kichwani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    Fahamu ugonjwa unaofanya mtu ajing’oe nywele zake kichwani

    Kujivutavuta nywele kwa kawaida huanza tu kabla au baada ya kubalehe. Wakati wowote, karibu 1-2% ya watu duniani wana ugonjwa huo. Takriban 80-90% ya watu wazima walio na trichotillomania ni wanawake. Mgonjwa anaweza kujihusisha na tabia hii kwa muda mfupi, wa mara kwa mara wakati wa mchana au...
  2. LIKUD

    Wamarekani weusi ni weupe sana kichwani aisee. Nimewapiga kwenzi moja huko instagram wamebaki wanabwabwaja tu

    Hawa jamaa wana utoto mwingi sana ndio maana serikali ya Marekani haiwahitaji and soon their place in the United States will be replaced by African, Jamaican and Haitian immigrants plus other immigrants. Na huo ndio ukweli kwa tulio wahi kufika Marekani tunaujua huu ukweli. Maeneo yalikuwa...
  3. Majok majok

    Unaweza kumuiga Pacome kuweka bleach kichwani lakini uwezi kumuiga ubora wake!

    Yule mwamba anaupiga mwingi mpaka unamwagika, ni mchezaji wa viwango vya juu, anajua na anajua Tena na Tena Kuna kopi za wakina Pacome wameamua kumuiga na wao wakaweka bleach🤣🤣 lakini uchezaji wao ni Kama konokono wa migombani! Huyu bwana energy yake, maarifa yake ni babkubwa, anatoa somo kwa...
  4. Pdidy

    Simba tuvae vitambaa vyeusi kichwani uwanjani kusema imetosha

    Kama tumewachoka viongozi basi hii njia itakuwa nzuri ziaidi, vaeni vitambaa vyeusi kichwani wote na wengine vaeni tshirt za maandishi kama mmewachoka viongozi. Hizi porojo za kila siku redioni hazina maana na hazotawasaidia kamwe. Nawarakia kipigo chema cha uhakika na heshima.
  5. JanguKamaJangu

    Afrika Kusini: Waziri asimulia alivyotishiwa kwa kuwekewa Bastola kichwani kisha wezi wakamuibia

    Waziri wa Uchukuzi wa Afrika Kusini, Sindisiwe Chikunga amesimulia tukio la kuibiwa wa kusema wezi walimtishia kwa kumuwekea bastola kichwani kisha wakamuibia wakati alipokuwa akibadilisha tairi la gari lililopasuka Jijini Johannesburg. Amesema wezi waliwafamia wakati walinzi wake wakibadilisha...
  6. Mhafidhina07

    Leo nimekumbuka sana maisah ya chuo,kinachozunguka kichwani mwangu viongozi wa wanafunzi(CCM wings) wapo kwenye hali gani?

    Maisha ya chuo yanaraha na karaha zake bhana yani ni sawa pepo na dunia unaishi muda mchache maisha magumu then unaambiwa bata lipo peponi unaishi katika uzima wa milele,naamini kabisa kwa mliosoma DODOMA UNIVERSIT -UDOSO sio kitu kigeni yaani mashauzi mengi na hasa mawaziri wa fedha(wanajiona...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Mariki Ataja Muarobaini wa Kumtua Mama Ndoo Kichwani Katika Ziara ya Chongolo Mkoa wa Katavi

    MBUNGE MARTHA MARIKI ATAJA MUAROBAINI WA KUMTUA MAMA NDOO KICHWANI MKOA WA KATAVI KATIKA ZIARA YA CHONGOLO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki ameshiriki katika ziara ya Katibu Mkuu CCM, Ndugu Daniel Chongolo katika Mkoa wa Katavi iliyolenga kukagua utekelezaji wa...
  8. The Burning Spear

    Je huyu Msanii naye atakamatwa kwa uchochezi?. Piga kichwani joka la kijani.

    Huwezi kuzuia mafuriko kwa mkono. CCM imefunga watu wengi kisa kukoslewa. Anza na yule dawa wa chato, Ney wa mtegp, Sifa na sasa huyu hapa mwamba... Je naye watamfunga?. Mabadiliko yanakuja COM kaeni mguu sawa.
  9. Tanzanite klm

    Vishilingi kichwani msaada wa dawa

    Nina sehemu mbili hazina nywele kichwani, vipo kama vishilingi nimetumia dawa zote hazioti. vina miezi saba sasa. msaada tafadhali. haviwash wala vipele havina ila vinakula nywele
  10. Heci

    Mwanamke ukimuendekeza atakupanda kichwani. Mke wa jamaa yangu kafuga msitu hataki kunyoa, eti hadi apewe laki akanyolewe kwa Wahindi

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Leo rafiki yangu wa tangu tukiwa watoto alinipigia simu kwamba anataka tuangalie mpira pamoja na ana jambo ambalo anataka nimshauri, hivyo basi nitafute sehemu nzuri tulivu ili tuwe tunaangalia mpira na kuongea. Basi nikamwelekeza sehemu jirani na...
  11. GENTAMYCINE

    Kwanini Jina la DGIS wa sasa halikaririki na linahaulika upesi Kichwani tofauti na ilivyokuwa kwa Watangulizi Modestus na Diwani?

