Wanasema Hayati Magufuli Alikuwa Anakubalika sana: Kwanini basi aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020?

Huihui2

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
5,277
7,984
Watetezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.

Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?

Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.

You can be foolish but you can't fool us!!
 
Waterezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri...
asingeiba nani angeshinda? swala la kina katambi muwaulize kwanini walihamia CCM na bado wapo CCM
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Waterezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.

Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?

Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.

You can be foolish but you can't fool us!!
Tuwasubili sukuma gang wazee wa legacy pengine watakuja na majibu mazuri😁
 
Waterezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Samia aliyekumbatia matajiri.

Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?

Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel

You can be foolish but you can't fool us!!
Ni wapi na ulipo ushahidi wa kuthibitisha madai ya wizi wa kura uliofanywa na magufuli ?

Unapoandika uzi kwenye jukwaa hili hasa kuwahusu viongozi hao wa kitaifa ni vema unatuwekea ushahidi na sio dhana fikirika.

Halafu unapaswa kujiuliza swali moja.

Chadema walidai kukamata begi la Kura feki walizodai ilikuwa zitumbukizwe kwenye kasha la kura!

Lakini Chadema hao hao ndio waliochoma hilo begi badala ya kulitunza na kura hizo ili ziwe kidhibiti muhimu sana baada ya uchaguzi.

Wewe uliona wapi mtu kuchoma ushahidi muhimu ambao ungeisaidia Dunia kuujua ukweli?.

Magufuli alikuwa ndani ya mioyo ya wananchi kutokana na alivyokuwa akisimamia mambo na kuhakikisha yanatendeka ipasavyo na kwa wakati.

Kama binadamu alikuwa na mapungufu yake pia.
Lakini hayakuweza kufunika yale mengi mazuri aliyokuwa ameyaasisi.

Vema mumuache alikotangulia kwenye haki ya kweli na nyinyi mliobaki hai bado.
Mngejikita kupambana na yaliyo mbele yenu kuliko kila kukicha mnapambana na mtu aliyekwisha lala milele.

Hii pia ni uthibitisho kwamba Magufuli alikuwa anakubalika na bado anawanyima usingizi mlio hai,kwa kivuli chake tu.
JamiiForums-201048130.jpg
 
Lijualikali: Chadema tuliiba kura uchaguzi mkuu wa 2015

Wamasai waliletwa kutoka Arusha kuja kupigia kura Chadema Kilombero
 
Ni wapi na ulipo ushahidi wa kuthibitisha madai ya wizi wa kura uliofanywa na magufuli ?

Unapoandika uzi kwenye jukwaa hili hasa kuwahusu viongozi hao wa kitaifa ni vema unatuwekea ushahidi na sio dhana fikirika.

Halafu unapaswa kujiuliza swali moja.

Chadema walidai kukamata begi la Kura feki walizodai ilikuwa zitumbukizwe kwenye kasha la kura!

Lakini Chadema hao hao ndio waliochoma hilo begi badala ya kulitunza na kura hizo ili ziwe kidhibiti muhimu sana baada ya uchaguzi.

Wewe uliona wapi mtu kuchoma ushahidi muhimu ambao ungeisaidia Dunia kuujua ukweli?.

Magufuli alikuwa ndani ya mioyo ya wananchi kutokana na alivyokuwa akisimamia mambo na kuhakikisha yanatendeka ipasavyo na kwa wakati.

Kama binadamu alikuwa na mapungufu yake pia.
Lakini hayakuweza kufunika yale mengi mazuri aliyokuwa ameyaasisi.

Vema mumuache alikotangulia kwenye haki ya kweli na nyinyi mliobaki hai bado.
Mngejikita kupambana na yaliyo mbele yenu kuliko kila kukicha mnapambana na mtu aliyekwisha lala milele.

Hii pia ni uthibitisho kwamba Magufuli alikuwa anakubalika na bado anawanyima usingizi mlio hai,kwa kivuli chake tu.View attachment 2240240
Kayafa..
 
Waterezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.

Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?

Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.

You can be foolish but you can't fool us!!
Unaweza ukaweka ushahidi wa wizi hadharani au ni ule ule umbeya wa facebook na twitter?. Unaweza ukaenda mahakamani kufungua kesi kwa haya uliyoyaanzishia kabisa uzi au ndio kilio kilio kile kisicho na sababu za msingi?.

Samia anahangaika anatembea duniani nzima na anapata pesa zinazotekeleza miradi mbali mbali, na yeye ikifika 2025 akipata ushindi wa asilimia 85 au 90 ataambiwa kaiba kura!!.

Hizi ni akili ambazo haziwezi kumshawihi mtu makini akaziunga mkono. Kumbuka kuna maisha ya nyuma ya keyboard na kuna yale ya mtaani, ni vitu viwili tofauti.
 
Waterezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.

Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?

Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.

You can be foolish but you can't fool us!!
Hata mke wake alikuwa hamkubali
 
Ni wapi na ulipo ushahidi wa kuthibitisha madai ya wizi wa kura uliofanywa na magufuli ?

Unapoandika uzi kwenye jukwaa hili hasa kuwahusu viongozi hao wa kitaifa ni vema unatuwekea ushahidi na sio dhana fikirika.

Halafu unapaswa kujiuliza swali moja.

Chadema walidai kukamata begi la Kura feki walizodai ilikuwa zitumbukizwe kwenye kasha la kura!

Lakini Chadema hao hao ndio waliochoma hilo begi badala ya kulitunza na kura hizo ili ziwe kidhibiti muhimu sana baada ya uchaguzi.

Wewe uliona wapi mtu kuchoma ushahidi muhimu ambao ungeisaidia Dunia kuujua ukweli?.

Magufuli alikuwa ndani ya mioyo ya wananchi kutokana na alivyokuwa akisimamia mambo na kuhakikisha yanatendeka ipasavyo na kwa wakati.

Kama binadamu alikuwa na mapungufu yake pia.
Lakini hayakuweza kufunika yale mengi mazuri aliyokuwa ameyaasisi.

Vema mumuache alikotangulia kwenye haki ya kweli na nyinyi mliobaki hai bado.
Mngejikita kupambana na yaliyo mbele yenu kuliko kila kukicha mnapambana na mtu aliyekwisha lala milele.

Hii pia ni uthibitisho kwamba Magufuli alikuwa anakubalika na bado anawanyima usingizi mlio hai,kwa kivuli chake tu.View attachment 2240240
Tatizo la wabongo wengi story za vijiweni ndio wanatuletea tuzijadili.Hii ni tatizo kubwa Sana.
 
Magufuli alijadili na kuamua kufanya mambo mengi na msaidizi wake mkuu Rais wa sasa Bi. Samia.

Walishirikiana bega kwa bega.
 
Back
Top Bottom