mzuka

  1. F.S

    Makonda Tunyooshee tatu mzuka (wadudu) Arusha

    Habari wakuu. Mh. Makonda ujapo Arusha kuanza kazi rasmi tunaomba uanze na tatu mzuka. Hawa vijana wameharibu sifa ya mkoa wa Arusha. Mitaa ya uwanja wa ndege mpaka kisongo hakufai wanakupiga tukio mpaka mchana kweupe. Tafadhali sana nusuru sifa njema ya mkoa huu. Nawasilisha. Asante
  2. MK254

    Mwanajeshi wa Iran aingiwa na mzuka na kuua wenzake watano, eneo lililoshambuliwa na bomu

    Kaamua kuwawahisha wenzake kwa mabikira na kutoroka...... An Iranian soldier opened fire on fellow soldiers, killing five of them in the southeastern city of Kerman, where 94 people were killed in a bombing attack earlier this month, Iranian state TV reports. State TV says the shooting...
  3. MK254

    Picha bandia za akili mnemba (AI) zilivyotumika kuwadanganya waarabu mpaka wakaanza kuandamana

    Tatizo uwongo huwa haudumu, hizi picha bandia za kutengenezwa kwa kutumia Aritificial Intelligence (AI) zilisambazwa sana kwenye mitandao na kusababisha Waarabu kuandamana hatimaye zimeanza kugunduliwa na wataalam. The war between Israel and Hamas has generated so much false or misleading...
  4. Mwachiluwi

    Wanawake leo fungukeni ni kitu gani ukikikuta kwa mwanaume au hali gani ukimuona mwanaume mzuka unakata kuzagamua?

    Embu leo wanawake semeni sisi wanaume tushaongea sana now tunaona mmejirekebisha. Haya leo zamu yenu ni hali ipi ukiona kwa mtu wako au mchepuko wako au mwanaume ambaye umepanga kuzagamua naye siku hiyo mzuka wako unakata kabisa unakaza kutoa kufuli na ukitoa unasema huyu amalize aende zake...
  5. F

    Mashaka kuhusiana na mchezo wa kubahatisha wa TATU MZUKA unaochezehwa na Zembwela

    Huu mchezo ambao mara nyingi nimekuwa nikiutazama ITV umenipa mashaka. Mara nyingi washiriki hupata milioni tano kurudi chini. Kumbuka hapo Kuna milioni 50, 60 hadi 70. Cha ajabu watu hawashindi hela hizo nyingi. Jamaa anachokifanya baada ya kufunga mchezo anachomoa vile vibao vyenye hela...
  6. M

    Mzuka wa ushangiliaji wa Kocha Robertinho haukuanzia hapa Simba; alikuwa hivyo toka anacheza mpira wa miguu kwao nchini Brazil

    Kohh koooh... Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo, ukipenda unaweza kumuita Robertinho alikuwa mshambuliaji nguli aliyechezea vilabu vikubwa nchini brazil, mwisho mwa miaka ya 70 mpaka mwishoni mwa miaka ya 80. Kocha huyu anayewaonoa wekundu wa msimbazi kwa sasa, aliwahi kukipiga katika vilabu...
  7. MK254

    India na China waamshiana mzuka kisa mkoa

    India wanadai ni mkoa wao na wameupa jina "Arunachal Pradesh", Mchina naye ameupa jina "South Tibet" na wote kila mmoja anaamini ni mkoa waliopokezwa na mababu zao na hawapo tayari kuachia hata kipande, na mataifa yenyewe na makubwa na kila moja lina silaha za nyuklia. Hawa wanyukane tu maana...
  8. MK254

    Urusi kutuma wasanii wakawatumbuize wanajeshi wake walioishiwa na ari au mzuka

    Wanahisi labda wanajeshi wakitumbuizwa watakubali kupigana maana pamekua pagumu.... Russia says it will deploy musicians to the front lines of its war in Ukraine in a bid to boost morale. The defence ministry announced the formation of the "front-line creative brigade" this week, saying it...
  9. NetMaster

    Ni sawa kupostiwa na MC bila ridhaa yako ukiwa unaburudika kwenye sherehe?

