Ukitaka kufanya biashara, Anzia kuifanya Kichwani mwako na si usubiri ukiwa na Mtaji mkononi

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
6,939
22,989
Huwa nasikitika sana ninapotoa ushauri kwa watu wenye mitaji mikononi,hasa wale wanaotoa na kuandika thread kuwa wana kiasi "flani cha pesa" Je wafanyie nini?

Ukweli ni kwamba kila mtu hapo alipo ktk chochote anachofanya kumuingizia kipato anajua hela anayoitafuta anataka kuifanyia kitu gani,haiwezekani wewe unafanya kazi halafu hujui hela ukiipata unataka uifanyie nini, sijui kwakweli.

inawezekanaje leo hii unaomba kibarua cha kufyatua tofali unajua kabisa posho ni 15,000 per day halafu eti hujui baada ya kupata ile 15k utaifanyia nini,hivi inawezekana kweli?

Leo hii mimi nikiokota Pesa kiasi chochote kile tayari najua nitakifanyia nini yani hata kabla sina hiyo pesa tayari nishaipgia hesabu kulingana na kiasi kitakachokuja.

Hebu leo niwambie kitu kidogo watu ambao mnataka au kutegemea kufanya biashara mkafanikiwa,Biashara ili ufanikiwe ni lazima uifanye kichwani mwako mara kwa mara kabla hujaja kwenye uhalisia wenyewe.

Leo hii hauna hata shilingi,lakini una malengo ya kuja kuwa muuza nguo online au viatu,ni lazima uanze kuuza viatu online huko huko kichwan mwako,anza kuuza nguo online huko huko kichwani mwako Kabla hujawa na mtaji.

Kuwa serious eneo hilo,Je unauzaje uzaje au unafanyaje hiyo biashara kichwani mwako?

Acha nijichukulie mimi ndio muhusika mkuu,nataka kuanza kufanya biashara huku kchwani mwangu...

Kwanza; Nita assume tayari nimeshapata mtaji,so nina assume tayari nina mtaji ambao huu mtaji ni pesa ambayo ipo ndani ya uwezo wangu,(sitofikriia mtaji ambao hata nipewe miaka 100 sitoweza upata)

Lets say,mimi uwezo wangu ni 1M tu,so nitajichukulia tayari nina 1m yangu mfukoni,so nataka kufanyia nini? nitaji jibu nataka kufungua "mama ntilie"

Ok nishajua nataka kufungua mama ntilie,Je mahitaji yake n yapi? nitashika peni na karatasi nitaanza orodhesha mahitaji yangu.

1.Vyombo

Hapa ninahitaji sufuria 5, (50,000)
nitahitaji sahani 20 (50,000)
nitahitaji vijiko 30 (30,000)
nitahitaji majiko mawili (15,000)
Meza na viti (100,000)
Msaidizi 1
Eneo la kufanyia biashara (kwa mtaji wangu nitahitaji kibanda cha kukodi kwa siku) (45,000 mwezi) kwa siku 1500
Dharura nilizosahau 100,000

Jumla kuu 390,000 (hii ni hesabu niliyoipata baada ya kujumlisha mahitaji yangu) kwahiyo katika ile 1m yangu nitabaki na 610,000

Nitaendelea na mchanganuo wangu mpaka mwisho,Kumbuka mahesabu yote haya nayapga bado sina hata hiyo 1M.

Nikimaliza yapga nitaanza shughulikia eneo la kukodi kwa siku,nitatoka ndani kwangu nitaenda huko nnje kuzurura kutafuta eneo (kumbuka sina hata sent mfukoni) nitatafuta eneo kweli,nikilipata nitamuona mwenye kibanda nitaongea nae kuwa nahtaji kibanda chake,Nitamwambia kuwa nategemea kuanza wiki ijayo.

Tutapeana namba za simu atanipa miongozo yake,nk nk, mpk hapo nitakua nimeshamaliza kila kitu inabaki kuanza biashara ya upishi.

Nitajiuliza nianze kupka kitu gani, nitaenda kwenye kibanda changu nitaangalia mazingira ya eneo husika nmezungukwa na watu wa kipato gani,kama kuna kina mama ntilie wengine je wanauzaje chakula,bei zao zipoje,wanapka mboga gani,wateja wa eneo hilo wanapenda huduma gani wanapokuja kula.

