kesi mahakamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ngarob

    JamiiForums Tanzania DPP afungua kesi Mahakamani kwa Mwenyekiti wa Bavicha Kahama kwa kusema Patros Katambi hii nchi siyo ya Baba Yako Wala Mama Yako

    DPP amafungua kesi hiyo...ya aina yake ambapo itabidi Polisi wadhibitishe Mahakamani kwamba nchi hii ni ya Baba na Mama yake Patros Katambi... Tunategemea Wazazi wa Patros Katambi watapeleka hati miliki ya nchi ya Tanzania Mahakamani
  2. K

    JamiiForums Tanzania Eti CAG ameshindwa kukagua hati ya CHADEMA kisa kesi mahakamani

    Vituko vya serikali ya mh.Samia vinaendelea Mkaguzi anadai hakwenda kukagua Mali za CHADEMA kwa sababu ya kesi mahakamani Hivi kwani mahakama imekamata Mali za CHADEMA.
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Lissu akiwa kizimbani: Ninachukizwa na nyie mapandikizi ya Polisi mnaletwa hapa halafu mnafichwa ndani ya Kizimba

    Wakuu, Uzuri wa Lissu huwa hakwwepeshi. Yaani hanaga chujio anawachana hapo hapo Huyu shahidi kaharibu hadi Lissu kaonesha kabisa hapendezwi na kinachoendelea ========== Mhe. Lissu: umesema kwamba wewe kazi yako ni dereva wa boda boda kweli si kweli? Shahidi wa kificho P3 : kweli Mhe...
  4. Soul21

    JamiiForums Tanzania Tulionyimwa mafao NSSF, tufungue kesi mahakamani

    Maumivu si mpaka ukatwe na wembe bali ukatili wa NSSF kukataa pesa yako baada ya kuacha sekta binafsi na kujiunga na serikali. Sawa sheria walizoweks nizakinyonyaji kwa mazingira mengine. Basi kama inashindika wahamishie pesa za mwanachama kwenye mfuko mwingine aliyohamia. Sekta binafsi...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT: Hatutafuata Maelekezo ya Msajili kumtengua Mpina kuwania Urais, tutafungua kesi Mahakamani

    Chama cha ACT Wazalendo kimepokea taarifa kutoka kwa Msajili wa Vyama vya Siasa juu ya uamuzi wake wa kutengua ugombea wa Ndugu Luhaga Joelson Mpina kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya ACT Wazalendo. Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Chama inaipitia kwa umakini...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania CEO wa ChatGPT Sam Altman: Kama sheria itapitishwa matumizi ya ChatGPT kuchambua kesi mahakamani wengi mtajikuta mkijilaumu

    Na nukuu kauli yake Sam Altman CEO wa chatgpt ambapo kuna mswaada mkubwa sasa GPT kuingia mpaka kwenye mfumo wa kimahakama kuchakata vifungu kunaweza kuwa weka wazi ambao wakiamini kuwa GPT ni msiri wao wakiuliza au kujua na wengine wakifanya kutatua tatizo. Na jiuliza kama wakili wa serikali...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Airtel nafungua kesi mahakamani

    Ipo ivi nilikua nachati na mrembo wangu ivi vitoto vya 2000 usiulize umri wangu (sio mada ya leo) sasa yeye hana simu anatumia ya baba yake iyo ni siku zote tunawasiliana ivyo Bado mwanafunzi tumechati vingi sana sms ya mwisho nikamwambia tukutane Kwa mangi apo saa Moja jioni , Mtandao ukaaza...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Olengurumwa ashinda rufaa dhidi ya Serikali. Vifungu vilivyowabana wananchi kufungua kesi zenye maslahi ya umma na kumshtaki Rais vyafutwa!

    Wakuu, Kwa wale wapenda demokrasia na utawala wa sheria leo itakuwa siku nzuri sana kwao =========== Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo imeamua kufuta vifungu vya sheria vilivyokuwa vinazuia watu kufungua kesi zilizobeba maslahi ya umma. Uamuzi huo umetolewa katika kesi Rufaa Na. 134 ya mwaka...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mfungwa wa mauaji aachiwa huru baada ya kukaa jela miaka 38 kwa mauaji ya Diane Sindall 21 baada ya ushahidi wa DNA kuthibitisha kuwa hakuhusika

    Sio wote walio magereza wana hatia. Uingereza: Peter Sullivan alihukumiwa kwenda gerezani kwa kosa la kumuua mfanyakazi wa bar ( barmaid) Diane Sindall mnamo 1 August 1986. Ushahidi wa DNA umeneosha kuwa hakuhusika Peter Sullivan has murder conviction quashed after 38 years in jail Hearing...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Rungu nikununulie mwenyewe , Leo unalitumia kunipiga nalo Mimi bosi wako nikienda kusikiza kesi Mahakamani!

