CHADEMA nendeni na moja Kichwani

F4B

JF-Expert Member
Jan 13, 2022
325
416
Kuna sehemu nahisi CHADEMA hawaendi na moja Kichwani zile hesabu za darasa la pili, tatu, nne hadi la tano. Bahati mbaya mkiambiwa Ukweli huwa mnapiga kelele bila logic.

Hebu CHADEMA kwa unyenyekevu niwaombe mtumie logic bila kusahau hesabu za moja Kichwani. Moja ya jambo ninaloliona halina maana ni kelele za ushabiki wa baadhi ya wanachadema kupiga makelele mitandaoni ya Mzee Au waziri mkuu wa zamani ataka Katiba mpya.

Sidhani Kama Chenge, Sumaye au Msuya kusema Katiba Mpya ni sasa Kuna tija yeyote au ina maana yeyote ile. Badala yake CHADEMA naomba msitoke Kwenye reli ya kuweka mikakati ya kupata Katiba mpya.

Wale wazee walishastafu na walikuwa ngazi za juu serikalini walishindwa nini? Kutuletea hiyo Katiba Mpya, badala yake WANASEMA Leo. Naomba niwakumbushe CCM ni ile ile hutaki rejea uteuzi wa Kingai.
 
Naunga mkono hoja ndiyo maana pamoja na kinachoitwa maridhiano wakati kinaendelea Chadema kupitia Bavicha wamekuwa wakiendelea na makongamano nchi nzima ya kuhamasisha na kutoa elimu juu ya Katiba Mpya.

Katika makongamano hayo sehemu nyingine wamekutana na ubabe wa Polisi na kufunguliwa kesi hiki kikiwa ni kiashiria kuwa maridhiano ni janja ya CCM kupoza moto wa Katiba Mpya lakini vijana bado wanaendelea kila kona ya nchi. CCM ni ile ile.
 
Kuna tatizo Gani wazee wastaafu kusapport KATIBA mpya? Shd nn, sababu waliwah kuwa CDM au wengine kuwa sehemu ya Serikali?

KATIBA mpya tunayoipigania ni ya Watanzania wote ktk makundi mbalimbali.

Hoja ya KATIBA mpya ni ya nchi nzima Si ya CDM hivyo hata walioko CCM wanahitajika, ila tu wenye Nia njema.

TUTAFIKA TU.
 
Kuna tatizo Gani wazee wastaafu kusapport KATIBA mpya? Shd nn, sababu waliwah kuwa CDM au wengine kuwa sehemu ya Serikali?

KATIBA mpya tunayoipigania ni ya Watanzania wote ktk makundi mbalimbali.

Hoja ya KATIBA mpya ni ya nchi nzima Si ya CDM hivyo hata walioko CCM wanahitajika, ila tu wenye Nia njema.

TUTAFIKA TU.
Ukiielewa post hutapata shida mkuu lkn naona hujaelewa post
 
CDM kwenda na moja kichwani?

Hicho ni chama makini, kama ulisikia JJ Mnyika alisema kama CCM wanapanga janja janja kama Awamu ya nne basi huo Uchaguzi hautokuwepo!

Nadhani maana yake umeipata, tuwe wavumilivu.

Nyuma ya CDM Pana Watanzania wengi sana wanaoitaka KATIBA mpya tusikate tamaa.

TUPAMBANE. Ameeen
 
Wewe unaamini Mbowe ataacha Maridhiano?

Basi utakuwa ni mjinga sana
Mbowe aache maridhiano Kwa sababu gn sababu yote wanayotaka yanatimizwa?

Siro amefurushwa kuwa IGP,

CCM na SIRIKALI wameridhia Mchakato.

Soon Warioba atarudishwa Kwa tume na Rasimu itatumika kuanzia mjadala.

Mwaka kesho kwenye budget tegemea pesa ikitengwa ajili ya Mchakato wa Katiba mpya.

Pia tuna miaka karibia 3 kabla ya 2025, tuko pazuri.
 
Mbowe aache maridhiano Kwa sababu gn sababu yote wanayotaka yanatimizwa?

Siro amefurushwa kuwa IGP,

CCM na SIRIKALI wameridhia Mchakato.

Soon Warioba atarudishwa Kwa time na Rasimu itatumika kuanzia mjadala.

Mwaka kesho kwenye budget tegemea pesa ikitengwa ajili ya Mchakato wa Katiba mpya.

Pia tuna miaka karibia 3 kabla ya 2025, tuko pazuri.
Covid 19
 
About COVID tusubiri MARIDHIANO mwafaka utapatikana.

CDM Hadi sasa msimamo wao, hawaitambui uchaguzi wa 2020 uliomuweka Magu madarakani.

Kwa Maana ingine hata utawala huu hawautambui.

Lisu amesema, Hadi sasa msimamo ni kutopeleka wabunge hata kama Hawa watafurushwa bungeni.

Ht kama ni MDUDE angekuwa Serikali angewakumbatia COVID kulinda LEGITIMACY.

Jibu liko kwenye maridhiano Si mahakamani.

Ameeeen.
 
Back
Top Bottom