kudharauliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Boda , Bajaji na Maguta Walalama kudharauliwa Dar es salaam!

    Wamiliki na waheshimiwa maafisa usafirishaji wanaotumia Bodaboda, Guta na Bajaji walalamikia dharau dhidi yao kuonekana hawawezi kulipa tozo za maegesho . Wamesema kwa siku wanaingiza zaidi ya Elfu 50 na kiwango cha chini ni elfu 30 kwa siku , tajiri anapewa 15 na dereva anakula 30. Kwa Bajaji...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Asante Jaji Mkuu Kukemea Hukumu za Mahakama Kudharauliwa!, Mahakama Itoe Hukumu SMART Zenye Meno, Zisipotekelezwa, Mahakama Ina Ng'ata!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu, kwenye gazeti la Nipashe la Leo, nikimpongeza Jaji Mkuu George Masaju ni mtu mwenye hofu ya Mungu, hivyo ataisaidia Mahakama kutoa hukumu za haki, ambalo litalisaidia taifa na kuwasaidia Watanzania kupata haki. Pia amekemea kitenda cha baadhi ya mamlaka za serikali...
  3. The introvert

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya matukio mazito ya kihistoria kitaifa kuanza kudharauliwa na mamlaka husika

    Anaandika Michael Mbiti BARUA YA WAZI KWA VIONGOZI WETU. Historia Inafutika Tanzania, Tunaweka Wapi Utu Wetu? Ndugu Viongozi Tuliowapa Dhamana, Leo ni Mei 21. Siku ambayo miaka ya nyuma (1996), Taifa letu lilikumbwa na simanzi kubwa baada ya meli ya abiria ya MV Bukoba kuzama katika Ziwa...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama ipo ipo tu; CCM na Rais Samia wanazidi kudharauliwa na Watanzania, CHADEMA inazidi kukubalika

    Ziara ya Drogba na Rais Ruto ina umuhimu gani kwa maisha ya mtanzania amabae anaishi kijihini ambapo maji na umeme ni tatizo kubwa. Mpaka sasa Watanzania wengi wanaoishi vijijini na hata miji mikubbwa kama Mwanza na Dar majji tatizo.. Ziara ya Ruto ina umuhomu gani kwa Tanzania. Ujenzi wa oil...
  5. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana: Sisi ndio wa kudharauliwa namna hii?

    Waungwana, hii mnakubaliana nayo kweli? Hivi hawa jamaa wanatuchukuliaje!? Kwamba hadi macho madogo wametupita sisi? Kuna mambo ya sisi kuwa nyuma, sio hili, nimekataa!!! https://x.com/Globalstats11/status/2030202522074497522?s=20
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya mambo viongozi wa Dini mnahitaji kupuuzwa na kudharauliwa, ni uchonganishi wenu wa kidini

    Nyinyi mmekuwa sababu ya nchi nyingi balani Africa kukosa Amani kwa uchochezi wenu na kuingiza waumini wenu kwenye vita vya kidini huku nyinyi mkiendelea kuishi kwa raha na kwa Amani tele na familia zenu Kwa Tanzania mtasubili sana kwa uchonganishi wenu Tutawapuuza na tumewapuuza Hamuwezi...
  7. mkokamoto

    JamiiForums Tanzania Mkokamoto ni mzushi anayepaswa kudharauliwa

    Kuna wanajukwaa humu hawana misimamo hasa huyu wa kujiita sijui mkokamoto nakadharika, Miezi kadhaa nyuma alisapoti mama samia pale kati akasapoti chadema soon akafuata upepo na Mpina sahivi eti anadai nchi inahitaji wazalendo kama Polepole which is which sasa? Rubbish kabisa. Nawasilisha🙏 Nb...
  8. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu vijana kwenye siasa kazi na uaminifu ndiyo itakayokufanya ujulikane na Taifa na si kupiga majungu na upotoshaj mwisho huwa ni kudharauliwa

    Alama ya kijana ni kazi, kijana ni maneno machache kazi nyingi, kijana awe na tamaa ya maendeleo huku anafanya kazi siyo tamaa ya maendeleo huku anakesha anaangalia press za akili mnemba polepole badala apumzishe mwili kwaajili ya KAZI kesho yake. Popote ulipo kijana onyesha upekee kiutendaji...
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Muendelezo wa Kutisha wa Kuvunjwa kwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tuambieni tu kuwa CCM wako juu ya Katiba tuelewe moja.