Maana kuna mteja haji kula kwako kama huna maji ya kunywa ya bure bure tena ya baridiiii,mwingine haji kula kwako kama huna matunda ya bure bure so nitachunguza kujua vitu vyote hvyo kwa majirani wa eneo langu nitakalofanyia biashara.

Nikishajua hilo nitajiuliza maswali ya ziada Mfanyakazi ninae? HAPANA nitaanza tafuta mfanyakazi (nipo serious) nitatafuta mfanyakazi nikimpata nitamuelezea kua nataka aje anisaidie kazi flan mshahara nitamlipa kias flan,siku ya kuanza kazi ni wiki ijayo j3. (jamani haya yote nayafanya sina hata senti mfukoni mkumbuke)

Sasa nikishapata mfanyakazi uhakika 100% eneo ninalo,nishajua A B C za wateja wa eneo nitakalofanyia biashara,naangalia kwa upana Kufaulu kwangu na kufeli kwangu,Naona kabisa kufaulu n kwingi (huwa sijipi asilimia za kufeli ninapopanga jambo langu) japo ninapoona viasharia vya kufeli huwa navisimamia kuona n kweli hv vtaweza nifelisha, (sidharau sauti za ndani mwangu)

Basi nikishafanya yote hayo kwa akili na hela yangu naona labda imetosha au imepelea basi sasa ntajua kabisa kuwa biashara yangu itahtaji 1M au itahtaji ktk 1m niongeze 200k iwe 1.2m baada ya kujua hayo yoteee Nitakua tyr kutafuta pesa kuanza biashara yangu ya mama ntilie.

Hapo nitakua natafuta pesa kwa speed sana maana tyr nina eneo tayari nina mfanyakazi na mbaya zaidi mfanyakazi atakua kashaanza kusumbua BOSS vipi hatufungui kesho au tunafungua lini,so ile pressure itaendelea kunipa munkari ya kutafuta PESA.

Nikipata pesa yangu basi direct inaenda kufanyia ile biashara niliyoiandalia mazingira kabla ya kuianza.

Hivyo ndivyo Watu hufanya biashara vichwani kabla ya kuingiza pesa,Acha tabia za kuwaza biashara ukiwa na hela mkononi.

Kuna uwezekano mkubwa sana wa hela kuisha kbla hujaanza hyo biashara au kuna uwezekano mkubwa sana kufanya vitu kwa kulipua kwasababu tu una hela mkononi,Ili ufanikiwe ktk unachotaka kuja kukifanya ni lazima uwe ulishakifanya huko kichwan mwako.

Acha kuwaza au kutafuta ushauri angali una pesa mkononi Kuna hatari kubwa sana ya wewe kutofanikiwa au kufanya jambo/biashara ambayo hukuipanga wala kuitegemea kwasababu wakati wakushauriwa ukiwa na pesa n rahisi kuuvaaa mtego wa biashara utakayoona ina faida kwasababu HELA unayo na itakutia Upofu wakutoweza kufikiria Upande wa pili wa shilingi.

Pendelea kufikiri na kufanya biashara yyte unayotaka kuiongeza au kuja kuifanya Akilini mwako kwanza,katika mawazo yako kabla hujashika hela yoyote mkononi mwako.

Kwa kufanya hivyo utazijua changamoto za biashara husika kwa uhalisia kabla hata hujashika hela,wakati mwingine Biashara nyingine inaweza onekana itatosha mtaji wa 1M lakn ukija katka uhalisia ile 1M haitoshi n lazima iongezeke, kwann ile 1m isitoshe na wakati hapa Jukwaani Thread tofauti zimeelezea kuwa ukiwa na 1M hiyo biashara inatosha??

epuka hiyo mitego,kuna utofauti mkubwa sana wa kushauriwa kufanya kitu kabla huna pesa na kushauriwa kufanya kitu ukiwa na pesa,epuka kuomba ushauri wa biashara flani sasa hivi hela ikiwa bank au ipo huko tigo pesa,epuka hasara za kujitakia.

Kama unataka kufanya biashara flani na umeidhamiria Basi wakati wakuifanya hiyo biashara ni sasa,Ifanye sasa huko kichwani mwako na usiishie tu kuwaza penye kuhitaji kutoka nnje utoke,penye kuhtaji kuonana na mtu kaonane nae,penye kuhitaji kuomba vibali anza process na zijue hatua zote za kupata kibali,Usije ukakurupuka wakati una Pesa mkononi.

Hii thread inaweza isieleweke ila kuna Mtu mahali atakua kaelewa nini namaanisha au nimelenga nini kupitia hii thread.

Karibuni Lunch!!
 
Kuna biashara naiwaza kichwani inahitaji mtaji wa 2.3M baada ya miezi miwili unapata profit kwa kuuza jumla na ukiamua kuuza rejareja faida ni super

Biashara hiyo ni mitumba ya viatu❤️🥰
Biashara ya mtumba wa kitu chochote haijawahi muacha mtu mikono mitupu,

Hii biashara inahitaji tu lile somo la kuongeza thamani bidhaa yako liwe limekukaa vyema

Hilo somo ndio msingi wa biashara ya mtumba,kama umeli master basi ni biashara ya kuamka maskini unarudi kitandani wallet haifungi.
 
Kuna biashara naiwaza kichwani inahitaji mtaji wa 2.3M baada ya miezi miwili unapata profit kwa kuuza jumla na ukiamua kuuza rejareja faida ni super

Biashara hiyo ni mitumba ya viatu
Mkuu hii naifuatilia kwa ukarib mno, maana mim nataka nijiingize kwenye hii ishu.

Vp mkuu unaweza ukanipa ABC zake kuhusu hii ishu..?
 
Biashara ya mtumba wa kitu chochote haijawahi muacha mtu mikono mitupu,

Hii biashara inahitaji tu lile somo la kuongeza thamani bidhaa yako liwe limekukaa vyema

hilo somo ndio msingi wa biashara ya mtumba,kama umeli master basi n biashara ya kuamka maskini unarudi kitandani wallet haifungi.
Ndo naliwaza mwisho wa mwezi huu nifanye maajabu
 
Mkuu hii naifuatilia kwa ukarib mno, maana mim nataka nijiingize kwenye hii ishu.

Vp mkuu unaweza ukanipa ABC zake kuhusu hii ishu..?
Mkuu iko hivi mimi naagiza nje baloo za mitumba ya viatu nchi ni China order ya chini ni baloo 18 na kuendelea zenye uzito wa 25kgs kwa kila baloo na kila baloo moja lina pea 47 au 50 ambalo linakuwa na mix viatu.

Kwa hesabu ya makadirio kulingana na status ya dolla kupanda au gharama za usafirishaji kupanda kila baloo linafika dar kwa tshs. 160,000/=

Kwa mujibu wa mfanya biashara hii baloo kwa dar linauzwa 170,000-180,000. lakini kwa habari isiyo na uhakika baloo zikifika tza wabongo wanazichezesha hivyo kufanya faida iwe kubwa lakini walaji wanakuta mzigo sio grade A kama walivyonunua. (Sina hakika na hili japo huyo muuzaji aliniambia)

Kwa ufupi ni hayo ndugu🤝
 
Huwa nasikitika sana ninapotoa ushauri kwa watu wenye mitaji mikononi,hasa wale wanaotoa na kuandika thread kuwa wana kiasi "flani cha pesa" Je wafanyie nini?

Ukweli ni kwamba kila mtu hapo alipo ktk chochote anachofanya kumuingizia kipato anajua hela anayoitafuta anataka kuifanyia kitu gani,haiwezekani wewe unafanya kazi halafu hujui hela ukiipata unataka uifanyie nini, sijui kwakweli.

inawezekanaje leo hii unaomba kibarua cha kufyatua tofali unajua kabisa posho ni 15,000 per day halafu eti hujui baada ya kupata ile 15k utaifanyia nini,hivi inawezekana kweli?

Leo hii mimi nikiokota Pesa kiasi chochote kile tayari najua nitakifanyia nini yani hata kabla sina hiyo pesa tayari nishaipgia hesabu kulingana na kiasi kitakachokuja.