    Yaani kila nikijitahidi Kulikariri nashindwa na hata nikilijua tu ndani ya muda mfupi nalisahau tofauti na ilivyokuwa kwa Watangulizi wake Yule Mluguru ( Morogoro ) Tumbo Tumbo na Mpare ( Kilimanjaro ) Msomi na Mmedani Jeuri. Je, na nyie Wenzangu mmeshindwa Kumkariri Jina lake na huwa...
  12. KENZY

    Kuamini ukiachana na mpenzi wako atafikwa na baya ni ujinga!

    Ati ukiachana na mpenzi wako basi litampata baya huko aendako na hata kama likimpata baya usifikiri limempata kwasababu aliachana nawewe! Huo ni upuuzi tu ambao ni kama failure ya ubongo. Your not the one who made every heart beat for anyone, so stop that foolish idea. Wacha kufikiri kuna kitu...
  13. GENTAMYCINE

    Hivi huyu DC wa Bunda anaelewa anachofanya kweli?

    Yaani watu wamefariki kwa ajali ya mitumbwi Ziwa Victoria huko Bunda Mkoani Mara wakienda Kanisani kumuabudu Mwenyezi Mungu, Mkuu wa Wilaya ya Bunda kaamuru Mchungaji wa Kanisa akamatwe haraka. Kwanini GENTAMYCINE nimesema huenda huyu DC wa Bunda Dk. Vicent Kichwani mwake hazijakamilika? Jibu...
  14. B

    DKT. Samizi amshukuru Rais Samia kumtua Mama ndoo kichwani Muhambwe

    Jana Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amefika Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma kukagua miradi ya maji ambapo Mbunge wa Jimbo hilo, Dkt. Florence George Samizi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Maji kwa namna wanavyofanikisha kumtua ndoo kichwani Mama na Wananchi wa Muhambwe. Kwenye...
  15. D

    Fatma Karume ana uwezo mdogo sana wa kuchambua mambo, anaongoza kwa ubishi

    Hopefully wote mtakuwa salama. Nisiwachoshe na mimi msinichoshe. Leo asubuhi bwana nilikuwa bored sana na idle as of tangu nime retire, i just decided kupumzika nyumbani na familia. Basi bwana nikajikuta nipo YouTube naangalia video mbalimbali, kuangalia hivi kidogo nakuta clouds wako live na...
  16. Chachu Ombara

    Elibariki Kingu: Wabunge wa CCM tuko vizuri kichwani, tusingezeweza kupitisha mkataba usio na maslahi kwa nchi yetu

    Mbunge wa jimbo Singida Magharibi, Elibariki Kingu amejigamba kuwa wabunge wa CCM si wa mchezo linapokuja suala la matumizi ya akili, amesema kuwa mkataba uliopitishwa Bungeni ni salama kwa maslahi ya taifa Wabunge wa CCM tuliopitisha Mkataba wa Uwekezaji Bandarini tuko vizuri kichwani, pale...
  17. GENTAMYCINE

    Kuwaamini Wanasiasa wa upinzani wa sasa Tanzania ya leo ni sawa na kukubali kuwa hauna kabisa Akili Kichwani

    Kuna Mmoja wao kwa sasa Yeye, Mkewe na Watoto zake si Raia tena wa Tanzania ila Kutwa anazurula Mitaani na katika Media kutaka kuonyesha kuwa ana Machungu na Watanzania, anawapigania huku kila Siku Usiku Saa 3 anapiga au anapigiwa Simu na Kuongea kwa Furaha na Mtu Muhimu Tanzania huku akiwacheka...
  18. Mwachiluwi

    Mtakaochangia mchango wa kufungua kesi hela zenu hazina kazi na kichwani kidogo kuna shida

    Hivi hao mawakili wameshindwa kweli kujichanga ndio wafungue kesi? Walifungua kesi wakitegemea pesa za watz? Na serikali mliwapaje kibari cha kutuchangisha uhuu ninupumbavu wafutiwe kibari cha kuchangisha Watz siku zote wanawaza kuwapiga watu uhuu ninupumbavu uhu upepo utaenda na pesa za watu...
  19. GENTAMYCINE

    Hivi Kamati iliyomuadhibu yule Mpuuzi wa Mashujaa FC ina Akili sawa sawa Kichwani?

    Nilitegemea atahukumiwa ama Kifungo cha Miaka 15 au hata Maisha na Faini ya Shilingi Milioni Kumi ( 10 ) ili iwe Fundisho kwa Wapuuzi Wenzake wengine cha Kushangaza kafungiwa Mwaka Mmoja tu na Faini isiyouma. Huenda ndiyo maana GENTAMYCINE sijawa na kamwe sitokuja kuwa Hakimu ila kwa...
  20. MIXOLOGIST

    Bado sehemu kubwa ya watu wetu wamenga'ng'ania vijiji kichwani mwao (waporipori)

    Wanasema unaweza ukamtoa mtu kijijini lakini ukashindwa kutoa kijiji kichwani mwake Maana yake nini, watu wetu wengi bado ni washamba sana (wapori-porii), bado wanatambaa na mawazo ya kale vichwani mwao. Haijalishi huyo mtu amesoma shule mpaka levels gani, au amekuwa exposed kiasi gani au...
Back
Top Bottom