sehemu za siri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kunuka mdomo ni ishara ya sehemu za siri kutoa harufu kali zaidi?

    Na hiyo ni kwa jinsia zote. Na je,ni kweli mapenzi ni uchafu na hivyo inafaa kuvumilia uchafu, harufu mbaya na kali ya mpenzi wako hasa wakati wa kunyanduana? Mungu Ibariki Tanzania.
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe makini, Wizi wa sehemu za siri za kiume "Penis snatching" umeingia Tanzania

    Ni wizi huu wa sehemu nyeti kwa njia za kishirikina uliokuwa maarufu Congo na sasa umeingia Tanzania, Wizi huu unaripotiwa na wahanga pale mtu mnapokutana akikushika mkono au kukupiga begani huku akizuga kuomba njia apite, kukusalimia, kukusifia, n.k. Utahisi mwili unavibrate na kudhani ni...
  3. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Naskia Songwe wadau wanapoteza sehemu za Siri kwa kuguswa bega. Wadau wa Songwe Kuna ukweli gani?

    https://www.instagram.com/reel/DWo8mLfDFW8/?igsh=NzM3MmtpOGcxNmZk Katika pitapita zangu za online nimekutana na taarifa iliyorushwa Jana, wadau huko Songwe wanasema Kuna watu wanakugusa bega baada ya hapo sehemu zako za siri zinapotea. Wadau wanaamini wanajikinga kwa kuvàa rubber band na pin...
  4. Jay El

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Uume wa mtoto ukidondokewa na kitovu chake huacha kusimama

    Je ni imani za kweli kuwa kitovu cha mtoto mchanga kikiangukia uume huyo mtoto atakua hasimamishi? Wajuvi wa mambo tunaomba mtusaidie.
  5. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri; nimerudi safari nimekuta mke sehemu za Siri zinamuuma na anazichua kwa maji ya moto.

    Baada ya kujichua siku tatu amepona. Hii imekaaje wadau?!!! Maana sielewi elewi tu.
  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fahamu Uwiano wa Vidole vya Mkononi na Sehemu za Siri Kwa Jinsia Zote

    Kama ilivyo ada mapenzi ndio Dunia na Dunia haina maana bila mapenzi, narejeq kwa vifijo na ndelemo nyingi katika uga wa mahaba nihabue mapenzi nipenzue. Huuuui huuui ndivyo waweza kupiga yowe katika anga za 6*6. Nasema hivi ukiona mwanamke anavidole vya mkononi virefu kuliko mwanaume wake...
  7. VictoriaGreenHerbal

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Fangasi Sehemu za Siri kwa Wanawake ni kubwa sana

    Fangasi sehemu za siri ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi. Dalili zake ni kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya, kuwasha, na hali ya aibu hasa unapokuwa karibu na watu au unaposhiriki tendo la ndoa. Tatizo hili likiachwa bila matibabu linaweza kuendelea kukuletea usumbufu mkubwa na kupunguza...
  8. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Atundikwa juu ya mti bila nguo na kupigwa fimbo 70 kisha kubanwa sehemu za siri kwa koleo la kuhasi mifugo akituhumiwa kuiba mahindi

    Kijana William Mbise (28), mkazi wa Wilaya ya Arumeru, Kata ya King'ori, Kijiji cha Kirenga, amepoteza maisha kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kuchapwa fimbo 70 kama adhabu ya kimila iliyotekelezwa na vijana wa rika lake wa kabila la Kimeru, kutokana na kutuhumiwa kuiba mahindi yaliyokuwa shambani...
  9. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Fangasi Sehemu Za Siri Kwa Mwanaume.

    Fangasi Kwa Mwanaume: Fangasi kwenye uume (fungal infections in men) ni maambukizi yanayosababishwa na fangasi wa aina mbalimbali, hasa Candida albicans. Maambukizi haya huathiri ngozi ya uume na maeneo ya karibu, na mara nyingi huambukizwa kutokana na usafi duni wa sehemu za siri. Maambukizi...
  10. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Dawa Ya Visunzua Sehemu Za Siri.

    Visunzua Sehemu Za Siri: Visunzua sehemu za siri vinavyojulikana kitaalamu kama genital warts ni vinyama vidogo vinavyoota sehemu za siri kutokana na maambukizi ya HPV (Human Papillomavirus). Hutokea kwa wanaume na wanawake, na mara nyingi husambazwa kwa njia ya ngono isiyo salama. Dawa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ujue umeme uliopo katika sehemu za siri za mwanamke na kazi zake

    Habari ndugu zangu wapendwa! Hii mada inaweza isieleweke kwa baadhi ya watu! Wengi wakisikia neno umeme wanawaza mitambo, nguzo, waya, transfoma n.k kwakweli vyote hivi hivi siyo Umeme! Ukweli ni kwamba Umeme ni nishati au nguvu inayosafiri. Swali? Binadamu anaweza kuwa na umeme? Ni kweli...
  12. Just Pray

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye umri wa miaka 28 anaswa akiwa ameficha dawa za kulevya gramu 300 sehemu za siri

    Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa na kuwekwa rumande baada ya kukutwa na takriban gramu 300 za dawa za kulevya aina ya cocaine, kufuatia msako wa pamoja wa vyombo vya usalama nchini Kenya, uliolenga njia zinazotumiwa kusafirisha mihadarati kutoka maeneo ya kaskazini mwa Kenya...
  13. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Harufu Mbaya Sehemu Za Siri Kwa Mwanaume.

    Ukiachalia mbali wanawake, tatizo la harufu mbaya sehemu za siri ni changamoto inayowasumbua wanaume wengi pia duniani. Harufu mbaya kwenye sehemu za siri kwa mwanaume inaweza kusababishwa na mambo mbalimbali. Leo katika mada yetu ya blogu hii tutazungumzia sababu kadhaa zinazochangia harufu...
  14. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Ipo wapi Haki ya aliyeingizwa Chupa sehemu za siri Babati?

    Haki ya Kijana aliyeingizwa Chupa sehemu za siri huko Babati na Mheshimiwa Mbunge ipo wapi? Kijana kadhulumiwa Haki yake na mtunga Sheria? NB: TLS, wanaharakati kulikon?
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Geita Gold afungiwa mechi 16 kwa kumshika sehemu za siri mwamuzi

    Kocha wa makipa wa klabu ya Gita Gold, Augustino Malindi amefungiwa michezo 16 (kumi na sita) na kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kumshika sehemu za siri wamuzi wa akiba wa mchezo tajwa hapo juu. Baada ya kuonywa kwa kadi nyekundu kwa kosa la kumtukana mwamuzi msaidizi...
  16. ngara23

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kunyoa sehemu za Siri bila ruhusa ya mme wake, ni kosa la kuvunja ndoa

    Hapa wengi watabisha, kwakuwa Mila zetu za ki Africa zilipigwa teke Mwanamke aliyefundwa, aliyeenda unyagoni ni marufuku kunyoa sehemu zake za Siri bila ridhaa ya mmewe Kitendo cha mwanamke kujiamulia kunyoa sehemu zake za Siri ni ishara ya umalaya na dharau kubwa Kwa mme wake Mwanamke kunyoa...
  17. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Vyakula vya kuboresha sehemu za Siri za mwanamke na kuongeza ubora WA tendo la ndoa

    Nasikia hakuna kitu kizuri kama sex .japo. Me mgeni kwenye mambo haya mjini hapa.japo kwa wenyeji jijini Maneno hayo wameyazoea hapa jijini. Kuna umri ukifika inatakiwa uangalie unakulaje.mwanamke unaweza ukajikuta unatembea na jangwa la Kalahari huko chini .na hii nchi ngamia hakuna bamia...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Unajisikiaje kuishi kwenye ulimwengu ambao Simu inalindwa kuliko hata sehemu za siri ?

    Kuna muda huwa nawaangalia wazee na watu ambao umri umekwenda huwa najiuliza huwa wanatuonaje vijana , siku hizi starehe nyingi na wao nadhani baadhi wanazipenda nyingine zinawashangaza . Simu ina password ya kuifungua , kila application ndani ina password yaani imewekewa kila ulinzi mpaka...
  19. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Mwanamke auawa kwa kukatwa na Panga, akatwa titi, akatwa sehemu za Siri.

    Wana Jamvi nimeskia kwamba kule Tabora, Watu watatu wameuawa na kisha kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali wakituhumiwa kumuua Sagali masanja kwa kumkatakata na panga kisha kumkata titi la kushoto pamoja na sehemu za siri na kuondoka nazo tukio lililotokea kijiji cha Mahene Wilaya ya...
  20. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa kiume wasijihusishe na uchunguzi wa sehemu za Siri za wanawake, sera itungwe upya daktari wa kike ahudumie wanawake!

    Kama ilivyo polisi wanapoenda kumkamata mhalifu wa kike askari anayehusika na ukamataji ni askari wa kike, hata magereza ya kike huwa inahudumiwa na askari wanawake. Upande wa afya mambo ni tofauti, vijana wa kisasa waliojipata kuwa madaktari na wauguzi wanafanya michezo ya kishetani kwa mama...
Back
Top Bottom