Udaktari sio wito, madaktari mtaendelea kudharaulika

fluid

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
354
220
Kwanza nawapa pole na majukumu. Niende moja kwa moja kwenye lengo. Kuna dhana potofu na mbaya sana kuwa kazi ya udaktari ni kazi ya wito.

Hii dhana inapelekea jamii na madaktari wenyewe kuonekana kama ni binadamu tofauti na wengine, jambo ambalo sio sawa. Hii kitu inasababisha kuonekana na kutazamiwa kuwa mna huruma nyakati zote, yani nyie ni wa kusulubika tu. Kubebeshwa lawama na kusemwasemwa vibaya. Hii kitu duniani kwingine haipo kama Tanzania.

Fani ya udaktari sio wito, ni kazi kama kazi nyingine na watu wanakwenda kule kutafuta pesa na kutoa huduma. Wito unaitaji uwe mnyonge yani. Kuwa na huruma na unyenyekevu ni jambo zuri katika kila kazi, sio tu Udaktari jamani. Na udaktari sio sehemu pekee mtu unaweza kutenda wema na kupata thawabu.

Ipo haja ya madaktari kubadili mtazamo huo, hii itapelekea kuheshimiana. Maana Tanzania mnadharaulika sana yani, ni wachache ambao hawajai kwenye mkono ndio wanapewa sifa, tena kama hisani. Lakini an average doctor in Tanzania ni nincompoop kabisa. Hana maana. Ndio maana mnazidiwa na wanasheria na ata fani ambazo wala hazitajwi sana kwenye jamii. Nyie mnaonekana ni wakusulubika, hamna haki ya kupata pesa na kuwa matajiri. Yani mpo kwenye control ya wanasiasa na raia wao. Wanawapangia limits.

Mimi Ushauri wangu tu, muifute hiyo dhana ya wito muwaachie mapadri maana kuwa rijali alafu unaambiwa usifanye ni kipengele. Nyie hamna sacrifice watu wanakwenda kwasababu kuna ajira rahisi. Wenzenu Marekani na Europe na ata baadhi ya nchi Africa huo upuuzi hawana eti wito. Ni kazi kama zingine, ukileta za kuleta na wewe daktari anakuzingua. Maana mtaani hampunguziwi kodi, tunanunua vitu bei moja, suluba zote na nyie mnazipata, kwa kipi labda? Ni ushauri wangu tu, mtajua wenyewe kusuka ama kunyoa, wito ama kazi kazi.
 
Unajaribu kuongea usichokijua.

Binafsi naona ni lundo la maandishi tu.

Unataka kusema nini?

Madaktari wanadhalilishwa na nani?

Wamekuwaje?

Nini kimetokea?
 
Mishahara midogo sana.afu sahivi madaktari hawatoshi lkn serikali inataka wajitolee walipwe 50% ya huo mshahara mdogo. This is very unfair,so painful unasoma 5years +1yr internship kwa machungu,jasho na kukesha wodini leo hii unamaliza eti “ujitolee”
THIS IS NEW CHEAP LABOR
 
Wasipokuwa na wito, wengi watakufa; ukitaka kujua umuhimu wao nenda kafanyiwe upasuaji mkubwa, ukitoka salama ndio utajua pesa haina thamani. Hawa 'surgical doctor' mi huwa nawaona ni watu wakipekee sana na wapewe heshima zao; kwa pesa huwezi kuwalipa, ni kuwapa heshima tu inatosha.
 
Sasa wewe Nesi umedhalilishwa na nani? Unataka upewe heshima gan ubebwe mgongoni au utandikiwe red carpet mitaani? Acha Uwaki we Nesi kama unataka uwe billionea kafungue hospital zako za kisasa.
 
Mimi sio mjinga kiasi cha kuwa daktari. Kawakandamize wenyewe, mi mwenyewe nawaona wajinga tu, kama unavyowaona wewe. Nimewashtua wasipoamka shauri lao.
Mkuu kwani tatizo ni nini, swala la kutengeneza pesa kwenye fani pia inategemea akili ya mtu. Kuna madaktari ambao wanatengeneza bilions of money kwenye hiyo hiyo taaluma yao hasa wale wanaofungua huduma binafsi.
 
kila mtu hawezi kufungua ya kwake.
 
Kwanza nawapa pole na majukumu. Niende moja kwa moja kwenye lengo. Kuna dhana potofu na mbaya sana kuwa kazi ya udaktari ni kazi ya wito.

Hii dhana inapelekea jamii na madaktari wenyewe kuonekana kama ni binadamu tofauti na wengine, jambo ambalo sio sawa. Hii kitu inasababisha kuonekana na kutazamiwa kuwa mna huruma nyakati zote, yani nyie ni wa kusulubika tu. Kubebeshwa lawama na kusemwasemwa vibaya. Hii kitu duniani kwingine haipo kama Tanzania.

Fani ya udaktari sio wito, ni kazi kama kazi nyingine na watu wanakwenda kule kutafuta pesa na kutoa huduma. Wito unaitaji uwe mnyonge yani. Kuwa na huruma na unyenyekevu ni jambo zuri katika kila kazi, sio tu Udaktari jamani. Na udaktari sio sehemu pekee mtu unaweza kutenda wema na kupata thawabu.

