kichwani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Morogoro ubovu wa miundombinu, MSD waeleza "dawa zinabebwa kichwani kuvuka mto", magari hayafiki

    Bohari Kuu ya Madawa MSD inakumbana na changamoto nyingi kufikisha dawa Hayo yamebainika mkoani Morogoro Tanzania inabidi MSD watumie gharama za ziada kufikisha dawa katika zahanati na vituo vya afya mkoani Morogoro.... Source : Millard ayo Katika Zahanati Baga kilichoo Morogoro Vijijini...
  2. N

    Rais Samia ana mpango wa kumtua Mama kuni kichwani

    Leo Rais Samia Suluhu ametusisitiza wananchi kutumia nishati safi ya kupikia ili tuondokane na madhara yatokanayo na nishati isiyo safi lakini pia amegusia suala la maji ambalo linawatesa sana wakazi wa Dar es salaam, Amesema Lengo la kutoa elimu na kusisitiza matumizi ya nishati safi ya...
  3. NetMaster

    Ni sawa kupostiwa na MC bila ridhaa yako ukiwa unaburudika kwenye sherehe?

    Nilienda kwenye mualiko wa sherehe ya rafiki yangu kuna dada yake alikuwa anaolewa, nikiwa najimwagia moyo na bia kadhaa ukafika muda wa kwenda kusakata rumba, mzuka niliokuwa nao ulikuwa fire 🔥💥 bum shakarakah! 💥🔥Nikajivuta hadi sehemu ya tukio na nikaanza manjonjo yangu kujiachia kwa...
  4. GENTAMYCINE

    Leo huu msemo na wimbo utatawala sana kichwani mwangu mpaka saa 12 jioni

    Msemo..... "Mtoto akililia wembe mpe umkate vizuri ili akome na siku zingine awe na adabu" Wimbo..... "Usimchezee chatu ooooh chatu weeeee.... Usimchezee chatu ooooh chatu weeeee...." Na hasa hasa kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12 kamili jioni ndiyo GENTAMYCINE nitakuwa makini kuusema huo...
  5. Kiboko ya Jiwe

    Binafsi mtu anayenipa kadi ya mchango wa sherehe namwona kichwani hamnazo

    Hi gentlemen! Wakuu hivi mnalichukuliaje suala la kadi za michango ya sherehe kama hharusi na send-off? Binafsi mtu anayenipa kadi ya mchango wa sherehe namwona kichwani hamnazo, amekosa akili kichwani. Tubadilike, tuache kupenda mambo makuu, tufanye sherehe za kipato chetu. Tusaidiane kwenye...
  6. D

    Nunua mihogo yao lakini kuweni makini sana wanapoomba muwatwishe mabeseni yao kichwani

    Msiseme dmkali kasema! Biashara ya wauza mihogo na vifurushi inasaidia sana! Lakini namna ya uuzaji hiyo mihogo ndiyo inaleta maswali! Muuzaji anaweza toka na beseni lake kutoka huko aliko toka lakini akiona wanaume kikundi anakuja kulibwaga beseni pwaah! Halafu anaanza kuwaangalia usoni...
  7. Kyambamasimbi

    Mzungu wa Simba tumepigwa na kitu kizito kichwani

    Binafsi sijaona kazi yake sijui Ni macho yangu? Nyie mnaonaje?
  8. M

    Msichana mwenye bleach kichwani dela kikuku mguu wa kushoto na sendoz ya manyoya

    Wenye uzoefu na mabinti wenye type hiyo tupeni sifa na changamoto zao.
  9. peno hasegawa

    Sabaya afanyiwa upasuaji, kesi yaahirishwa

    Mawakili wa upande wa utetezi kesi namba mbili ya mwaka 2022, inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wameieleza mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kuwa hali ya Sabaya ni mbaya baada ya kufanyiwa upasuaji mkubwa wa kichwa Julai 27 mwaka huu. By Maryasumta...
  10. Poker

    Majini yanampanda kichwani kila tukiwa katikati ya mizagumuano!

    Habari za jioni wanajamii wote natumai mu wazima wa afya tele! Nakwawale ambao sio wazima wa afya MUNGU awajaalie mrejee katika afya zenu haraka! Nina mpenzi wangu tuko naye kwenye mahusiano huu mwaka wa 2, ila shida kila tukiwa tunazagamuana majini yanampanda kichwani na mara aanze kunikaba...
  11. F

    CHADEMA nendeni na moja Kichwani

    Kuna sehemu nahisi CHADEMA hawaendi na moja Kichwani zile hesabu za darasa la pili, tatu, nne hadi la tano. Bahati mbaya mkiambiwa Ukweli huwa mnapiga kelele bila logic. Hebu CHADEMA kwa unyenyekevu niwaombe mtumie logic bila kusahau hesabu za moja Kichwani. Moja ya jambo ninaloliona halina...
  12. J

    Nilichoshuhudia ni aibu, viongozi BAVICHA ni weupe kichwani, CHADEMA mna kazi sana ya kuwafundisha kujenga hoja na kufanya utafiti

    Niweke wazi kwanza sina chama nimekuwa nikipiga spana pande zote, na unaweza kucheki profile yangu kuthibitisha hilo. So napenda hoja yangu isijadiliwe kishabiki bali objectively Ni kuhusu vijana wa Chadema, hawa wapo wengi sana mtandaoni kuliko vijana wa vyama vingine, ACT, CUF, CCM n.k...
  13. Kiboko ya Jiwe

    Kitu kizito kichwani: Kama mke wako ameajiriwa andika maumivu, tumeshamla

    Hi! Ngoja kwanza nianze kwa kucheka. Niko kwenye ofisi za umma yapata miaka 7 sasa. Dunia haiachi maajabu, anayelipwa mshahara yuko katika uhitaji wa pesa kuliko yule ambaye halipwi mshahara. Sasa hawa wanawake employed ambao wana MISHAHARA na huenda waume zao wana MISHAHARA au biashara kubwa...
  14. Sky Eclat

    Kuna watu wanatembea na mizigo mizito kichwani ukipata nafasi wasikilize

    Leo nikiwa katika usafiri wa jamii baba mmoja mwenye plasta jichoni alinisalimia vizuri tu na kuniuliza ninapoelekea. Ni wazi kuwa alikua anatafuta mtu wa kuongea nae ila asichokijua ni kuwa ninashare story humu jukwaani hasa mikasa halisi ya watu. Huyu bwana alidumu kwenye ndoa kwa miaka 28...
  15. Superbug

    Napenda harufu ya nguo ya ndani ya mwanamke, nikilala naivaa kichwani inashuka hadi puani

    Nnatabia ambayo sio ya kawaida huwa napenda harufu ya chupi ya mwanamke na nikilala usiku naivaa kichwani halafu naishusha hadi puani inaziba pua kale kaharufu najihisi niko peponi. Je, nina shida? Ila iwe imevaliwa hata wiki na isifuliwe.
  16. Dr Matola PhD

    Sasa tuzungumze kimichezo, Nawapongeza sana Simba, Yanga tuna la kujifunza kwa Simba hili liko wazi atakayebishe ana matatizo kichwani

    Kipute cha robo fainali kati ya Simba na Orlando kimekwisha na Orlando amesonga mbele kwa kutupa faraja wana Yanga kuzima kelele, tambo na kejerli za Simba. Tuongee ukweli tu ni kwamba mashabiki wa Simba hamna cha kuidai timu yenu kwa kutolewa robo fainali ni hatua nzuri timu imefika...
  17. CONTROLA

    Ukitaka kufanya biashara, Anzia kuifanya Kichwani mwako na si usubiri ukiwa na Mtaji mkononi

    Huwa nasikitika sana ninapotoa ushauri kwa watu wenye mitaji mikononi,hasa wale wanaotoa na kuandika thread kuwa wana kiasi "flani cha pesa" Je wafanyie nini? Ukweli ni kwamba kila mtu hapo alipo ktk chochote anachofanya kumuingizia kipato anajua hela anayoitafuta anataka kuifanyia kitu...
  18. alcacer

    Super black haikai kabisa kichwani, wiki 1 tu imeisha

    Habari za muda huu nakuja moja kwa moja kwenye mada wazee super black haikai kabisa kichwani wiki 1 tu yote ishaisha nipeni muongozo
  19. Kamanda Asiyechoka

    Polepole mlivuruga uchaguzi ili kutokomoa wapinzani, sasa unaona yanayoendelea? CCM wenzako wamepanda kichwani wananchi

    Mlipotaka muwe na Bunge la WanaCCM kwa asilimia tisini na nane hamkujua umuhimu wa wabunge wa upinzani? Hili bunge lingekuwa hata na wabunge wa upinzani 40% hii dharau ya WanaCCM kulifanya bunge kibogoyo isingekuwepo. Mliharibu uchaguzi na kumbe mlikuwa mnaharibu maisha ya Watanzania...
  20. Teko Modise

    Kibendera cha Offside juu; Mchezaji gani anakujia kichwani?

    Ukiona kibendera cha offside juu kama hivi, mchezaji gani anakujia kichwani yupo offside?
Back
Top Bottom