Malisa Zini (March 5, 1921 – February 26, 1985) was an Argentine actress. She starred in the 1950 film Arroz con leche, among others such as Cumbres de hidalguía, under director Carlos Schlieper. s
Stori ya kukamatwa na kuachiwa kwa kada wa CHADEMA inaacha maswali mengi sana. Kiufupi ni jambo linalonuka harufu kali ya usaliti. Pia kitendo cha Malisa kupokelewa na James Mbowe wa CHAUMMA hakiingii akilini kabisa. Tuliona Malisa kaongea na waandishi wa habari bila uwepo wa kada yoyote wa...
Sasa, unaweza uone unaweza kuwabishia hao Masadukayo. Lakini ukweli ni kwamba, umetegwa na wanajipanga kukuundia jambo
Ondoka na rejea ulipokuwa kwa amani kabisa. Mshika mpini daima hupenda akuonyeshe kwamba, yeye ndiye na wewe siye
Mwenye masikio na....
Malisa amesema;
1. Anawashukuru wote walipaza sauti, vingine inawezekana asingekuwa hai
2. Watu walijitambulisha ni polisi lakini gari lilowabeba sio la Polisi
3.Tuliambiwa tunapelekwa kituo cha polisi Longido lakini hatukupeleka huko
4.Polisi walikana sio wao wanaomshikilia wala kunichukua
5...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema lilimkamata Godlisten Elisante Malisa akiwa na mwenzake usiku wa Agosti 31, 2026, kutokana na tuhuma za jinai zilizokuwa zikichunguzwa dhidi yake.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Malisa na mwenzake walifanyiwa...
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha jana Agosti 31, 2026 majira ya usiku lilimkamata Godlisten Elisante Malisa akiwa na mwenzake kutokana na tuhuma za jinai zilizokuwa zinachunguzwa dhidi yake.
Soma: Malisa akamatwa na Polisi, Namanga na kupelekwa kusikojulikana
Aidha baada ya mahojiano wameachiwa...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeipokea na unaifuatilia taarifa iliyotolewa na Wakili Dickson Matata tarehe 31 Agosti 2026 kuhusu kushikiliwa kwa Godlisten Malisa baada ya kuwasili katika mpaka wa Namanga. Malisa alikuwa akirejea nchini akitokea Marekani kupitia...
Malisa GJ Leo alikuwa safarini kutoka Marekani ambapo amekuwa kwa zaidi ya miezi tisa (9), tangu alipoenda kuiwakilisha nchi yetu kama mtanzania pekee aliyechaguliwa na Wizara ya Mambo ya nje ya Marekani kwenda kupata mafunzo ya uongozi. Fursa ambayo hujitokeza kwa watanzania wachache sana kama...
Mwanaharakati maarufu katika kusaidia watu wanaoishi kwenye mazingira magumu, Malisa GJ, anadaiwa kutelekeza wanae watatu aliozaa na mkewe wa ndoa Doreen. Kwa mujibu wa Doreen waliyeachana zaidi ya miaka 3 na Malisa GJ hajawahi kupeleka matumizi wala kutaka kuwaona.
GJ ni maarufu kuchangisha...
UPOTOSHAJI WA MALISA GJ NI WA KUPUUZWA, SINA MPANGO WA KUDAI FIDIA BAADA YA KUSHINDA KESI, MIMI SINA DHIKI YA KISIASA MPAKA NIDAI FIDIA, NINAJITOSHELEZA NA SIASA ZENU NIMEWAA CHIA.
Bwana Malisa ameandika waraka wa uongo mwanzo mwisho juu yangu CIVILIAN COIN ambaye yeye kanitambulisha Kama...
Rais wangu, kwa heshima na taadhima kubwa, Unaonekana ni mzaha na dharau!
Dhamira ya kweli na common sense tulitegemea watu wote wenye kesi za kubumba wawe huru ukianza na Lisu, angalau kwa mbali kuwa umeanza kubadirika!
Utekaji, uuaji, upotezwaji, ulawiti, ufiraji, ubakaji bado uko pale...
Nimekuwa nikimfatilia bwana Malisa GJ ambaye ndio msaada wa watu wengi kwa vijana na wananchi.
Kuna kijana alivunjwa miguu kipindi cha October 29 na alikuwa ana msomesha mdogo wake ila jamaa alivyoweka ujumbe alichangiwa na kufikisha milion 15.
Baada ya siku watu wakaomba na huyu achangiwe...
Ndugu zangu Watanzania,
Niliwaambieni humu kuwa habari na taarifa za Malisa zilikuwa ni za Uzushi ,uongo, uchonganishi na zenye lengo la kutaka kuleta taharuki na kuichafua serikali yetu chini ya uongozi mahiri,shupavu ,madhubuti na Imara wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha...
For those of you who don’t know Pastor Godfrey Malisa, here’s a quick rundown:
Who is Godfrey Malisa?
Pastor Godfrey Malisa is a former member of Tanzania's ruling party, Chama Cha Mapinduzi (CCM).
He joined CCM in 2021 after being involved in other parties and ran for positions like...
Wote tunafahamu mzee huyo alipinga mchakato mzima ulivyofanyika wa kupata mgombea kitu cha Rais ndani ya CCM hadi kupelekea kufungua kesi ya kupinga mchakato huo mahakama kuu kanda ya Dodoma
Pamoja na juhudi zake lakini hakupata alichotarajia, shauri lake lilitupiliwa mbali kama mnavyofahamu...
Nakupongeza kwa kutenda haki, kama amechaguliwa kinyume na Katiba ya ACT, mtengue kama ulivyofanya.
Lakini mbona scenario ya Mpina ni sawa na ya Samia? why double standards
Ninaomba jibu ya dokezo langu hapo juu.
SIKU chache baada ya Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma kuifuta kesi ya Kikatiba ya Kupinga uteuzi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kugombea urais Oktoba 29 2025, mmoja wa makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ameibuka na kutaka kesi hiyo iwe fundisho kwa wana CCM wengine.
Kada huyo wa CCM, Khamis Mgeja...
Watanzania walitegemea kuona Hawa Wahuni wakijitutumua kujibu Hoja za Dkt Malissa .
Hoja ni Nzito na zamoto , Katika Utawala wa Sheria ulio huru , TUKIO LA SAMIA kujipitisha lingefutiliwa mbali na kuamuriwa Mchakato kuanza Upya.
SAmia na CCM yake WAMEONA waje na Mbinu ya Pingamizi dhidi ya...
DODOMA. Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma itatoa uamuzi wa mapingamizi yaliyowekwa na CCM dhidi ya Mchungaji Godfrey Malisa anayepinga uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho.
Mchungaji Malisa aliyefukuzwa uanachama Februari 10 mwaka huu...
Baada ya Mahakama Kuu ya Masijala ya Dar es Salaam kukubali ombi la upande wa Jamhuri la kuficha majina na taarifa nyingine za mashahidi raia wa upande wa Mashitaka katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, chama hicho kimesema kinaipinga Sheria hiyo ya iliyopitishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.