Hebu leo niwambie kitu kidogo watu ambao mnataka au kutegemea kufanya biashara mkafanikiwa,Biashara ili ufanikiwe ni lazima uifanye kichwani mwako mara kwa mara kabla hujaja kwenye uhalisia wenyewe.

Leo hii hauna hata shilingi,lakini una malengo ya kuja kuwa muuza nguo online au viatu,ni lazima uanze kuuza viatu online huko huko kichwan mwako,anza kuuza nguo online huko huko kichwani mwako Kabla hujawa na mtaji.

Kuwa serious eneo hilo,Je unauzaje uzaje au unafanyaje hiyo biashara kichwani mwako?

Acha nijichukulie mimi ndio muhusika mkuu,nataka kuanza kufanya biashara huku kchwani mwangu...

Kwanza; Nita assume tayari nimeshapata mtaji,so nina assume tayari nina mtaji ambao huu mtaji ni pesa ambayo ipo ndani ya uwezo wangu,(sitofikriia mtaji ambao hata nipewe miaka 100 sitoweza upata)

Lets say,mimi uwezo wangu ni 1M tu,so nitajichukulia tayari nina 1m yangu mfukoni,so nataka kufanyia nini? nitaji jibu nataka kufungua "mama ntilie"

Ok nishajua nataka kufungua mama ntilie,Je mahitaji yake n yapi? nitashika peni na karatasi nitaanza orodhesha mahitaji yangu.

1.Vyombo

Hapa ninahitaji sufuria 5, (50,000)
nitahitaji sahani 20 (50,000)
nitahitaji vijiko 30 (30,000)
nitahitaji majiko mawili (15,000)
Meza na viti (100,000)
Msaidizi 1
Eneo la kufanyia biashara (kwa mtaji wangu nitahitaji kibanda cha kukodi kwa siku) (45,000 mwezi) kwa siku 1500
Dharura nilizosahau 100,000

Jumla kuu 390,000 (hii ni hesabu niliyoipata baada ya kujumlisha mahitaji yangu) kwahiyo katika ile 1m yangu nitabaki na 610,000

Nitaendelea na mchanganuo wangu mpaka mwisho,Kumbuka mahesabu yote haya nayapga bado sina hata hiyo 1M.

Nikimaliza yapga nitaanza shughulikia eneo la kukodi kwa siku,nitatoka ndani kwangu nitaenda huko nnje kuzurura kutafuta eneo (kumbuka sina hata sent mfukoni) nitatafuta eneo kweli,nikilipata nitamuona mwenye kibanda nitaongea nae kuwa nahtaji kibanda chake,Nitamwambia kuwa nategemea kuanza wiki ijayo.

Tutapeana namba za simu atanipa miongozo yake,nk nk, mpk hapo nitakua nimeshamaliza kila kitu inabaki kuanza biashara ya upishi.

Nitajiuliza nianze kupka kitu gani, nitaenda kwenye kibanda changu nitaangalia mazingira ya eneo husika nmezungukwa na watu wa kipato gani,kama kuna kina mama ntilie wengine je wanauzaje chakula,bei zao zipoje,wanapka mboga gani,wateja wa eneo hilo wanapenda huduma gani wanapokuja kula.

Maana kuna mteja haji kula kwako kama huna maji ya kunywa ya bure bure tena ya baridiiii,mwingine haji kula kwako kama huna matunda ya bure bure so nitachunguza kujua vitu vyote hvyo kwa majirani wa eneo langu nitakalofanyia biashara.

Nikishajua hilo nitajiuliza maswali ya ziada Mfanyakazi ninae? HAPANA nitaanza tafuta mfanyakazi (nipo serious) nitatafuta mfanyakazi nikimpata nitamuelezea kua nataka aje anisaidie kazi flan mshahara nitamlipa kias flan,siku ya kuanza kazi ni wiki ijayo j3. (jamani haya yote nayafanya sina hata senti mfukoni mkumbuke)

Sasa nikishapata mfanyakazi uhakika 100% eneo ninalo,nishajua A B C za wateja wa eneo nitakalofanyia biashara,naangalia kwa upana Kufaulu kwangu na kufeli kwangu,Naona kabisa kufaulu n kwingi (huwa sijipi asilimia za kufeli ninapopanga jambo langu) japo ninapoona viasharia vya kufeli huwa navisimamia kuona n kweli hv vtaweza nifelisha, (sidharau sauti za ndani mwangu)

Basi nikishafanya yote hayo kwa akili na hela yangu naona labda imetosha au imepelea basi sasa ntajua kabisa kuwa biashara yangu itahtaji 1M au itahtaji ktk 1m niongeze 200k iwe 1.2m baada ya kujua hayo yoteee Nitakua tyr kutafuta pesa kuanza biashara yangu ya mama ntilie.

Hapo nitakua natafuta pesa kwa speed sana maana tyr nina eneo tayari nina mfanyakazi na mbaya zaidi mfanyakazi atakua kashaanza kusumbua BOSS vipi hatufungui kesho au tunafungua lini,so ile pressure itaendelea kunipa munkari ya kutafuta PESA.

Nikipata pesa yangu basi direct inaenda kufanyia ile biashara niliyoiandalia mazingira kabla ya kuianza.

Hivyo ndivyo Watu hufanya biashara vichwani kabla ya kuingiza pesa,Acha tabia za kuwaza biashara ukiwa na hela mkononi.

Kuna uwezekano mkubwa sana wa hela kuisha kbla hujaanza hyo biashara au kuna uwezekano mkubwa sana kufanya vitu kwa kulipua kwasababu tu una hela mkononi,Ili ufanikiwe ktk unachotaka kuja kukifanya ni lazima uwe ulishakifanya huko kichwan mwako.

Acha kuwaza au kutafuta ushauri angali una pesa mkononi Kuna hatari kubwa sana ya wewe kutofanikiwa au kufanya jambo/biashara ambayo hukuipanga wala kuitegemea kwasababu wakati wakushauriwa ukiwa na pesa n rahisi kuuvaaa mtego wa biashara utakayoona ina faida kwasababu HELA unayo na itakutia Upofu wakutoweza kufikiria Upande wa pili wa shilingi.

Pendelea kufikiri na kufanya biashara yyte unayotaka kuiongeza au kuja kuifanya Akilini mwako kwanza,katika mawazo yako kabla hujashika hela yoyote mkononi mwako.

Kwa kufanya hivyo utazijua changamoto za biashara husika kwa uhalisia kabla hata hujashika hela,wakati mwingine Biashara nyingine inaweza onekana itatosha mtaji wa 1M lakn ukija katka uhalisia ile 1M haitoshi n lazima iongezeke, kwann ile 1m isitoshe na wakati hapa Jukwaani Thread tofauti zimeelezea kuwa ukiwa na 1M hiyo biashara inatosha??

epuka hiyo mitego,kuna utofauti mkubwa sana wa kushauriwa kufanya kitu kabla huna pesa na kushauriwa kufanya kitu ukiwa na pesa,epuka kuomba ushauri wa biashara flani sasa hivi hela ikiwa bank au ipo huko tigo pesa,epuka hasara za kujitakia.

Kama unataka kufanya biashara flani na umeidhamiria Basi wakati wakuifanya hiyo biashara ni sasa,Ifanye sasa huko kichwani mwako na usiishie tu kuwaza penye kuhitaji kutoka nnje utoke,penye kuhtaji kuonana na mtu kaonane nae,penye kuhitaji kuomba vibali anza process na zijue hatua zote za kupata kibali,Usije ukakurupuka wakati una Pesa mkononi.

Hii thread inaweza isieleweke ila kuna Mtu mahali atakua kaelewa nini namaanisha au nimelenga nini kupitia hii thread.

Karibuni Lunch!!
Ahsante kwa madini
 
Mkuu iko hivi mimi naagiza nje baloo za mitumba ya viatu nchi ni China order ya chini ni baloo 18 na kuendelea zenye uzito wa 25kgs kwa kila baloo na kila baloo moja lina pea 47 au 50 ambalo linakuwa na mix viatu.

