chungu

Chungu Chipako (born 27 January 1971) is a Zambian middle-distance runner. He competed in the men's 1500 metres at the 2000 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    Hatimaye Vyombo vya Habari vya Tanzania vyajiondoa ndani ya Chungu, hebu Someni hili gazeti

    Kwa miaka yote Tulipokuwa tunaelimisha Jamii kuhusu Haki , Uhuru na Demokrasia tulionekana kama vichaa, Kujihusisha na siasa ilionekana kama kujitafutia kifo na ujinga , Mamluki wa Watawala wakatutukana matusi yote hadi ya nguoni, hatukuwa na cha kuwafanya na wala hatukuhangaika nao sisi...
  2. JanguKamaJangu

    Desemba 23, 2023 chungu kwa Man United, yapigwa 2-0 na West Ham

    Ikicheza mchezo wake wa 18 katika Premier League msimu huu wa 2023/24, Manchester United imepoteza kwa magoli 2-0 dhidi ya West Ham United, ikiwa ni mchezo wa 8 kupoteza katika Ligi hiyo. United ambayo imeshinda mchezo mmoja tu kati ya mitano iliyopita katika EPL, inazidiwa pointi 11 na vinara...
  3. Mr George Francis

    Swali najiuliza Je, NDOA ni CHUNGU au TAMU?!!

    Bado najiuliza, Je, NDOA ni TAMU au CHUNGU ?!! Ni swali ambalo walio nje ya ndoa wanajiuliza kila siku, lakini hata walio ndani ya ndoa nao bado hawana majibu yaliyokamilika. •Kuna watu wamepoteza maisha yao kwasababu ya NDOA, kutokana na vipigo na manyanyaso yaliyopitiliza na wengine wamejiua...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Watu wa Daslamu msidhani hatujui kinachowapata huku mjini

    Bila salamu! Mnajifanya wajanja sana, maneno mengi kama machinga wa kampuni wanaotembeza bidhaa. Mnatuona tuliopo mkoani kama mmetupiga KO lakini sisi tunawadere tuu, tunawalia gap, tunajua mbele kuna tuta. Msidhani hatuna habari zenu. Tunazo sana. Tunajua chakula chenu kikuu ni Ugali nyanya...
  5. kekule benzene

    Tamu na chungu baada ya kujiunga na forever living products

    Habarini za weekend wakuu, leo nimepitia nyuzi mbalimbali zinazohusu forever living products, nikaamua na Mimi niweze kushare kitu kuhusu hii kampuni. Kwanza nakiri kuwa niliwahi kujiunga na biashara hii na nikadumu kwa miaka miwili tu Kisha nikaacha. Yafuatayo ni miongoni mwa niliyoyapata...
  6. Chizi Maarifa

    Hizi siku mbili jana na leo zimekuwa chungu sana kwangu. Nimekata tamaa kabisa

    Nimekata tamaa. Najiona si mimi tena. Nimekuwa mtu wa ajabu humu JF naona kama watu wote wameanza kunichukia. Sijui hata nitafanyaje. Naona kama tu nisiishi tena. Sioni makusudi ya kuishi katika hali hii. Nimekata tamaa sana. Jana na leo sijapata hata mtu mmoja wa kugombana naye humu JF...
  7. Street brain

    Nimekoma, yule mwanamke ni chuma ulete

    Habari wana jf, Moja kwa moja kwenye mada, katika pita pita hapa na pale nikiwa mkoani manyara alimaarufu kama mkoa wa Wambulu mix Wamasaai na wengine wanajiita Wairaq sijui kwanini wanajiita hio ila ni walewale Wambulu lugha ni moja kila kitu. Siku moja ilikuwa ni siku ya mnada ndani bahati...
  8. Librarian 105

    Wanasimba hii chungu kumeza, ila hasira zenu msizimalizie kwa Mohamed Dewji!

    Yanga ndio huyo Fainali ya Shirikisho. Tambueni tu mtani anachuma alichopanda baada ya msoto mkali. Uwekezaji, mipango-mkakati na utawala bora, maandalizi mazuri ya msimu, kiu ya mafanikio n.k, vimewafanya jamaa kuandika historia. Mafanikio hayana uchawi zaidi ya kujipanga. Mtaani apewe...
  9. Equation x

    Maisha haya bila kuwa na mahusiano, utaona dunia ni chungu

    Kila utakayekutana naye, utakuwa unamkasirikia; atakaye kusemesha neno dogo tu, unamjibu kwa ukali; ukiona uzi wa masham sham unakasirika: hii ni ishara ya kukosa mahusiano sahihi. Ndio, ni kweli hapa duniani kuna changamoto nyingi, hasa za kiutafutaji ili kuweza kupata mkate wa kila siku; zipo...
  10. BARD AI