    Imefika kipindi tukubaliane jambo moja tu, kuwa nchi hii haiongozwi tena kwa Katiba na Sheria bali utashi wa watu binafsi. Kama si hivyo basi tukubaliane tu jambo moja kuwa wananchi wote wa Tanzania ni vigaragosi na mazwazwa kiasi kwamba Viongozi wanaweza jifanyia jambo lolote lile bila kuogopa...
  10. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanaopenda chipsi kudharauliwa tatizo ni nini?

    Kuna chuki ambazo hazina kichwa wala miguu juu ya sisi wanaume tunaopenda kula chips tunadharauliwa, wanatukebehi na kutudhihaki. Swali la msingi. Tatizo ni kula chips tu au kuna mengine ya ziada? Kwa mtazamo wangu ni kuwa tunaonewa wivu.
  11. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watutsi wanapendelewa sana huku wahutu wakipuuzwa, kudharauliwa ili hali wao ni wengi. Je, kuna madhara yoyote kwa hili?

    Umuofia kwenu, Kwa nje utasikia waRwanda wakijisifia kua wako wamoja hawana tena ukabila, wanapendana, wanashirikiamda bla bla bla ila maajabu wote wanaoimba hizi ngonjera 10 out of 10 hua ni waTutsi. Kutokana na sensa ya 1994 waTutsi ni 14%, waHutu 85% na waTwa ni 1% lakini vyeo vyote naomba...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anayemthamini/Mpenda Mchepuko kuliko Mke ni mshamba na anastahili kudharauliwa

    MWANAUME ANAYEMPENDA/MTHAMINI MCHEPUKO KULIKO MKE WAKE NI MSHAMBA NA ANASHTAHILI KUDHARAULIWA. Anaandika, Robert Heriel. Haijalishi Mke anamapungufu gani bado atabaki kuwa Mkeo na ndiye uliyemchagua Kwa hiyari yako. Kama Mwanamke anakusumbua Kwa tabia mbofumbofu ni Akheri umfukuze/mpe talaka...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe ungerejea CCM na kunyamaza tu ungeheshimika kuliko unavyobwabwaja sasa na kudharauliwa

    Tokea utangaze kurejea rasmi CCM ni kama vile umerukwa ghafla na Akili kwani 'unabwabwaja' mno mpaka 'Unaboa' na wengine tunajiuliza hivi huyu huyu ni Membe yule yule aliyekuwa Waziri wa 'Foreign Docket' au? Na nyie Watoto wa Mzee Membe hebu mshaurini basi Mshua wenu atulie tu ale Pensheni zake...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Udaktari sio wito, madaktari mtaendelea kudharaulika

    Kwanza nawapa pole na majukumu. Niende moja kwa moja kwenye lengo. Kuna dhana potofu na mbaya sana kuwa kazi ya udaktari ni kazi ya wito. Hii dhana inapelekea jamii na madaktari wenyewe kuonekana kama ni binadamu tofauti na wengine, jambo ambalo sio sawa. Hii kitu inasababisha kuonekana na...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kutendewa vibaya na nduguyo hakuumizi kama kudharauliwa na mgeni

    Kuna wakati, niliwahi kufanya kazi kwenye kampuni ya Barrick, nikiwa senior officer. Tukataarifiwa kuwa plant imesimama, kuna kikao cha dharula. Kusimama plant kwa mgodi mkubwa siyo jambo dogo. Ndani ya saa moja, Head Office, Toronto ilikuwa tayari imejulishwa. Kwenye kikao tukajulishwa kuwa...
  16. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kudharau watumiaji wa simu za Tecno na Itel ilihali wote mnakuwa na access ya vitu vinavyofanana

    Unakuna pale unapoweza. Kumekuwapo na imani kuwa watumiaji wa simu wa makampuni ya Tecno na Itel ni watu washamba na wasio na uwezo kifedha. Kiukweli katika mtizamo wa kutokuwa na uwezo kifedha naweza kuunga mkono lakini katika kuwa washamba ni jambo lisilo na ukweli. Hivi inakuwaje mtu una...
Back
Top Bottom