Kwa hesabu ya makadirio kulingana na status ya dolla kupanda au gharama za usafirishaji kupanda kila baloo linafika dar kwa tshs. 160,000/=

Kwa mujibu wa mfanya biashara hii baloo kwa dar linauzwa 170,000-180,000. lakini kwa habari isiyo na uhakika baloo zikifika tza wabongo wanazichezesha hivyo kufanya faida iwe kubwa lakini walaji wanakuta mzigo sio grade A kama walivyonunua. (Sina hakika na hili japo huyo muuzaji aliniambia)

Kwa ufupi ni hayo ndugu
Uagize mzigo China kwa 160k uje uuze kwa 170k? You are not serious
 
Ukitoka kufanya biashara kichwani lazima ujiandae kisaikolojia na uhalisia
Muhimu sana hilo
 
Mkuu iko hivi mimi naagiza nje baloo za mitumba ya viatu nchi ni China order ya chini ni baloo 18 na kuendelea zenye uzito wa 25kgs kwa kila baloo na kila baloo moja lina pea 47 au 50 ambalo linakuwa na mix viatu.

Kwa hesabu ya makadirio kulingana na status ya dolla kupanda au gharama za usafirishaji kupanda kila baloo linafika dar kwa tshs. 160,000/=

Kwa mujibu wa mfanya biashara hii baloo kwa dar linauzwa 170,000-180,000. lakini kwa habari isiyo na uhakika baloo zikifika tza wabongo wanazichezesha hivyo kufanya faida iwe kubwa lakini walaji wanakuta mzigo sio grade A kama walivyonunua. (Sina hakika na hili japo huyo muuzaji aliniambia)

Kwa ufupi ni hayo ndugu🤝
Kuna wizi mkubwa unafanyika bandarini kama siku tatu nyuma kuna wadada walikuwa wanapeana habar jinsi wanavyo iba bidhaa mbali mbali hasa za mitumba
 
Acha huo ujinga, kaa chini chora raman upya

Tunajumua vipodoz hapa hapa bongo vya lak 250 tunauza revenue inakuja 1.4 mil ww unaenda tumia 340k uingize elfu 20 au 40?

Nimetumia lugha ngumu nafahamu haitokupendeza ila huo ujinga achana nao

Biashara ndogo ndogo hz n Biashara zinazotakiwa kua na profit ya over 70% huko na kuendelea

Watu wanaagiza simu china 300k wanakuja kukuuzia 700k ww unatumia 340k upate 20k to 40k? Acha huo ujinga, I'm pretty sure hao wanao toa china hawafanyi Biashara hivyo, peleleza Vizur.. hiyo Biashara haiko hivyo hakuna mtu angeenda huko china , peleleza haswa utakuja hapa kusema
Hapo vipodozi unauza Rejereja ama jumla.
 
Nimekuelewa mkuu but ugumu wa kitu huanzia kwenye uharisia wake na sio namna unavyo kifikiria, unaweza kuwaza na kuchora ramani ya biashara kabla ya kupata pesa lakini wakati wa kuitafta hiyo pesa ili uanze wazo lako na huku ulisha toa oda zako kama kutafta flem, kutafta mfanyakazi, pesa ikakuchukua mda mrefu kuipata au kila unapoikusanya shida ndo zinaingizana ukajikuta unapoteza vitu ulivyo jiwekea kama oda, kwa upande wangu nibora ukaweka wazo kichwani harafu ukipata pesa ndipo ujue kutafta vitu hivyo na kuvitenda kwa kuchukua hatua
 
Mkuu iko hivi mimi naagiza nje baloo za mitumba ya viatu nchi ni China order ya chini ni baloo 18 na kuendelea zenye uzito wa 25kgs kwa kila baloo na kila baloo moja lina pea 47 au 50 ambalo linakuwa na mix viatu.

Kwa hesabu ya makadirio kulingana na status ya dolla kupanda au gharama za usafirishaji kupanda kila baloo linafika dar kwa tshs. 160,000/=

Kwa mujibu wa mfanya biashara hii baloo kwa dar linauzwa 170,000-180,000. lakini kwa habari isiyo na uhakika baloo zikifika tza wabongo wanazichezesha hivyo kufanya faida iwe kubwa lakini walaji wanakuta mzigo sio grade A kama walivyonunua. (Sina hakika na hili japo huyo muuzaji aliniambia)

Kwa ufupi ni hayo ndugu
Ok ahsante mkuu...
 
Back
Top Bottom