Fedha za alama za mitaa zinatoka mfuko upi?

wilson nisha

Member
Mar 13, 2020
27
21
Nauliza je, ni wananchi wanaweka alama za mitaa kwa fedha zao au mfuko wa halmashauri? Maana nimeona sehemu raia wanalalama.

Huko kwenu jamani nani anaweka hizi alama?
 
Waziri Nape anasema bungeni kwamba zoezi limekamilika kwa 104% meanwhile mahali nilipo kata nzima hakuna nyumba yenye kibao wala barabara iliona kibao.
 
Mi swali naulza fedha za hizi alama wanatoa wananchi au Kuna mfuko ktk halmashauri? Maana nimeona kata flani wananchi wanalalamika wanaambiwa kibao kimoja ni zaidi ya elfu 80, je kata zilizoweka alitoa Nani? Wanaojua utaratibu watoe majibu
 
Kile kibao huku kwetu kinagharimu kiasi cha T sh 85000 kwa mzabuni pendekezwa hapa ni maeneo flani kanda ya ziwa
 
Back
Top Bottom