Wote wenyeviti wa wastaafu vyama vyenye nguvu kwa kila upande. Zanzibar vs Tanzania Bara.
Juma Duni bado tunamuona yupo kimkakati na ACT WAZALENDO, anaongea kauli za ACT za mwenyekiti wake, yupo karibu na nwenyekiti wake. Jee MBOWE bado pamoja na chadema? Kama yupo mbona hatumuoni kuhusu swala...
Mbowe ndo alikuwa anafaa sana kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Nikiangalia naona hiki chama kwa sasa kinakuwa cha misimamo mikali.
Lissu na Heche hawa ni wabishi na hawataki kusikiliza ya wenzao. Wao wanataka kusimamia wanachomini tu. Wanasahau kuwa kuna wakati wanatakiwa kulegeza wanachikichia...
Wenyeviti wa Mamlaka ya mji mdogo mjini Maswa mkoani Simiyu wamegomea agizo la Mkuu wa wilaya ya Maswa,Dkt Vicent Anney la kuwataka kutotumia mihuri katika kutekekeza majukumu yao wakidai inawanyima nguvu ya kufanya kazi.
Wenyeviti wengi wa Kamati hizo walitakiwa kupigiwe kura kama ilivyo kawaida lakini kilichofanyika majina yalikuja from no where watu wakasomewa majina ya Wenyeviti, ikawa imeisha hiyo.
Wabunge walibaki na maswali yasiyo na majibu. Kisha huku nje ikaja kutangazwa kuwa wamepigiwa kura wameshinda...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, ametoa wito kwa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa, Watendaji wa kata na polisi kata wilayani humo kuhakikisha vijana, hususan wale wanaojishughulisha na ubodaboda, umachinga na saluni; wanalelewa na kuratibiwa ipasavyo ili kuepusha uwezekano wa kutumiwa...
Kuna mambo ukiyawaza sana unabaki unawaza hawa watu wamekuwa je?. Baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 ambao ulikuwa ni sehemu ya waharifu kujitangazia ushindi wa kishindo wa uongozi kwa kutumia mbinu za miaka ya 1200 huko.
Waliopewa ushindi walianza kulalamika kuwa hawana mamlaka...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar Es Salaam imetolea ufafanuzi amri ya zuio la kufanya shughuli za kisiasa kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambapo Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu na Makamu Wenyeviti wake wawili (2) ambao ni John Heche wa...
Wenyeviti wa serikali za mitaa ndio msingi wa uongozi katika nchi hii, kama sasa hivi wanapita nyumba kwa nyumba, kuhakikisha kwamba wanatambua nyumba zilizopo, wanapiga picha ili mwisho wa siku serikali iweze kukusanya kodi kwenye sekta hiyo, wanafanya kazi kubwa lakini wanalipwa laki moja tu...
“Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kulipa posho za waheshimiwa madiwani, posho za waheshimiwa wenyeviti wa Serikali za vijiji na mitaa, lakini tutaendelea kuona uwezekano kwa kadri ya uwezo wa serikali, namna ambavyo halmashauri zitaboresha posho za wenyeviti wa vijiji.” – Dkt...
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar Es Salaam(DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire ametoa wito kwa wenyeviti wa serikali za mitaa kutoka wilaya ya Kigamboni kuhamasisha wananchi kuweza kujiunga na mtandao wa maji ili waweze kuvutiwa maji majumbani kwao.
Mhandisi...
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam DAWASA Mhandisi Mkama Bwire amesema wanakusudia kurejesha Mamlaka hiyo kwa wananchi ili kutoa fursa na na nafasi ya kufikisha mrejesho wa huduma na kutatua changamoto za Maji ili kusaidiwa kwa haraka.
Mhandisi...
AWESO AITAKA DAWASA KUSHIRIKIANA KWA KARIBU NA WENYEVITI WA MITAA
Waziri wa Maji, Jumaa Awesso ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) kushirikiana kwa karibu na wenyeviti wa mitaa ili kuweza kutatua changamoto za maji pamoja na kurahisisha ufikishaji wa huduma...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe Saad Mtambule amezitaka taasisi zinazofanya kazi ndani ya wilaya hiyo kuiga mfano wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ya kuwashirikia viongozi wa Serikali za mitaa kwenye utekelwzaji wa majukumu yao.
Amesema hatua hiyo itawasadia...
..Press conference ya kwanza hii hapa.
https://www.youtube.com/watch?v=lFV-oPTTN28
..Press conference ya pili hii hapa.
https://www.youtube.com/watch?v=Eidcj4OZ5AI
CC Erythrocyte , Tindo, brazaj, Fundi Mchundo
https://www.youtube.com/live/ayxulwI31K4?si=kqdYhKIBgFkjxq0k
Hatimaye wenyeviti na Makatibu WOTE wa MIKOA wamekutana kwa pamoja ili kutoa msimamo Wao kuelekea Jan 21.
Fuatilia jf kwa habari za papo hapo
Ndugu zangu Watanzania,
Hawa ndio Makamu Wenyeviti wa CCM tangia Kuasisiwa kwake Mwaka 1977 Februari 5.
Ukiwatazama tu na kufuatilia tu historia zao na heshima zao katika Taifa letu .utagundua kuwa nafasi hiyo haijawahi kushikwa na mtu mwepesi mwepesi na asiyefahamu historia Ya Taifa letu.
Ni...
Kinachomtofautisha Tundu Lissu wanasiasa wengi hapa Tanzania ni usomi wake.
Jenerali Ulimwengu hakukosea aliposema kwamba kila anapozungumza Lissu yeye humsikiliza kwa makini sana.
Mara nyingi katika mazungumzo yake Tundu Lissu lazima atatoa neno au somo jipya kwa wasikilizaji wake.
Msikilize...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.