    Nilienda kwenye mualiko wa sherehe ya rafiki yangu kuna dada yake alikuwa anaolewa, nikiwa najimwagia moyo na bia kadhaa ukafika muda wa kwenda kusakata rumba, mzuka niliokuwa nao ulikuwa fire 🔥💥 bum shakarakah! 💥🔥Nikajivuta hadi sehemu ya tukio na nikaanza manjonjo yangu kujiachia kwa...
  10. DR HAYA LAND

    Kila nikiwaza Kuhusu Dumu na fagio nakosa mzuka wa kuoa!

    To be honest Mpaka Muda huu kuhusu maswala ya ndoa nakwama Sehemu moja Kuzaa mtoto then asome katika Dumu fagio hapo tu. NB Mimi najifunza kwa walio-fanikiwa tu Dumu fagio ni hatari kwa kijana Mwenye uelewa sio tu anazalisha Bali anawaza future ya mtoto wake. Madarasa ya Dumu fagio...
  11. MK254

    Huu 'mzuka' mpya wa Ukraine unasababisha Mrusi apoteze battalion moja kila siku

    Kwa siku chache ambapo Ukraine wametiririka kama waliopagawa, wamefaulu kuteka vifaru 1,200 vya Urusi, hiyo ni pamoja na zana zingine ikiwemo magari ya kivita. Warusi wanatoka nduki na kuviacha huku Ukraine wakiendelea kufukuzia. Vijana wa Ukraine wameamua kujitoa mhanga, wanavamia kwa kifua...
  12. Sputnik_1

    Naombeni ushauri, nikishalala na mwanamke napoteza mzuka naye

    Habari zenu. Mie ni kijana wa kiume. Kama nilivyoandika ktk kichwa cha habari, ni kwamba nikimtongoza mwanamke akakubali, na kuwa mpenzi wangi, nikifanya nae ngono mara moja au mbili au tatu baada ya hapo nakua sina hamu nae kabisa. Naanza tafuta mpya nae nikifanya nae hivyo hivyo. Na saa...
  13. Pastory Kimaryo

    Michezo ya kubahatisha kama biko na tatu mzuka mmiliki wao ni nani na inafanyaje kazi?

    Habari wakuu, nahitaji kujua hivi hii michezo ya kubahatisha wamiliki ni akina nani manake imeibuka kuwa mingi sasa. Na pesa wanayokusanya inaweza kuwa nyingi hivi au kawaida? Pia huwa inaendeshwaje kwa maana ya kuchagua namba na mambo mengine.
  14. OLS

    Wale wachezaji Tatu Mzuka mnilijua hili?

    Hawa jamaa nimewaangalia kwa ukaribu wanavyoendesha bahati nasibu yao. Watu hawa huwa na namba tatu za bahati, kinachonishangaza ni kuwa kila wakati huwapigia simu watu wawili tu wakati wanasema kuwa namba za bahati zinakubalika kwa arrangement yoyote. Sasa chukulia namba za bahati ni 658, hizi...
  15. Mkogoti

    Je, Tatu Mzuka ndiyo hawa wa Mnada Poa?

    Tatu Mzuka mtangazaji alikuwa Mussa Hussein alikuwa anaipambia balaa kwamba weka namba zako tatu za bahati ili ushinde mamiliioni, Sijajua kama bado inaendelea. Naona wamerudi tena kwa style nyingine na mtangazaji ni yuleyule Mussa Hussein, sasa hivi wapo kwa jina la Mnada Poa. Unatuma hela...
  16. Money Penny

    Pandisha Mzuka wa Tendo la Ndoa Kwa Misamiati ya kimapenzi

    Juzi nilipelekwa Buza, Kwa mara ya pili maana Buza NI kubwa Sana Nikaenda kuulizia maana ya mparange sijui Kwa mparange nikapata maana nilicheka sana Sijui mambo ya kiswede mambo ya Ambaruti Basi akapita binti mwenye Shepu yake, babu mmoja akamwambia Yule binti, "Mariam nakuja huko huko...
Back
Top Bottom