Mto wa Mbu is an administrative ward in the Monduli district of the Arusha Region of Tanzania. According to the 2012 census, the ward had a total population of 11,405. The name Mto wa Mbu means " Mosquitoes' River ". Mto wa Mbu has an area of 3,600 square kilometres (1,400 sq mi) of which 1,800 square kilometres (690 sq mi) is for cultivation.
Mto wa Mbu is estimated to be in the midway between the neighbouring Karatu and Makuyuni towns. It is one of the towns in the rift valley in the northern part of Tanzania. It close to lake Manyara and Manyara national park. The town of Mto wa Mbu features lodges, rest houses and camp sites for tourists who visit Lake Manyara and Manyara national park.
Banana is the common and largest agricultural product in the town and the surrounding area.
Mto wa Mbu is can be reached by driving from Arusha. It is approximately 112 km from Arusha city and the road is well repaired with tarmac. Tourists vehicles from Arusha, Nairobi, Moshi and Babati always passes through this town on the way to Ngorongoro crater and Serengeti national park.
Sisi wafanyakazi wa ujenzi wa Daraja la Mto Sanga linalounganisha Ifungilo na Usangijo, Wilaya ya Meatu, tunailalamikia Kampuni ya Busangwa Company Limited ya Shinyanga kwa kushindwa kutulipa stahiki zetu baada ya kumaliza kazi ya ujenzi wa daraja hilo.
Tulifanya kazi kwa uaminifu tangu mwezi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, akizungumza na Wananchi wa Kata ya Ipangalala pembezoni mwa Mto Lumemo wilayani Kilombero mara baada ya kumaliza ziara ya siku mbili mkoani Morogoro, kukagua hatua mbalimbali zinazochukuliwa...
Mradi wa Maji Mto Ruvuma wenye thamani ya Shilingi bilioni 38.15 umefikia asilimia 97.6 ya utekelezaji na tayari umeanza kutoa huduma kwa wananchi tangu Agosti 2026.
Mradi huo utazalisha lita milioni 5 za maji, na unatarajiwa kunufaisha wakazi 82,000, huku ukiongeza upatikanaji wa maji kutoka...
Hapa ni Morogoro mto Lukosi Miaka yote wananchi wanatumia hicho kichuma kuvuka huo mto wanasema kuna mamba wa kutosha.
Alafu kila mwaka ukisoma Ripoti ya CAG vibaka wanakula Pesa za kutosha.
MY TAKE
Mshauri Mwenyekiti wa Kijiji asilalaimike popote kwani atatekwa. Abdul mla watu hataki wananchi...
Huu utaratibu kuwekewa uchafu mlangoni kwenye makazi yetu wakati mtambo wa kusafisha Mto Ng'ombe hapa Dar sio salama kwetu kwa kuwa uchafu wote unakuja kwenye makazi yetu na kutuweka katika hali hatarishi kiafya.
Anonymous
Thread
dar
kiafya
kusafisha
kuweka
makazi
makazi ya watu
milango
mto
ng'ombe
salama
sio
uchafu
Julai 2025 ulisainiwa Mkataba wa ujenzi wa kingo za Mto Kanoni, ulioko katika Manispaa ya Bukoba, Mkoani Kagera na kukabidhiwa kwa mkandarasi wa kigeni, Kampuni ya Shandon Luqiao Group Company Limited, inayofahamika kama Shandong, kwa gharama ya Shilingi bilioni 21.3. Mradi huo ni sehemu ya...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeongeza mikakati ya kuhakikisha uimarikaji wa huduma, ikiwa ni pamoja na kuimarisha ufuatiliaji wa vyanzo vya maji, ili kuhakikisha huduma ya majisafi inaendelea kuwa ya uhakika kwa wakazi wa Dar es Salaam na Pwani.
Afisa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema Serikali ya CCM inaongozwa na watu waliokosa maarifa badala yake wamebaki kutishia wapinzani na kufungua mitandao ya kijamii.
Ameyasema hayo Agosti 12 katika maadhimisho ya vijana kimataifa yaliyofanywa na chama hicho jijini Dodoma.
Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa wameelezwa kuwa watanufaika na Shilingi Bilioni 1.2 zilizotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu kwa ajili ya ujenzi wa daraja la kisasa la chuma lenye urefu wa Mita 30 katika Mto Nyameni, Kata ya Ulaya, mradi...
My Take
Naunga mkono msimamo wa Ethiopia kutumia Rasilimali zake.
------------
Waziri wa Rasilimali Maji na Umwagiliaji wa Misri, Hani Sewilam, ametangaza kuwa nchi yake haitairuhusu Ethiopia kujenga mabwawa mapya kwenye Mto Nile.
Sewilam ametoa kauli hiyo Agosti 4, 2026, wakati wa mkutano na...
Kama kichwa cha habari hapo juu. Kuna rafikiangu kwa sasa ni marehemu alikuwa anasaidia yoyote mwenye tatizo la macho,hasa ile hali ya mtoto wa jicho au hata jicho linaloanza kuwa na uoni hafifu au kuwa kama na ukungu hivi.
Huyu jamaa yangu marehemu alikuwa anachuma majani fulani mabichi...
Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja ametangaza mipango ya kujenga karakana ya kisasa itakayowahudumia mafundi wa magari wanaoathiriwa na mpango wa ukarabati wa Mto Nairobi.
Kituo hicho kipya kinatarajiwa kuwa na uwezo wa kuhudumia hadi magari 1,200 na kitakuwa na huduma mbalimbali, zikiwemo vyumba...
RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI BILL CLINTON ADAI KUWA Aliwapa Wapalestina ardhi yote ya GAZA na asilimia 97 ya Ukingo wa Magharibi wa mto Jordani (West Bank) lakini kiuhalisia Wapalestina hawakutaka kabisa kuwa na nchi yao wenyewe bali walichokitaka ni kuendelea kuua wayahudi
Msimu huu wa mvua sisi wakazi wa Goba tumekutana na changamoto kubwa ya ubovu wa miundombinu.
Mtaa wa Bonde kati ya Shule ya Living Minds/Kanisa la RGC na Matosa umeharibika kabisa, magari ya shule asubuhi yanapata changamoto kupita, watembea miguu wanazama matopeni na bajaji hazipiti kabisa...
Moja ya mambo ambayo ni muhimu ni kuhakikisha mto wami unajengwa bwawa mfano wa lile la Nyerere
Hii inawezekana sababu bonde la mto wami ni kubwa sana na liko under-utilized na bwawa likikamilika litakuwa na faida kubwa sana
Litazalisha umeme
Litaondoa kero ya maji wilaya ya chalinze, handeni...
Habari wadau usikeni na kichwa cha thread hapo juu , nahitaji shamba kwa ajili ya ufugaji na kilimo lenye chanzo cha maji cha uhakika mwaka mzima , lenye ukubwa wa heka 5 mpaka 40 , liwe mkoa wowote lakini ikiwa mikoa ifuatayo itapendeza zaidi : RUVUMA , IRINGA , SONGWE , MOROGORO
Nawasilisha
Ndondi ni mchezo mzuri sana kama hakuna ndugu yako ulingoni ila kama kuna ndugu yako basi si burudani ya mzaha; ni mchezo unaobeba hatari inayoweza kubadilisha historia ya maisha ya mtu kwa sekunde chache.
Uliza familia ya Marehemu Hiromasa au familia ya Segun Olanrewaju ambao walikata moto...
Hili ni wazo langu kama mto Rufiji ulivyojengewa bwawa,hawawezi kuujengea na Mto Wami bwawa ili uweze kuhifadhi maji kipindi chote cha masika kuliko kuacha maji ya mvua yakipotelea baharini?
Nawakilisha,ikiwezekana hata maji ya mto Jangwani nayo yajengewe bwawa
Hizi ni kingo za Mto Mara (Rorya). Ukiupita Mto Mara hutajua kuwa unaweza kuua bustani ya mtu. Huu weupe ni Chumvi. Chumvi hii inabebwa na mto toka unakoanzia hadi ziwa Victoria. Kutumia maji haya kwa kilimo kama bustani inabidi kuchukua tahadhari ya kupambana na maji haya vinginevyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.