Umoja wa Vijana wa Vyama vya Siasa vya Upinzani nchini umemtumia salamu za pole Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kufuatia kifo cha mumewe, Marehemu Hafidh Ameir Hassan.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Umoja huo, Masoud...
Mama aliniambia mwanangu kuwa uyaone, Kwa kweli mama nayaona.
Bhana mi ni mtu wa kupost matukio mitandaoni, sasa katika kukusanya habari huku na kule nikapata hii eti yule dada alie tangaza kuvunja ndoa na mumewe, akasema jamaa kafulia hana hela kama alivo kua Dubai, janaume linakoroma, Lina...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linamshikilia Betrice Kalawa (45), mkazi wa Kijiji cha Malangali wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe kwa tuhuma za kumuua mume wake, Peter Mbunduzi (55) kwa kumpiga na chuma kichwani.
Hayo yameelezwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi wa...
Unakuta bibi fudenge amefiwa unamuonea huruma na wengine kufurahi kumbe huyo bibi fudenge alisha move on kitambo na anafurahia mapenzi ya jinsia moja kwa kuwahonga vibinti vidogo na ni mlevi kupindukia.
Bibi fudenge makazi yake yatakuwa jahanamu milele na milele.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba pamona na Viongozi mbali mbali wa Vyama na Serikali na Wananchi, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia...
Wakuu
Mimi na mchepuko wangu tuko dilemma.
Kajifungua mtoto,ila hana uhakika ni wangu au wa mumewe as mtoto anafanana na yeye.
Tunasolve vipi hii case wataalamu?
Nimependa kujiuzulu kwa Nchimbi ili kupisha utawala wa kifalme . Afanye hivyo kama mfadhili na rafiki yake Museveni kieleweke. Sasa naamini Tanzania ni shamba la bibi tena mwenyewe kiziwi na kipofu.
Kwa ufupi, hao hapo juu ndo napendekeza wateuliwe mmojawapo tumalizane na kianze kuumana kwenye...
Queen Mbuba, Mkazi wa Kijiji cha Igunda, Wilaya ya Mbozi, Mkoani Songwe, anadaiwa kumuua mume wake baada ya kumchoma sindano inayodaiwa kuwa na sumu na baadaye kumshambulia kwa kitu chenye ncha kali.
Taarifa iliyotolewa Mei 26, 2026 kwa vyombo vya habari na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe...
Bibi mwenye umri wa miaka 66 anayefahamika kwa jina Julia Albin mkazi wa Tarafa ya Useri wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, amedai kuwa amejikuta katika hali ya sintofahamu baada ya eneo lake lenye makazi yakudumu kuuzwa kwa amri ya mahakama, kutokana na mwanae kushindwa kutoa matumizi kwa...
Baada ya kuingia mitamboni kusaka habari kuhusu yule bwana alie zikwa na mkewe nyuma ya nyumba.
Walikua wanatatizo la kuto pata mtoto kwa muda mrefu.
Huyo dada inawezekana alimuwekea dawa ya KIENYEJI MUMEWE kwa kesi hiyo ili wapate mtoto.
Inawezekana huyo dada hakujua kama hiyo dawa ni sumu...
Ni kama hawa malaika hukaa mkao wa kusubiri kutazama show, ila sasa mke akigoma kumfuata mume kitandani, wanamlaani huyo mwanamke usiku kucha....
Sio maneno yangu ila andiko hili hapa....
sahih al-bukhari 3237
Allah's Messenger (ﷺ) said, "If a husband calls his wife to his bed (i.e. to have...
Mwanadada alihaamua kujipiga Selfie Na Mume Wake Aliyefariki , Na Kumtumia Mpenzi (mchepuko)Wake Kama Uthibitisho na kumwambia.
Hatimaye tumekua huru kwenye mahusiano yetu mapya.. kabla ya hapo mdada huyu aligundua kua mume wake Hana maisha marefu na hakuna kitu anaweza kumfanyia tena kwaio...
Cherry Hollister amepatikana akiwa salama Cherry baada ya kunusulika kuuwawa na watu waliovamia nyumbani kwake wakiwa wamevalia kininja na kumkosa kisha wauaji hao wakachukua CCTV Camera na kuondoka nayo.
Soma pia PostGE2025 - Dada Cherry Hollister na mumewe hawajulikani walipo kwa zaidi ya...
Queen Masanja: "Bora nirudi kwa Mume wangu kuliko hawa Vijana wa siku hizi!".
Msanii maarufu wa Bongo Movie, Queen Masanja, ambaye pia ni aliyekuwa Mke wa Dkt. Juma Mwaka, ameibua mjadala mkali mitandaoni baada ya kufunguka wazi kuhusu maisha yake ya uhusiano.
Kupitia mahojiano yake, Queen...
Mko poa walimwengu?
Nina mpenzi wangu ambae ni mke wa mtu
Jana jioni tulikua tunachat nae kwenye moja ya mtandao wa kijamii.ghafla nikaona kapotea hewani
Baada kama ya masaa mawili nikaona number ngeni inanipigia kupokea ni huyu mwanamke wangu alikua katumia number ya jirani yake, alikua...
Mwanamke wa Saudia Noura Salem Al- Shammari ametoa figo yake moja na kumchangia mke wa pili wa mumewe Taghreed Awadh Al-Saadi, ambaye alikuwa akiteseka kwa miaka mingi baada ya figo yake kufeli.
Eti kwa mfano mwanaume alikuwa na ex wake waliopendana ila akazinguaga mwanamme wakaachana na mwanamke alikuwa anampenda Sana huyu mwanamme yaani Sana alijitoa ila jamaa akaleta mawenge.sasa baadae jamaa akapata mke mwingine na wakazaa ila baada ya kama Miaka mitatu wamekutana tena na ex na...
Mwanamke alihisi mmewe anatoka na house garl akamtorosha kimyakimya akalala kwa chumbani kwa hoise garl na kuchomoa taa usiku jamaa akaingia akamvua nguo akamla bao mbili wakalala hadi asubhi kulivyokucha akawasha taa ili amseme mmewe kwamba nimekufuma anacheki ni mwanae wa kiume🙄🙄🙄
KESI IKAWA...
Ukifatilia hutuba nyingi za viongozi wanapoitimisha kuhutubia anatoa shukurani Kwa watu wake wakaribu kama mke, watoto nk, lakini naona mama amtaji mumewe kama sehemu ya watu muhimu kwake juzi wakati wakuvunja bunge sijasikia akisema au baba yetu hayupo? Naleta hoja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.