Zambia: Madaktari Waandamana kuelekea Ikulu, Polisi wawasindikiza

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,650
218,111
Nchini Zambia madaktari wasio na ajira wameandamana kuelekea Ikulu ya Nchi hiyo ili kufikisha malalamiko yao kwa Rais Hichilema kwa lengo la kujua hatima yao .

Cha kushangaza ni hatua ya Polisi wa nchi hiyo kujitokeza na kuwasindikiza waandamanaji hao kuelekea Ikulu , katika nchi ambayo ni majuzi tu ilikuwa mwiko kuandamana popote, vinginevyo wangetandikwa marungu, kuvunjwa miguu au hata kuuawa , HUU NDIO UTARATIBU WA NCHI NYINGI ZA KIDIKTETA ZA KIAFRIKA IKIWEMO TANZANIA , ambako maandamano yaliua Akwilina .

Nachukua nafasi hii kuipongeza Serikali mpya ya Zambia kwa kuamua kuachana na siasa za kishamba na Udikteta uliopitwa na wakati.

===

Madaktari ambao hawajaajiriwa nchini Zambia, wameandamana kwenda Ikulu wakitaka kuzungumza na Rais Hakainde Hichilema ili kujua hatma yao.

Maandamano hayo ya amani, yanakuja siku chache baada ya madaktari hao, kuandamana jijini Lusaka wakiitaka serikali iwaajiri.

Katika hali ambayo haijazoelekeza nchini humo, polisi wengi walionekana wakiwasindikiza waandamanaji hao kuelekea ikulu, tofauti na maandamano yaliyokuwa yakifanyika katika tawala zilizopita ambapo polisi walikuwa wakiwaadhibu vikali waandamanaji kila wanapojaribu kukusanyika.
---

UNEMPLOYED Doctors this morning staged a peaceful protest with the aim of marching to State House to seek audience with President Hakainde Hichilema over the need to employ about 800 Doctors Country wide.

The doctors said they want the Head of State to give a directive that all the 800 doctors will be employed at once, a situation that will bring the issue of volunteering to an end.

And speaking on behalf of the doctors, Resident Doctors Association of Zambia (RDAZ) National Executive Planner Dr. Chifuka Phiri said all what the Doctors want is a clear road map about their employment.

Dr. Phiri said most Doctors have volunteered for more than one year exposing them to various diseases of which they cannot even be compensated for.

He explained that although the minister of health has been on record stating that the employment has commenced no Doctor has been employed by the new dawn government.

Dr Phiri noted that Government needs to realize that doctors are essential workers who need to be employed for the betterment of all citizens in the country.

“Our parents have spent so much money on our school and they are looking forward to a time we can help our young ones,” he said.
And speaking when he addressed the protesting Doctors, Ministry of Health Permanent Secretary in charge of Technical Services, Professor Luckson Kasonka maintained that recruitment of Health workers will be done systematically.

Professor Kasonka explained that it is not yet clear as to when the actual recruitment will be done, but that planning aimed towards the recruitment has already commenced.

He has since urged the Doctors to exercise patience as the recruitment process has already began.

“There has been a commitment by bally your father, and employment of the 11,200 health workers will take effect from the new dawn budget that was implemented last month,” he said.

Kwani hawawaogopi? Mara paaap wanawapiga mabomu, paap Hichilema anawapa ajira, Aisee hatari yake unaijua!
Bifu lisiloisha, kuna Polisi akitokea mbele ya dakitari aliyepigwa bomu atalipiziwa kisasi. Japo unethical kwa madakitari.
 
Sasa thubutu kuandamana kwenye nchi ya chief hangaya, MBWA KOKO hawa watakuvunja miguu, walivyowapumbavu wanawapambania watu ambao wala hawajali maslahi yao, ukiona vikota vyao ni mbavu za mbwa kachoka. Nyumba kama genge.

Polisi tz wajitathmini saana,hawana udugu na raia kabisa, ukiwa na mali watakupora, watakubambikia kesi, yaani ni vurugu mechi tu.
 
Safi Sana. Iko siku na Tanzania Wadada poa wataandamana na kusindikizwa, maana hili ndio tumeonesha uwezo kuwa linawezekana.!
 
Madaktari ambao hawajaajiriwa nchini Zambia, wameandamana kwenda Ikulu wakitaka kuzungumza na Rais Hakainde Hichilema ili kujua hatma yao.

Maandamano hayo ya amani, yanakuja siku chache baada ya madaktari hao, kuandamana jijini Lusaka wakiitaka serikali iwaajiri.

Katika hali ambayo haijazoelekeza nchini humo, polisi wengi walionekana wakiwasindikiza waandamanaji hao kuelekea ikulu, tofauti na maandamano yaliyokuwa yakifanyika katika tawala zilizopita ambapo polisi walikuwa wakiwaadhibu vikali waandamanaji kila wanapojaribu kukusanyika.

Source: mwebantu
===

UNEMPLOYED Doctors this morning staged a peaceful protest with the aim of marching to State House to seek audience with President Hakainde Hichilema over the need to employ about 800 Doctors Country wide.

The doctors said they want the Head of State to give a directive that all the 800 doctors will be employed at once, a situation that will bring the issue of volunteering to an end.

