Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.
Nimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni...
Kesi kadhaa za kisheria zinaendelea kuongezeka dhidi ya kampuni kubwa za dawa, Eli Lilly na Novo Nordisk, huku baadhi ya wagonjwa wakizishutumu kampuni hizo kwa kushindwa kutoa tahadhari kuhusu uwezekano wa uhusiano kati ya dawa maarufu za GLP-1 na kupoteza uwezo wa kuona ghafla, kwa mujibu wa...
Tangu ajali ya gari iliyotokea Singida na kuua mahabusu na askari wanaozungumziwa ni askari tu huku mahabusu hatujui kama wao bado wanaendelea na tuhuma dhidi yao,! Kumbe gari lilibeba watu na mahabusu.
Wakili Aloyce Komba, Wakili Kiongozi wa Haki Kwanza Advocates, ni mtaalamu wa mwenendo wa kesi za jinai, haki jinai na haki za binadamu. Katika mahojiano haya, anaeleza maana ya Mahakama Kuu kutowalazimisha mashahidi watatu waliokuwa wameombwa na upande wa utetezi katika kesi inayomkabili...
Kinachosubiriwa Sasa kwenye kesi ya lisu ni 1.submission na lisu alishasema atafanya oral submission tarehe 23/9/ 2027 2. Hukumu, hili la hukumu litafuata soon TU baada ya final submission ,
tutegemee hukumu ya aina gani ni ether lisu anahatia hivyo atahukumiwa kunyongwa ama lisu Hana hatia...
Jaji Augustin Ramadhani akiongea na Mwandishi wa habari juu ya kesi Fulani,aliwahi kusema hivyo.
Alisema kua kesi zote duniani hua zinasikilizwa mara mbili,ndani ya MAHAKAMA na nje ya MAHAKAMA.
Alisema Nje ya MAHAKAMA alisema wakati kesi yoyote inaendelea mahakamani,huku Nje watu pia...
Ni kosa la jinai kujadili kesi ambayo ipo mahakamani na kuitolea maoni na mapendekezo yako kwenye hukumu
Leo Mwaipopo anatumia media kutangazia umma kuwa Lissu afungwe au anyongwe
Majaji nao wanapita mitandaoni wanaweza kumezwa na hii pressure na kutoa hukumu ya kumnyonga Lissu ili akina...
Ninashangaa juu ya hizi habari kuwa Nchimbi wa CCM yupo kifungo cha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Abdul Jumbe.
Hii adhabu hutolewa na nani? Na kwa nini wananchi hawana taatifa kam
Hii meza ambayo Boss kubwa wa Serikali Sekta ya Michezo aliyoitikisa Ina vinywaji vya gharama sana.
Unaweza ikamgharimu, yasije yakamkuta kama yaliyomkuta Nape na Kamati yake ya Uchunguzi kuhusu Mawingu FM
Kilichomkuta Nape aliishia kutumbuliwa na report ya kamati haikusomwa.
Wanasema Dunia...
Kwa nchi kama USA kesi huwa zinaendeshwa na Majaji lakini wanaotoa hukumu ni Wananchi wenyewe ambao wanajukana kama Jury.
Sasa kwa kesi ya Lissu wananchi tumeifuatilia vizuri sana na ushahidi wa pande zote tumeuona. Kama ikitokea Majaji wakatoa hukumu yao tofauti na Jury nafikiri dunia nzima...
Kwasababu sote ni mashuhuda jinsi ambavyo DCI na mashahidi wengine ambao tundu lisu aliwadanganya wafuasi wake kwamba hao ni mashahidi wake na wangetetea uhalifu wake mahakamani, lakini cha kushangaza mashahidi hao wamemkataa na kujitenga kabisa na uhalifu wa mtuhumiwa huyo wa uhaini.
Na hapa...
Japo teyari tuna mtazamo yetu kuhusu kilichotokea leo mahakamani hasa baada ya DCI KIngai kukataa kuwa shahidi wa kumteta Lissu na kitendo cha Kingai kuwasemea mashahidi wenzake (CDF na IGP), nadhani itakuwa jambo jema tukapata ufafanuzi wa kisheria ili tuweze kuonanisha na mtazamo yetu...
Wandugu
Ilikuwa inanipa shida kufahamu taswila ya kesi ya Lissu lakini sasa taswila imeonekana .
Na hii ni baada ya makamanda kuikimbia kesi.
Maswali yalikuwa mengi je kesi ina taswira gani ???
1.serikali vs Lissu
2.serikali vs chadema
3.ccm vs Lissu
4. ccm vs chadema
5.wanzibara vs...
Mwandishi wa habari za burudani nchini Tanzania, Carrymastory, ameweka wazi kuwa amefunguliwa kesi ya madai ya shilingi milioni 600 na mwanamitindo na mfanyabiashara mashuhuri, Hamisa Mobetto.
Kesi hiyo imefunguliwa na mwanasheria pamoja na meneja wa Hamisa Mobetto mwezi Septemba 2026.
Madai...
Hakika majaji wanaweza kuwa na rasimu ya hukumu vichwani mwao. Hata sisi wafuatiliaji wa mwenendo wa ushahidi mahakamani wa kesi hiyo tuna hukumu zetu (zisizo rasmi) vichwani mwetu. Tunasubiri hukumu ya mahakama kulinganisha na za kwetu, kama tulivyoshangazwa na ruling of prima facie case...
Cha kwanza alichofanya ni kuhakikisha anajipachipa au anapachikwa udaktari ili aonekane Msimi. Sisi tunamchora tu🤣
Salaam Wakuu,
Hivi mumegundua jinsi Uongozi ikishalaniwa unavyofanya kazi?
Haijawahi kutokea, hii ni rekodi Mbaya Nchini Tanzania ya Uongozi wa Samia Suluhu na Rekodi mpya kwa...
Saa 3 kamili tayari watu wameshadika Mahakamani
Kaa tayari kwa updates
========
Leo September 16, 2026
Last time tuliishia sehemu ya 428
Sehemu ya 429
Mahakama imeanza.
Imepigwa high coooooourt
Majaji wameingia.
Mhe. Lissu nae ameingia kama kawaida makofi mengi yanapigwa mengi kwa...
Wasira kama tundu lisu.. anaweza kufunguliwa kesi kwa kutamka au kusema
1. Jamii haiji kuwa na usawa wakati napambana ikifika wakati wangu kuongoza nitaleta usawa
2. Kuvunja Muungano
https://youtu.be/0BKTICQ09lA?si=_xfRQtJTXPiyGXhz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.