    Loh! Pesa nitoe mfukoni kwangu, nikununulie RUNGU Ili unilinde, nikununulie boots, nikupe silaha, nikulipe mshahara, Kisha unigeukie na kutumia silaha hizo hizo kunidhuru Mimi bosi wako! Nauliza Tena, tangu lini boss anabeba silaha kujilinda ilhali ameajiri mlinzi? Mbwa akipata kichaa na...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Waathirika ghorofa lililoporomoka Kariakoo wafungua kesi mahakamani kudai fidia

    Waliokuwa wafanyabiashara ambao walipanga kwenye jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwaka 2024 wamefungua kesi kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania (Division ya Ardhi) Dar es Salaam wakidai fidia kwa waliokuwa wamiliki wa jengo hilo, ambapo madai ya fidia hiyo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA waburuzana mahakamani, kesi kuanza leo

    Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutoka Zanzibar, wamekiburuza mahakamani chama hicho pamoja na mambo mengine wakilalamikia upendeleo katika mgawanyo wa rasilimali za chama pamoja na stahiki nyinginezo. Kesi hiyo ya madai namba ya mwaka 2025...
  13. Powder

    JamiiForums Tanzania Wanasheria Mje mtusaidie: Naweza kufungua Kesi Mahakamani kudai kurudishiwa Gharama zangu Kwa kuahirishwa Mechi ya Yanga na Simba.

    Inawezekana kukawa na Upenyo wa Kisheria Kwa Watu ambao wanenunua Ticket, wengine wamelipia Usafiri wa Ndege, Ma bus ama kutia Mafuta kwenye magari Yao kuja Dar es salaam. Wamelipia Hotel ama Gesti, Sasa wanaambiwa Mechi imeahirishwa na Bodi ya Ligi. Hakuna namna Mashabiki wanaweza kufungua...
  14. fundysamwely

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Niliyemdhamini katoroka, sasa nimefunguliwa kesi mahakamani

    Habari wadau naombeni msaada au ushauri. Mimi sio mzoefu na mambo ya kesi na wala sijawahi kusimama kizimbani. Kuna mtu aliniomba nimsaidie kuna sehemu wanakopesha pesa bila dhamana yoyote yenye thamani isipokuwa mdhamini mmoja so akanambia ana shida na yeye amedhamini watu wengi pale kwahiyo...
  15. Rais wa wapare

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuomba faili la kesi mahakamani

    Kwanza kabisa natanguliza shukrani Nina kesi ya madai mahakama ya wilaya lakini kwa bahati mbaya mwisho wa kesi ikagundulika imekosewa jina la mdaiwa ikabidi isimame utekelezaji wake.sasa mimi ninataka nifungue kesi upya.Lengo la kuja hapa wadau ninaomba kujua utaratibu na jinsi ya kupata...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbeya: Mgombea CHADEMA akataa matokeo ya uchaguzi asema anakwenda kufungua kesi Mahakamani

    Mgombea Uenyekiti wa Mtaa wa Mtoni, Kata ya Ruanda, jijini Mbeya kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Elisha Chonya, ameyakataa matokeo akidai kanuni zilivunjwa huku msimamizi wa uchaguzi Bi. Winifrida Stanley akitangaza matokeo ambapo Bilali Gembe wa Chama cha Mapinduzi...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo kufungua kesi Mahakamani kupinga Wagombea wao kuenguliwa, ili uchaguzi urudiwe

  18. L

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda hana sababu ya kumfungulia kesi Tundu Lissu

    Ndugu zangu Watanzania, Siasa ni sayansi na sayansi ina kanuni zake. Siasa ni mchezo wa akili,siasa ni mchezo wa karata inategemeana unachanga vipi karata zako na unatupa vipi karata na wakati upi utupe ipi na uambatanishe na ipi. Kwenye siasa mtu anaweza kukutukana sana lakini ukabakia kimya...
  19. Mystery

    JamiiForums Tanzania KERO Sheria inayompa mamlaka makubwa DPP, kuwa apeleke au asipeleke kesi mahakamani, ni mbaya na inafaa ifutwe

    Miongoni mwa sheria mbovu sana zilizopo nchini ni inayompa mamlaka DPP ya kuweza kupeleka au kutopeleka kesi yoyote ya jinai, inayomkabili mwananchi yeyote na asitoe sababu za kutoipeleka kesi yoyote Ile mahakamani! Hii ni sheria mbovu sana, ambayo ilitungwa Kwa nia ya kuwafanya baadhi ya...
  20. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Mzee Magoma akana kushinda kesi dhidi ya uongozi wa Yanga

    “Siwezi kuelewa mahakama inafanya kazi gani, kwa sababu mimi ndio mstahili wa kupewa hukumu. Hizi ni propaganda. Mimi bado Eng. Hersi ni kiongozi wangu pamoja na bodi yake. Lakini kama itatokea jambo lingine lolote kupitia kwangu, mimi mwenyewe nitaita vyombo vya habari nitaongea navyo. Lakini...
Back
Top Bottom