mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Treni ya kutoka Kigoma yapata ajali mitaa ya Kibirizi

    Treni iliyokuwa ikitokea Kigoma kuelekea jijini Dar es Salaam imepata ajali mita chache kutokea stesheni ya mkoa wa Kigoma ambapo mabehewa matatu kati ya 14 yaliyokuwa yamebeba abiria yameacha njia katika eneo Kibirizi Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma. Ilikuwa ni majira ya saa tatu...
  2. BARD AI

    Maputo: Polisi watumia Mabomu ya Machozi na Kujeruhi Waandamanaji wanaopinga Matokeo ya Serikali za Mitaa

    Polisi Jeshi la Polisi jijini Maputo limetumia Mabomyu ya Machozi kuwatanya Waandamanaji wa Upinzani huku wengine wakijeruhiwa kutokana na kupinga matokeo ya Uchaguzi uliofanyika Wiki moja iliyopita wakidai Chama Tawala (FRELIMO) kiliiba Kura. Maandamano hayo yanafuatia uamuzi mwingine wa...
  3. N

    Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa anataka kuniuzia kiwanja changu mwenyewe

    Nina kiwanja changu kama nusu eka nilichonunua 2012 maeneo ya Chanika. Nilikizungushia fence ya waya na mara moja moja nilikuwa natuma mtu apasafishe. Takriban miaka 6 nilikuwa nje ya Dar kikazi. Nimerudi mwisho wa mwezi wa 9 ila ilikuwa sijapata fursa ya kwenda kwenye kiwanja changu. Jana...
  4. K

    Migogoro mingi ya ardhi inasababishwa na Madiwani na Wenyeviti wa mitaa

    Ni usiku mwema kwa wote wana jf, Nimeona ni jambo jema na la kufanyiwa kazi hasa kwa Wizara ya ardhi. Ili kuepusha migogoro na malumbano yasio na tija kwa eneo husika hasa wananchi kwenye swala la ardhi ni vyema hawa viongozi wetu tajwa hapo juu wachaguliwe kulingana na tabia nzuri zisizo na...
  5. DR HAYA LAND

    Maisha ya kijijini na Maisha ya Sehemu au mitaa ya kijijini hayana utofauti wowote.

    Personally ukiyatazama Maisha ya uswahilini huwezi yatofautisha na Maisha ya kijijini. Mfano Tandika Bidhaa zipo bei Rahisi Sana Kuanzia soko la sterio na masoko mengine. Mzunguko wa hela , uswahilini pesa haizunguki Sana labda bidhaa za chakula. Warembo wa huku ni wale ambao hawana...
  6. Roving Journalist

    DAWASA yafafanua sababu ya maji kukatika mitaa ya Tabata

    Baada ya kudaiwa kuna changamoto ya huduma ya maji Mitaa ya Tabata hasa kuanzia Posta kuelekea Segerea, ikiwa ni wiki ya pili kuna uhaba wa maji huku Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ikiwa haitoi taarifa ya kinachoendelea, ufafanuzi umetolewa. Awali ilidaiwa kuwa...
  7. G

    Wajumbe wa nyumba kumi au serikali za mitaa ndio wajumbe wa Chama ( CCM)?

    Nilikuwa nauliza ndugu zangu naomba kupata ufafanuzi wa hili jambo binafsi linanichanganya hawa wajumbe wa Serikal za mitaa au balozi wa nyumba kumi ndio hao hao wajumbe wa chama (CCM)?
  8. BigTall

    Mwili wa Mwanaume waokotwa mitaa ya Jangwani, inadaiwa alishambuliwa, kuuawa kisha kutupa

    Mida ya saa kumi jioni ya leo Septemba 4, 2023 nilipita maeneo haya ya Jangwani karibu na mto, nikaona kuna mwili wa mwanaume ukiwa umetupwa. Mashuhuda wanadai itakuwa jamaa ameshambuliwa na kuuliwa kisha kutupwa eneo hilo. Sijajua huo mwili ni wan ani hasa lakini nimeshuhudia Jeshi la Polisi...
  9. K

    Maduka ya vifaa vya uvuvi kama engine mwanza yanapatikana mitaa ipi?

    Jamani maduka ya vifaa vya uvuvi kama mashine mwanza yanapatikana mitaa gani?
  10. M

    Tetesi: Kuna mpasuko mitaa ya Ufipa. Ishu ya bandari yatajwa

    Habari zilizonifikia kutoka kwenye vyanzo vyangu vinavyoaminika vinadai kuna mpasuko mkubwa kwenye korido za ufipa kwa kile kilichotajwa kuwa baadhi ha makada waandamizi kutoridhishwa na mwelekeo wa siasa za chama zilizojaa udini siku za hivi karibuni. Tetesi zinasema tayari wanachama wengi...
  11. Kariakooking1978

    SHOPPING SERVICES: Nanunua, nafunga na kusafirisha bidhaa kutoka Kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani

    NANUNUA,NAFUNGA NA KUSAFIRISHA BIDHAA KUTOKA KARIAKOO KWENDA MIKOA YOTE TANZANIA NA NCHI JIRANI. HUDUMA ZA ZIADA 📌Nafuata,nafunga na kusafirisha bidhaa iliyokwisha kununuliwa Kariakoo kupitia mitandao kama fb na insta. 📌Nafanya ukaguzi na kuhakiki ubora wa bidhaa uliyonunua kariakoo kupitia...
  12. Tukuza hospitality

    SoC03 Serikali za Mitaa Ziimarishwe Ili Kuharakisha Maendeleo ya Wananchi

    ConstantineJ. Samali Mauki Utangulizi Serikali za mitaa ni chombo cha utawala wa umma, kilichopewa madaraka ya kuamua na kuendesha shughuli zake katika sehemu ndogo ya nchi au Taifa. Hizi ni halmashauri za wilaya, miji, manispaa na majiji ambazo zinasimamia shughuli za maendeleo za kata...
  13. aronstephy

    Wanatani wa Yanga mitaa ya Mbezi kwa yusuph washerekea ubingwa kwa namna yake

    kundi la vijana wakike kwa wakiume wakiwa na furaha sana, wakiimba ule wimbo pendwa wa leo ndo leo huku wakiendelea na maandalizi ya Mbuzi watatu pamoja na vyakula vingine, pamoja ya hayo wakiwa ndani ya mavazi (sio wote)ya kanzu wanasherekea ubingwa wa USM. Vigoma pia vinaandaliwa (kuanzia...
  14. Mabula marko

    SoC03 Tuwakumbuke Viongozi wa halmashauri za vijiji, Vitongoji na mitaa katika kuumega mkate

    utangulizi Utawala wa vijiji ,vitongoji na mitaa ni miongoni mwa tawala katika serikali za mitaa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni utawala wa chini kabisa kimuundo ukitanguliwa na utawala wa Kitongoji. Kuwa utawala wa chini haimaanishi kuwa na umuhimu mdogo; isipokuwa ni kupitia...
  15. Roving Journalist

    Bajeti ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa mwaka wa fedha wa 2023/24

    Hotuba ya waziri wa nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Jasmine Kairuki akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha wa 2023/24
  16. Baba jayaron

    Tuliojaza Green Card Lottery mitaa ya Mlimani City surveys majibu vipi?

    Poleni kwa misiba Watanzania, Naanzisha uzi huu kama rambi rambi kwa mwanachama mwenzetu aliyefariki hivi karibuni mzee wa bomayeee, case closed, free education n.k, kifupi tutammiss kwa zile mbwembwe zake katika social networks. Hoja yangu ni hii, nataka tufahamiane iwapo yupo yeyote...
  17. W

    Burger mitaa ya Posta

    Kipindi fulani miaka ya nadhani late 80's na kurudi nyuma kulikuwa na Kiosk kimoja hapo Mitaa mbako baadae ikaja kuwa maeno ya Billicans club. Ilikuwa wanauza Hamburgers matata sana, taste ya zile hamburge, ile beeef kile kitunguu na ile buns mpaka leo I can taste them. Nani alikuwa owners...
  18. peno hasegawa

    Waziri wa Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Anjela Kairuki jiuzulu!

    Nirejee kusema kuwa Waziri Anjela Kairuki Wizara hiyo imekushinda. Wizi ni 100% kwenye mikoa na Halmashauri, nchi pia ukirejea ripoti ya CAG. Nikutake utamke neno moja Tu, Jiuzulu nafasi hiyo japo Hata Samia mambo yamshinda Yeye Tutakuwana naye kwenye kampeni 2025
  19. BARD AI

    Ripoti ya CAG 2021/22: Mamlaka 180 za Serikali za Mitaa zimeshindwa kurejesha Tsh. Bilioni 88.42 ilizozikopesha

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa mara nyengine ameendelea kuonyesha udhaifu mkubwa na ubadhirifu katika Fedha za Mikopo inayotolewa na Halmashauri za Wilaya, Miji, Manispaa na Majiji kwa vikundi vya Vijana, Wanawake na Watu wenye ulemavu. Fedha hizi ni 10% ya Mapato ya Ndani...
  20. Kommando muuza madafu

    TUJIKUMBUSHE: Timu Maarufu za Ndondo kutoka mitaa yetu

    Kama Mada Inavyosema. Mimi nimekulia Morogoro na nimecheza sana ndondo miaka ya late 1990's na 2000's nikitokea timu ya Ghetto Boys ya Mvomero. Katika makuzi yetu tulikuwa tunacheza sana ndondo huko Mvomero na Moro kwa Ujumla na katika mashindani ya Kiwilaya na Mkoa tulikuwa tunakutana na...
Back
Top Bottom