Wakuu,
Wadau mbalimbali wameeeendelea kutoa maoni Yao baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kumalizika
Huko mkoani Geita katika Wilaya ya Nyang'hwale wanachama wa CHADEMA wamejitokeza na kuzungumzia namna ambavyo hawajaridhishwa na mchakato wa Uchaguzi.
Wanachama hao walidai kumekuwa na...
Salaam, Shalom!!
Palikuwa na ujumbe usemao:
"Bila Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi, hapatafanyika uchaguzi wowote wa HAKI ( uchaguzi utayeyuka).
Swali: 1.
Palikuwapo uchaguzi, au uchaguzi uliyeyuka na kuota mbawa?
Swali no 2.
Na kama uchaguzi uliyeyuka, lini tutafanya uchaguzi huo wa...
VIONGOZI WALIOCHAGULIWA WAKATATUE CHANGAMOTO KWENYE MITAA, VIJIJI NA VITONGOJI VYAO.
Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu CPA Amos Makalla akizungumza na Waandishi wa Habari amewataka Viongozi waliochaguliwa kwenda kuwafanyia kazi Wananchi kama walivyoomba na kuacha tabia...
Leo Novemba 29, 2024 kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema: Tunakemea na kulaani matukio ya mauaji yaliyotokea kwa vyama vyote katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Na mimi niungane na viongozi wa dini kukemea matukio haya...
Wenyeviti wa mitaa wateule 106 na wajumbe 530 kutoka katika kata 20 za Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, wameapishwa leo Novemba 28, 2024 katika Ukumbi wa Soko Kuu la Magomeni.
Akizungumza katika hafla ya kuwaapisha viongozi hao, Msimamizi wa Uchaguzi wa Manispaa ya Kinondoni ambaye...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Njombe Rose Mayemba amedai kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana, Novemba 27.2024 nchini kote haukuwa uchaguzi kama ilivyodhaniwa badala yake ilikuwa ni oparesheni kuwashughulikia wapinzani nchini
Rose ameeleza hayo...
Wakati misuko misuko ya kisiasa ilipokuwa upande wa Zanzibar, wanasiasa wengi waliamini mizozo ya kisiasa ya Zanzibar ni ya kihistoria, hawakujua kwamba ilikua nguvu moja kuindoa nyingine. Wanajf wengi wakiponda wakiona kama mambo ya kufikirikika.
Sasa yamehamia upande wa pili. Ambao enzi...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda katika mitaa yote minne ya Kata ya Osunyai Jr, ambapo matokeo ya mitaa hiyo ni kama ifuatavyo:
1. Osunyai
2. Mtaa wa Jr
3. Kirika B
4. Ngusero
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amepiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo Wagombea wote wakubali matokeo.
"Watu wamejitokeza kwa wingi hilo jambo linafurahisha, nataka kutoa wito kwa Wagombea wote wakubali matokeo sababu hii...
Chama kama kinakubalika na wapiga kura Kuna haja Gani ya kutumia nguvu kubwa namna hii na wizi wa kura ata uchaguzi wa serikali za mitaa? Aya ni maajabu mengine nayashuhudia Tanzania
Kwamba kura zishapigwa kitambo waliopiga awajulikani
Daah hii kitu inaitwaje sijaelewa kabisa ni mambo ya aibu...
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa Novemba 27, 2024 ameshiriki katika zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, kwenye kituo cha Shule ya Msingi Nandagala, Ruangwa, Lindi.
Akizungumza baada ya kupiga kura ambapo aliongozana na Mkewe Marry Majaliwa...
Maoni ya wakazi wa Kata ya Levolosi, Arusha kuhusu zoezi la kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024.
TBC imeshuhudia zoezi hilo la upigaji kura likiendelea katika mazingira ya amani na utulivu.
Baadhi ya wananchi waliopiga kura wameonyesha...
arusha
kuchagua
kuchagua viongozi
kuhusu
kupiga
kupiga kura
kura
maoni
maoni ya wananchi
mitaa
serikali
serikali za mitaa
viongozi
viongozi wa serikali
wananchi
zoezi
Mbunge wa Viti Maalum ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga ameungana na wananchi wa Kitongoji cha Kiriche kupiga kura mapema leo Novemba 27, 2024 kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa katika Kata ya Makuyuni, Kitongoji cha Kiriche...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amepiga kura katika kituo cha shule ya msingi Dodoma Mlimani iliyopo Mtaa wa Salmini kata ya Tambukareli.
Baada ya kupiga kura amezungumza na Waandishi wa habari ambapo amewahimiza wakazi wa Dodoma kutimiza haki yao ya kikatiba kwa kujitokeza...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla, amewasili mtaa wa TPDC Mikocheni B Jijini DSM kwa ajili ya kupiga kura ya kuchagua viongozi wa serikali za mitaa ikiwa Mwenyekiti pamoja na wajumbe wa Serikali za Mitaa.
Mkuu wa wilaya ya Tanga Mhe Japhari Kubecha leo Tarehe 27 Novemba 2024 Ameongoza Wananchi wa Wilaya ya Tanga kwenye zoezi la kupiga kura kuchagua Viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata ya Central kituo cha Raskazone.
Hivi karibuni huko Tanzania Bara kumekuwa na mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo leo Novemba 27, 2024 Wananchi wanapiga kura.
Mimi kama mdau wa siasa na mifumo ya Uchaguzi Zanzibar nimekuwa nikipokea maswali mengi kuhusu kwanini Zanzibar kumekuwa hamna shamrashamra za Uchaguzi kama...
Mbunge wa Makete (CCM), Festo Sanga ni mmoja kati ya Wabunge ambao wamejitokeza kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024 katika Mikoa yote Nchini.
Sanga amepiga kura katika Jimboni la Makete, Kijiji cha Bulongwa - Kitongoji cha Amani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.