And speaking on behalf of the doctors, Resident Doctors Association of Zambia (RDAZ) National Executive Planner Dr. Chifuka Phiri said all what the Doctors want is a clear road map about their employment.

Dr. Phiri said most Doctors have volunteered for more than one year exposing them to various diseases of which they cannot even be compensated for.

He explained that although the minister of health has been on record stating that the employment has commenced no Doctor has been employed by the new dawn government.

Dr Phiri noted that Government needs to realize that doctors are essential workers who need to be employed for the betterment of all citizens in the country.

“Our parents have spent so much money on our school and they are looking forward to a time we can help our young ones,” he said.

And speaking when he addressed the protesting Doctors, Ministry of Health Permanent Secretary in charge of Technical Services, Professor Luckson Kasonka maintained that recruitment of Health workers will be done systematically.

Professor Kasonka explained that it is not yet clear as to when the actual recruitment will be done, but that planning aimed towards the recruitment has already commenced.

He has since urged the Doctors to exercise patience as the recruitment process has already began.

“There has been a commitment by bally your father, and employment of the 11,200 health workers will take effect from the new dawn budget that was implemented last month,” he said.

FB_IMG_1645441385750.jpg
 
Polisi kuandamana ni jambo la kufurahisha Sana kwako. Miujiza hi. kuandamana ni ujinga wakati mwanae mbowe Yuko chuoni ulaya akisoma na kunywa pamoja mwanae mshua magu
 
Sasa thubutu kuandamana kwenye nchi ya chief hangaya, MBWA KOKO hawa watakuvunja miguu, walivyowapumbavu wanawapambania watu ambao wala hawajali maslahi yao, ukiona vikota vyao ni mbavu za mbwa kachoka. Nyumba kama genge.

Polisi tz wajitathmini saana,hawana udugu na raia kabisa, ukiwa na mali watakupora, watakubambikia kesi, yaani ni vurugu mechi tu.
Wakati kwenye familia zao ndugu kibao wanalia matatizo
 
Nchini Zambia madaktari wasio na ajira wameandamana kuelekea Ikulu ya Nchi hiyo ili kufikisha malalamiko yao kwa Rais Hichilema kwa lengo la kujua hatima yao .

Cha kushangaza ni hatua ya Polisi wa nchi hiyo kujitokeza na kuwasindikiza waandamanaji hao kuelekea Ikulu , katika nchi ambayo ni majuzi tu ilikuwa mwiko kuandamana popote, vinginevyo wangetandikwa marungu, kuvunjwa miguu au hata kuuawa , HUU NDIO UTARATIBU WA NCHI NYINGI ZA KIDIKTETA ZA KIAFRIKA IKIWEMO TANZANIA , ambako maandamano yaliua Akwilina .

Nachukua nafasi hii kuipongeza Serikali mpya ya Zambia kwa kuamua kuachana na siasa za kishamba na Udikteta uliopitwa na wakati.

===

Madaktari ambao hawajaajiriwa nchini Zambia, wameandamana kwenda Ikulu wakitaka kuzungumza na Rais Hakainde Hichilema ili kujua hatma yao.

Maandamano hayo ya amani, yanakuja siku chache baada ya madaktari hao, kuandamana jijini Lusaka wakiitaka serikali iwaajiri.

Katika hali ambayo haijazoelekeza nchini humo, polisi wengi walionekana wakiwasindikiza waandamanaji hao kuelekea ikulu, tofauti na maandamano yaliyokuwa yakifanyika katika tawala zilizopita ambapo polisi walikuwa wakiwaadhibu vikali waandamanaji kila wanapojaribu kukusanyika.
---

UNEMPLOYED Doctors this morning staged a peaceful protest with the aim of marching to State House to seek audience with President Hakainde Hichilema over the need to employ about 800 Doctors Country wide.

The doctors said they want the Head of State to give a directive that all the 800 doctors will be employed at once, a situation that will bring the issue of volunteering to an end.

And speaking on behalf of the doctors, Resident Doctors Association of Zambia (RDAZ) National Executive Planner Dr. Chifuka Phiri said all what the Doctors want is a clear road map about their employment.

Dr. Phiri said most Doctors have volunteered for more than one year exposing them to various diseases of which they cannot even be compensated for.

He explained that although the minister of health has been on record stating that the employment has commenced no Doctor has been employed by the new dawn government.

Dr Phiri noted that Government needs to realize that doctors are essential workers who need to be employed for the betterment of all citizens in the country.

“Our parents have spent so much money on our school and they are looking forward to a time we can help our young ones,” he said.
And speaking when he addressed the protesting Doctors, Ministry of Health Permanent Secretary in charge of Technical Services, Professor Luckson Kasonka maintained that recruitment of Health workers will be done systematically.

Professor Kasonka explained that it is not yet clear as to when the actual recruitment will be done, but that planning aimed towards the recruitment has already commenced.

He has since urged the Doctors to exercise patience as the recruitment process has already began.

“There has been a commitment by bally your father, and employment of the 11,200 health workers will take effect from the new dawn budget that was implemented last month,” he said.

View attachment 2126028
Polithi ni km robot,wanafanya mambo kulingana na aliyeshika rimot anavyotaka,naamin hilo ni igizo km maigizo mengine
 
Back
Top Bottom