanakusanyika wakitoka kwenye mahangaiko ya kila siku sasa sijajua kama wakazi wa Gomz wanafuga kunguru hawa au wameamua tu kuchangua pale ndo pawe makao makuu kwa upande wa Ilala.
  5. M

    Ajira sekta binafsi Vs ajira za serikali za mitaa

    Hili lipoje , mnapomaliza chuo na mkafanikiwa kuajiriwa , mmoja akijiriwa sekta binafsi na mwingine akajiriwa serikalini hasa hizo ajira za local government, maisha ya aliyeajiriwa private sector huwa mazuri ukilinganisha na wale wa serikalini,lakini as time goes on wajiriwa wa serikali maisha...
  6. Huihui2

    Wanasema Hayati Magufuli Alikuwa Anakubalika sana: Kwanini basi aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020?

    Watetezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri. Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020? Kama alikuwa anakubalika kwannini...
  7. wilson nisha

    Fedha za alama za mitaa zinatoka mfuko upi?

    Nauliza je, ni wananchi wanaweka alama za mitaa kwa fedha zao au mfuko wa halmashauri? Maana nimeona sehemu raia wanalalama. Huko kwenu jamani nani anaweka hizi alama?
  8. B

    Aina za halmashauri kwenye serikali za mitaa

    Naomba kuuliza wataalamu, je kuna aina ngapi Za halmashauri kwenye serikali za mitaa?
  9. Suley2019

    Viongozi wengi wa Serikali za Mitaa wapiga dili. TAKUKURU wamulikeni

    Salaam Wakuu, Leo kijana wenu nimeona niseme kidogo kuhusu kero ya rushwa na kutaka chochote kitu kwa Viongozi wengi wa serikali za Mitaa wakiwemo Wenyeviti, Wajumbe, Watendaji na wengineo wa ngazi hiyo. Kumekuwa na muendelezo wa tabia ya viongozi hawa kutaka pesa kidogo (rushwa) kila...
  10. Kiboko ya Jiwe

    Serikali iwakemee watendaji wa Kata, Mitaa na Vijiji kujihusisha na utapeli kwa vijana walioomba nafasi za kuhesabu watu

    Habari! Yaani bila aibu Mtanzania, mtendaji wa kata, mtaa na wilaya anaomba rushwa kwa vijana walioomba nafasi za kuhesabu watu. Hii ni aibu na ukatili mkubwa. Kijana ambaye hana ajira unathubutu vipi kumwomba rushwa ili apate ajira? Naamini sio wote wanaofanya huu uhuni ila nimefanya...
  11. H

    Waziri Nape, kuna dosari kwenye zoezi la anuani za Mitaa

    Waziri Nape, kuna dosari kwenye zoezi la anuani za Mitaa. Ipo mitaa inandikwa kwa jina la Kiswahili na mingine inaandikwa kwa lugha ya Kiingereza. Unakute vibao viwili vinavyotumia mlingoti mmoja, kimoja kimeandika Mtaa wa MTAA WA MARKET, na kibao kingine kwenye mlingoti huo huo kimeandikwa...
  12. Bushmamy

    Wenyeviti wa mitaa kutolipwa mishahara ndio chanzo cha Rushwa katika kutoa Huduma, na pia kukosa ofisi ya kufanyia kazi

    Wenyeviti wa serikali za mitaa, wamekuwa wakiweka mazingira ya Rushwa katika utendaji wao kwa madai kuwa wanafanya kazi ya bure na hakuna malipo yoyote wanayopata kutoka serikalini. Hali hii ni tofauti kutokana na kuwa kuna baadhi ya halmashauri wenyeviti wa mitaa wanalipwa na Halmashauri...
  13. Mawematatu

    Wenyeviti Serikali za Mitaa amkeni: Wakuu wa Wilaya angalieni hii inawahusu

    Viongozi wa mitaa ndiyo base ya mambo yote serikali inayopanga. Bila Hawa viongozi kufanya kazi yao kazi haiwezi kufanyika. Mabalozi wa shina ndio msingi mkuu wa kuunganisha wananchi. Dhana yote ya utawala bora itategemea oganaisheni(organization) ya Mh DC, na wananchi bila Hilo hakuna kitu...
  14. L

    Je, Mkurugenzi wa manispaa kufuturisha wenyeviti wa serikali za mitaa ni sahihi?

    Kuna taarifa kuwa siku ya kesho mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni anaenda kufuturisha wenyeviti wa serikali za mitaa yote ya Kinindoni zaidi ya 150. Nauliza haya ndio matumizi sahihi ya kodi zetu? Je, akitokea mwingine akaamua kipaimara cha mtoto wake alishe wajumbe wote kwa hela za umma...
  15. S

    Serikali ya Kuupiga Mwingi: Badala ya kuzungumzia maisha ya watu mitaani mnaendekeza majungu

    Serkali hii itahukumiwa na wananchi kiutendaji si kwa sababu Magufuli alifanya vibaya au vizuri! Magufuli tayari ni mfu hana cha kujitetea hata tutukane vipi yeye kashatenda yake mabaya au mazuri shauri yake na Mungu wake! Kujificha kwenye kivuli cha Magufuli kuwa alikuwa mbaguzi ni kwa wale...
  16. R

    Uzoefu ukoje wa mitaa ya Malamba Mawili kwa anayeishi huko

    Wakuu msaada tutani. Kuna mwenye amewahi kuishi au anaishi huko malamba mawili anisaidie uzoefu pakoje kwa maana ya ni tambarare au miinuko, vp maji si tatizo? Na mengine yatayofaa
  17. Mohamed Said

    Baadhi ya mitaa iliyopewa majina ya Wapigania Uhuru wa Tanganyika

    Hapo chini ni picha za baadhi ya mitaa iliyopewa majina ya wapigania uhuru wa Tanganyika: Katika picha hizi picha ya kwanza inamuonyesha Ali Msham wa kwanza kulia akiwa na Baba Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika. Ali Msham amefanya mengi ambayo...
  18. L

    Maonyesho ya taa yafanyika katika mitaa ya biashara mjini Beijing

    Wakati Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing ikikaribia, maonesho ya taa kusherehekea michezo hiyo katika mitaa ya biashara mjini Beijing yanaonekana vizuri kutoka umbali wa kilomita 10.
  19. Mohamed Said

    Majina ya Mitaa na Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    MAJINA YA MITAA YAHIFADHI HISTORIA Ndugu zanguni hivi sasa kuna mradi wa Anuani za Makazi (Post Code). Naamini sote tunashausikia kwa kuwa serikali imeutangaza. Mradi huu ulitakiwa uchukue miaka 5 lakini Rais Mama Samia ameamua huu mradi uwe "Operation Anuani za Makazi" na ukamilike kwa miezi...
Back
Top Bottom