    Chungu ya miaka 6 ya utawala wa Hayati Rais Magufuli

    Miaka sita ya uongozi wa Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli ilikuwa mwiba kwa Chadema, inayotimiza miaka 30 tangu kuanzishwa kwake, kwa kuwa zilifunguliwa kesi nyingi zilizowahusu viongozi, wanachama na wafuasi pamoja na kushambuliwa, kuuawa na wengine kutoweka. Licha ya...
  11. B

    Chungu na tamu za watabiri mchezo wa Yanga na Al Hilal (first leg & second leg)

    Kila mtu katabiri anavyoweza, nilichoamua kufanya mimi ni kutumia hesabu za darasa la saba tuu kutafuta matokeo ya jumla. Kupitia humu humu Jamii Forums watu 12 walijaribu kutoa nyuzi au maoni kwenye nyuzi za wengine jinsi matokea yatavyokuwa. Nikaamua kuchukua idadi ya magoli yote ya Yanga...
  12. Mwanamaji

    Kwenye kauli hizi chache za Rais akiwaapisha Mawaziri watatu wateule, kosa la Balozi Mulamula ni insubordination?

    Mara baada ya mawaziri watatu (Bashungwa, Tax na Kairuki) kula kiapo ikulu jijini Dar es Salaam, Mh Rais amezungumza maneno machache sana. Amewaasa mawaziri wake wapya mambo yafuatayo: 1. Wazingatie kiapo chao cha kuilinda, kuitetea na kuihifadhi katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  13. GENTAMYCINE

    Jumamosi iliyopita kuna Timu Moja ilikuwa inaendeleza kile ilichokizoea na nyingine imeonjeshwa Asali kabla ya Kulambishwa Chungu

    Huenda mwisho wa Kufurahi kwa hiyo Timu na Mashabiki wao ukawa ni Weekend ijayo ( hii ya sasa ) na baada ya hapo Kununa (kwa Kufurumushwa kabisa Michuanoni ) Kukaanza ama kutokea Sudan au Ethiopia.
  14. MrKanteChelsea

    Tamu na chungu ya wauza maziwa barabarani

    Wanachelewa kulala lakini wanawahi kuamka, ni kina mama wauza maziwa katika Kituo cha Nyichoka Kata ya Kyambahi Wilaya ya Serengeti ili kuwahi wateja kwenye mabasi yanayopita saa 12 kuelekea Musoma,Bunda na Mwanza. Kwa kuwa wengi wao hukamua wenyewe ,huwalazimu kuanza saa 10 alfajiri muda...
  15. Bata batani

    Kwanini wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake wapambanaji na wanaojielewa?

    Sijui kwanini linapokuja swala la kufunga ndoa wanaume wengi huwa wanaogopa kuoa wanawake wanaojitanbua na wapambanaji. Wanaume wengi wakigundua nature ya mwanamke anaetaka kumuoa ni msomi ana kazi yake nzuri au mwanamke ana biashara zake na ana maisha yake basi linapokuja swala la kuoa huwa...
  16. L

    Mwisho wa wiki mgumu na mchungu Tanzania

    Tarehe 30/04/2022 Jumamosi Kariakoo Derby Yanga Vs Simba baada ya DK 90 Kuna watu watalia na kusaga meno, mikeka itachanika, ndoa zitaingia Kizungumkuti na hata like tendo siku hii huenda baadhi litapoteza ladha, wengine watafilisika na mwisho kwa bahati mbaya wengine wanaweza kupoteza uhai kwa...
  17. M

    Waziri Nape chunguza hili tatizo la kupungua kwa spidi ya internet ya Mitandao ya Voda na Airtel

    Kwako waziri Nape Siku za hivi karibuni kumejitokeza hali isiyo ya kawaida ya spidi ya Mitandao ya Voda na Airtel kuwa ndogo sana. Licha ya spidi kuendelea kuwa ndogo lakini gharama za vifurushi vyao imeendelea kuwa ileile (ukiachilia mbali like sakata la mwaka Jana la kupanda bei za...
  18. K

    Kupasua Chungu na kufunga kwaajili ya kesi ya Ugaidi ya Mbowe kuna madhara kwa wasiotenda haki na vizazi vyao?

    Kuna Jambo linasambaa kwa Kasi Sana kwamba wenzetu huko Kaskazini wanapasua vyungu pale wanapoona Jambo limekaa kinyume Cha haki ili miungu yao iangaike na wale walioshiriki aidha kuua, kuiba, kudhulumu au kumnyanyasa mtu mwingine. Kwa wasimavyo Chungu uangaika na kizazi na hakichagui kabila...
  19. Ramon Abbas

    Nimekanyaga chungu kilichovunjwa njia panda, sina amani kabisa mpaka sasa

    Wakati natembea nikiwa sina hili wala lile nimejikuta nakanyaga haya mazaga katikati ya njia panda. Kwa kweli nimeghafilika sana! Na hii si mara ya kwanza. Naona mwamba aliambiwa aweke na chumvi ya mawe😅😅 kisha akaja kupasulia shida zake hapa.
Back
Top Bottom