Ipo haja ya madaktari kubadili mtazamo huo, hii itapelekea kuheshimiana. Maana Tanzania mnadharaulika sana yani, ni wachache ambao hawajai kwenye mkono ndio wanapewa sifa, tena kama hisani. Lakini an average doctor in Tanzania ni nincompoop kabisa. Hana maana. Ndio maana mnazidiwa na wanasheria na ata fani ambazo wala hazitajwi sana kwenye jamii. Nyie mnaonekana ni wakusulubika, hamna haki ya kupata pesa na kuwa matajiri. Yani mpo kwenye control ya wanasiasa na raia wao. Wanawapangia limits.

Mimi Ushauri wangu tu, muifute hiyo dhana ya wito muwaachie mapadri maana kuwa rijali alafu unaambiwa usifanye ni kipengele. Nyie hamna sacrifice watu wanakwenda kwasababu kuna ajira rahisi. Wenzenu Marekani na Europe na ata baadhi ya nchi Africa huo upuuzi hawana eti wito. Ni kazi kama zingine, ukileta za kuleta na wewe daktari anakuzingua. Maana mtaani hampunguziwi kodi, tunanunua vitu bei moja, suluba zote na nyie mnazipata, kwa kipi labda? Ni ushauri wangu tu, mtajua wenyewe kusuka ama kunyoa, wito ama kazi kazi.
Nenda uka Voluentie Ndg hakuna namna hapo
 
tuliza ta.ko dawa ikuingie sindano isivunjike, ndo kazi uloipenda mwenyewe, pambana na hali yako.
 
Daktari rafiki yake ni mwalimu. Investment ya kujenga hodpitali ni kubwa wengi hawawezi inahitaji mtaji mkubwa.
Halikadhalija ualimu nao ukisema uwe mjasiliamali ujenge shule unahitaji uwe na milioni 200 za kuanzia hatimae fursa zinachukiliwa na watu wasio na fani husika.
But fani hizi zinalipa sana kwa mtu mwenye mtaji.
Kukosa mitaji kuna sababisha watu watukanwe hapa hivihivi.
Hizi fani ni biashara kubwa sana ukitoa hufuma ya serikali, hivyo udaktari unalipa na ualimu unalipa kwa mtu mwenye mtaji na maono.
doctors wamefungua vituo vyao na wameajiri, halikadhalika so many teachers wameweza kujenga shule na kuajili.
Kulipa au kutokulipa ni mtazamo wa mtu.
Fani kama socialogy,law. Human resource, kiswaholi ndio hazilipi kwa sababu huwezi jenga mahakama yako, au managerial office yako lakini dokta anaeeza jenga hospitali, farmacy. Lab, lab equipment shop, lab chemicals, shop yake.
Tusichambue mambo kijujuu kwa kupima mishahara tu, angalia fursa zinazozunguka hio kada ni nyingi sana
 
Kwanza nawapa pole na majukumu. Niende moja kwa moja kwenye lengo. Kuna dhana potofu na mbaya sana kuwa kazi ya udaktari ni kazi ya wito.

Hii dhana inapelekea jamii na madaktari wenyewe kuonekana kama ni binadamu tofauti na wengine, jambo ambalo sio sawa. Hii kitu inasababisha kuonekana na kutazamiwa kuwa mna huruma nyakati zote, yani nyie ni wa kusulubika tu. Kubebeshwa lawama na kusemwasemwa vibaya. Hii kitu duniani kwingine haipo kama Tanzania.

Fani ya udaktari sio wito, ni kazi kama kazi nyingine na watu wanakwenda kule kutafuta pesa na kutoa huduma. Wito unaitaji uwe mnyonge yani. Kuwa na huruma na unyenyekevu ni jambo zuri katika kila kazi, sio tu Udaktari jamani. Na udaktari sio sehemu pekee mtu unaweza kutenda wema na kupata thawabu.

Ipo haja ya madaktari kubadili mtazamo huo, hii itapelekea kuheshimiana. Maana Tanzania mnadharaulika sana yani, ni wachache ambao hawajai kwenye mkono ndio wanapewa sifa, tena kama hisani. Lakini an average doctor in Tanzania ni nincompoop kabisa. Hana maana. Ndio maana mnazidiwa na wanasheria na ata fani ambazo wala hazitajwi sana kwenye jamii. Nyie mnaonekana ni wakusulubika, hamna haki ya kupata pesa na kuwa matajiri. Yani mpo kwenye control ya wanasiasa na raia wao. Wanawapangia limits.

Mimi Ushauri wangu tu, muifute hiyo dhana ya wito muwaachie mapadri maana kuwa rijali alafu unaambiwa usifanye ni kipengele. Nyie hamna sacrifice watu wanakwenda kwasababu kuna ajira rahisi. Wenzenu Marekani na Europe na ata baadhi ya nchi Africa huo upuuzi hawana eti wito. Ni kazi kama zingine, ukileta za kuleta na wewe daktari anakuzingua. Maana mtaani hampunguziwi kodi, tunanunua vitu bei moja, suluba zote na nyie mnazipata, kwa kipi labda? Ni ushauri wangu tu, mtajua wenyewe kusuka ama kunyoa, wito ama kazi kazi.
Kumbe ndo maana watu wanakufa sana kwenye mikono yenu.
Kiufupi ninyi sio madaktari wa kweli, mfanywe vile mnavyofanywa, mnajifanya wajuaji kumbe hamna kitu, angalia mafala wenzako mnaotulazimisha tugonge chanjo za Uviko, korodani zenu nyie mumiani, sijamsikia daktari yoyote akitetea huu upumbavu wa kuchanja, kila siku mnatisha watu shenzi zenu
Wapo madaktari wa kweli ambao sauti zao hazisikiki, na hupingwa sana na wanaojifanya eti wamesoma miaka 7.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom