Je, mazoezi haya wakati wa kuyafanya unatakiwa kubana pumzi?

Sol de Mayo

JF-Expert Member
Sep 10, 2016
6,324
5,934
Natumai muko njema bandugu.

Msaada wenu bandugu,,,mazoezi haya wakati wa kuyafanya unatakiwa kubana pumzi??? Na je, usipobana pumzi inakuwaje?

Nitashukulu sana mukinisaidia na Mungu atawabaliki.

  • Zoezi la kukimbia
  • Kegel
  • Push up
  • Gym
  • Zoezi la kuchuchumaa
 
Bandugu kuna dem anapigiwa tizi .

Kwa kukusaidia, kila zoezi unalofanya n lazima uminye pumz kiasi.

Labda nkuongezee tu, fanya na squats, zitakusaidia pia.
 
Bandugu kuna dem anapigiwa tizi .

Kwa kukusaidia, kila zoezi unalofanya n lazima uminye pumz kiasi.

Labda nkuongezee tu, fanya na squats, zitakusaidia pia.

Angarau wewe umenisaidia chifu. Hizo squats waweza nitumia youtube kama hutojari mkuu.
 
Mazoezi yote yanhitaji kuhema kwa tempo ya chini, kama unakimbia na ukiona unachoka unajaribu kupunguza speed na rate ikishuka unaongeza speed tena huo ndio utaratibu kwa mazoezi yote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom