porini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Dharau kubwa: Mangungu apaita Kaliua kijiji cha porini

    Kaliaua ni mji wa zamani sana. Huyu mzee anajifanya hapajui?
  2. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Sio kweli kwamba kabla ya Wazungu kuja Waafrika wote walikuwa wanaishi porini kama wanyama

    Nigeria pekee ina makabila 400, Tanzania ina 120. Hizi nchi mbili tu zina jumla ya makabila 520+ leo hii Bado Africa nzima, kuna maelfu ya makabila. (Hapa naongelea Africa ya watu weusi- Sub Saharan Africa) Kila kabila lilikuwa na culture yake Hizi narrative kwamba Waafrika walikuwa wanaishi...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sishangai mzungu kuita afrika "bara la giza", ni 2026 lakini waafrika wanafanyiana unyama utafikiri sokwe porini, poleni sana wachezaji wa senegal

    Picha linaanza pale tu wametua airport wananchi wakajazana kuwatishis na kuwaita maneno ya kibaguzi
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Walio mhoji Murilo sakata la kukamata watu kisha kuwapiga na kuwatupa porini nilisikia amewaambia eti amefuata sheria ?

    Nilisikia murilo anasema alifuata sheria kwenye lile sakata la kuwakamata watu na kuwapiga na kuwatupa porini kwamba ni la kisheria. Mlio muhoji mbona hamkumuuliza vizuri ni sheria gani hiyo isiyo staharabika ya kutupa watu porini, mimi sijasoma sheria lakini haipo sheria kama hiyo. Kama...
  5. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyama ya porini

    Kwa hapa Dar, wapi naweza kupata nyama ya porini... Natamani kula nyama ya porini this weekend, kama nitapata nyama ya Swala au Kiboko, itakuwa safi sana. Ma butcher yapo wapi kwa dar ?
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ubinadamu ndipo ulipofika hapa.Wapalestina wategwa kwa chakula mithili ya kuwapata samaki au wanyama porini

    Ushirikiano wa Marekani na Israel uliwaza sana namna ya kuwamaliza Hamas ambao wameonekana sugu kushindwa kwa mbinu zote zilizotumika mpaka sasa. Chakula ikaonekana ndicho chambo kizuri cha kuwakamata baada ya kuwa wamezuliliwa kupata chakula kwa miezi kadhaa. Ndipo ushirikiano huo ulipounda...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mchungaji aliyetekwa aeleza mateso na kwenda kutupwa porini ashindwa kutembea "Mengine tuyaache "

    Mchungaji wa Kanisa la Huduma ya Kristo lililopo Mtaa wa FFU, Kata ya Murieti, Steven Jacob Gumbo (35) ambaye iliripotiwa ametekwa na ‘Watu Wasiojulikana’ Mei 16, 2025 amezungumza na Wanahabri na kueleza kuwa Watu waliomchukua walijitambulisha kuwa ni Askari Polisi na wanamhitaji kwa ajili ya...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Muliro awakana Makada wa CHADEMA wanaodai kuteswa, kutupwa porini

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amekanusha jeshi hilo kuwakamata makada wa Chadema waliokuwa wakihudhuria kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Aprili 24, 2025. Awali Kamanda Muliro aliwaonya viongozi na wanachama...
  9. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Naona RC Chalamila alicho kuwa anatamani kitokee kimetokea na amefurahi kabisa?

    Naona RC chalamila alicho kuwa anatamani kitokee kimetokea na amefurahi kabisa. Anafurahia kuona watanzania wasio na hatia wala silaha wanakamatwa, wanateswa , wanavunjwa miguu na kutupwa porini. Nchi hii kuwa na viongozi kama hawa tumefikia pabaya sana, ni heri tungekuwa na bucha za nyama za...
  10. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya police kukamata watu , kuwaumiza na kuwatupa porini?

    Kuna kitu ambacho police wamefanya leo na wengi hatuja waelewa? Kwa muda mrefu tumekuwa tukitafuta nani anateka watu na kuwatupa porini, majini na kwenye hifadhi za wanyama wakali , bila mafanikio. Police wamekuwa wakilaumiwa japo na wao wanatekeleza maagizo. Naona sasa hivi wameamua...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nyani haogopi mwanamke wakikutana porini je wajuwa kile kitatokea katika safari ya porini?

    Siku moja babu yangu alinisimulia hadithi hadithi ambayo mpaka leo naitafakari. Babu yangu alinisumulia umuhimu wa mtoto wakiume ktk familia na kwa nini kila alipo kuwa akimuagiza mama alimwambia nenda na Yusuph. Historia ya kijiji chetu kina manyani wengi na sio kwamba niwengi ila niwakorofi...
  12. incredible terminator

    JamiiForums Tanzania Ngiri ni kiumbe mwenye matukio ya hovyo kushinda wanyama wote wa porini inawezekana akawa ndio comedian wa mstuni.

    Habari wakuu, Mwezi huu Nimekuwa nikikutana na mfurulizo wa video za wanyama zinanazowaonesha Ngiri na aina yao ya maisha pamoja na matukio wanayofanya huko mwituni kusema kweli viumbe hawa wanachekesha sana, kila aina ya tukio linalomhusisha Ngiri lazima likuvunje mbavu tu ukiliangalia...
  13. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Mzee katoa hoja "Mzungu kaitoa Afrika Porini" akamwagiwa kahawa yake

    Kuna ukweli kwenye hili? Anasema kuwa: 1. Anasema mpaka sasa mbona tukisema tunaenda kuangalia majengo ya kale tunachokiona ni kazi ya mwarabu na mzungu, sisi ngome zetu zenye ubora kama ya hao watu ziko wapi? (Wazee wengi ne walifoka sana hapa) 2. Alisema wenzetu walikuja huku...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma: Zaidi ya Wananchi 200 wakimbilia porini wakihofia Usalama wao

    Zaidi ya watu 200 wakazi wa kijiji cha Kagunga, Halmashauri ya wilaya ya Kigoma, mkoani Kigoma wako mafichoni/ porini huku usalama wao ukiwa shakani kutokana na kile kinachodaiwa uwepo wa oparesheni 'isiyo salama' inayoendeshwa na Jeshi la Polisi dhidi yao kijijini hapo Akizungumza na Jambo TV...
  15. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Mtendaji wa Kijiji auawa na kuchomwa moto porini. Makamu wa Rais atoa salamu ya shilingi ml 5 Kwa familia

    Serikali imesema baadhi ya watuhumiwa wanaodaiwa kumuua Afisa Mtendaji wa kijiji cha Nyahua wilayani Sikonge, Said Maduka kisha mwili wake kuuchoma moto na kuutelekeza porini, watafikishwa mahakamani wakati wowote kuanzia sasa baada ya uchunguzi wa kisayansi kukamilika. Mkuu wa Mkoa wa Tabora...
  16. V

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Treni ya mchongoko Dar-Dodoma imeharibika porini toka saa 2 asubuhi kati ya eneo la Pugu na Soga

    Imetoka Dodoma saa 12 kamili asubuhi. Tangu saa mbili asubuhi, treni imekwama. Sasa inaenda saa 7 mchana, na hakuna matumaini ya kuendelea. Treni iko kilomita 45 kutoka Dar, porini. Wengine wanashuka na kupanda boda; wanaenda wapi, sijui. Tangazo la TRC linasema mafundi wapo kazini. Chombo ni...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Aliekuwa dc alitakiww kuhojiwa.. porini n wapi

    Abcdefghij
  18. Nyendo

    JamiiForums Tanzania KWELI Dkt. Slaa asema amepata taarifa kuwa Deusdedith Soka atauawa na kutupwa msituni

    Habari wapendwa, kuna taarifa inatembea mitandaoni kuwa Dkt. Slaa amepata taarifa ya Deusdedit Soka ya kwamba atauawa leo na kutupwa msituni, je, Taarifa hiyo ni kweli imetoka kwa slaa? Na ina ukweli?
  19. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kesi za mauwaji, ujambazi na ubakaji yaani ukishukiwa au kusingiziwa nchini ni bora ukutane na simba porini

    Wanasema sikia kwa mwenzako ila sio kwako.hizi kesi nilizozitaja mbili hapa kwa tanzania zimeumiza watu wengi mwisho wa siku walio athirika wame hadithia mengi kupitia vyombo mbalimbali. Jeshi letu linapotokea kesi hizi asilimia 90 wengi wanajikuta wakiangaukia kwenye mateso ambayo siyo yao kwa...
  20. kyagata

    JamiiForums Tanzania Harufu ya manukato porini na nywele kusisimka ina maana gani?

    Habari JF, Kwa wenye uzoefu wa hili jambo naomba mnisaidie ni ishara ya nini? Siku tatu nyuma nilienda kijijini kwetu kusalimia,sasa kama mjuavyo ndugu kijijini huwa ni wengi na ukifika huko basi ni lazima ujitahidi uwatembelee wote kuepusha lawama. Kilichonishangaza ni kwamba kuna siku...
Back
Top Bottom