Joseph Pande alishirikiana na Hakimu Michael Mteite kuwafunga Jela Sugu na Masonga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,247
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, Naibu DPP aliyefariki majuzi, Joseph Pande ni miongoni mwa watu wachache waliotumikishwa na kupanga Njama ya kuwafunga Jela Raia wema, Joseph Mbilinyi aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini pamoja na Emmanuel Masonga aliyekuwa Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa.

Washiriki wengine waliotumika kwenye dhuluma hiyo ni Amos Makalla aliyekuwa RC wa Mbeya , aliyedaiwa kuwa Mwandishi wa hukumu ile, akiandikia Hotelini, pamoja na RPC wa wakati ule wa Mkoa wa Mbeya kamanda Mpinga .

Bado tunaendelea kutoa wito kwa wenye dhamana za uongozi kuacha kukubali kutumikishwa kukandamiza raia wasio na hatia kwa lengo la kuwafurahisha wanaowatuma, Yupo Mungu ambaye hakubali uonevu .

Namalizia kwa kusema hivi, Madaraka ni dhamana ya muda mfupi sana , tutende haki , hii ni kwa sababu "KILA UBAYA UNAOTENDA UTALIPWA TU"
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba , Naibu DPP aliyefariku majuzi , Joseph Pande ni miongoni mwa watu wachache waliotumikishwa na kupanga Njama ya kuwafunga Jela Raia wema , Joseph Mbilinyi aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini pamoja na Emmanuel Masonga aliyekuwa Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa .

Washiriki wengine waliotumika kwenye dhuluma hiyo ni Amos Makalla aliyekuwa RC wa Mbeya , aliyedaiwa kuwa Mwandishi wa hukumu ile , akiandikia Hotelini , pamoja na RPC wa wakati ule wa Mkoa wa Mbeya kamanda Mpinga .

Bado tunaendelea kutoa wito kwa wenye dhamana za uongozi kuacha kukubali kutumikishwa kukandamiza raia wasio na hatia kwa lengo la kuwafurahisha wanaowatuma , Yupo Mungu ambaye hakubali uonevu .

Namalizia kwa kusema hivi , Madaraka ni dhamana ya muda mfupi sana , tutende haki , hii ni kwa sababu "KILA UBAYA UNAOTENDA UTALIPWA TU"
Uislam unakataza dhulma
 
Haki huinua taifa
 
Tuwaache marehemu wapumzike kwa amani, mwendo wameumaliza. Tuyaenzi mazuri yao kama vile kukataa kumfungulia kesi za uongo Mpaula.
Hakuna kupumzika kwa mtenda dhambi.
Ukifa matendo yako yanaambatana na wewe.
Maandiko yapo wazi moto wa jehanamu umeandaliwa kwa ibilisi na wafuasi wake.
Wewe umeua watu umeteka watu umepoteza watu, umefunga watu wasio na hatia iweje tusiseme wewe ni wa motoni tuu.
Mungu hadhihakiwi apandacho mtu ndicho atakacho vuna.
Marehemu walikuwa na nafasi hapa Duniani ya kutenda mema hata wakifa watu wanaendelea kushuhudia matendo yao.
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba , Naibu DPP aliyefariku majuzi , Joseph Pande ni miongoni mwa watu wachache waliotumikishwa na kupanga Njama ya kuwafunga Jela Raia wema , Joseph Mbilinyi aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini pamoja na Emmanuel Masonga aliyekuwa Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa .

Washiriki wengine waliotumika kwenye dhuluma hiyo ni Amos Makalla aliyekuwa RC wa Mbeya , aliyedaiwa kuwa Mwandishi wa hukumu ile , akiandikia Hotelini , pamoja na RPC wa wakati ule wa Mkoa wa Mbeya kamanda Mpinga .

Bado tunaendelea kutoa wito kwa wenye dhamana za uongozi kuacha kukubali kutumikishwa kukandamiza raia wasio na hatia kwa lengo la kuwafurahisha wanaowatuma , Yupo Mungu ambaye hakubali uonevu .

Namalizia kwa kusema hivi , Madaraka ni dhamana ya muda mfupi sana , tutende haki , hii ni kwa sababu "KILA UBAYA UNAOTENDA UTALIPWA TU"
Huyu Pande ndiye awali alikuwa Public Prosecutor In charge wa Kanda ya Dar Ofisi yao ikiwa pale Benjamin Mkapa Building pale posta? RIP Mr Pande.
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba , Naibu DPP aliyefariku majuzi , Joseph Pande ni miongoni mwa watu wachache waliotumikishwa na kupanga Njama ya kuwafunga Jela Raia wema , Joseph Mbilinyi aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini pamoja na Emmanuel Masonga aliyekuwa Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa .

Washiriki wengine waliotumika kwenye dhuluma hiyo ni Amos Makalla aliyekuwa RC wa Mbeya , aliyedaiwa kuwa Mwandishi wa hukumu ile , akiandikia Hotelini , pamoja na RPC wa wakati ule wa Mkoa wa Mbeya kamanda Mpinga .

Bado tunaendelea kutoa wito kwa wenye dhamana za uongozi kuacha kukubali kutumikishwa kukandamiza raia wasio na hatia kwa lengo la kuwafurahisha wanaowatuma , Yupo Mungu ambaye hakubali uonevu .

Namalizia kwa kusema hivi , Madaraka ni dhamana ya muda mfupi sana , tutende haki , hii ni kwa sababu "KILA UBAYA UNAOTENDA UTALIPWA TU"
Kwa hiyo nyinyi ndio mumemuuwa ili kulipiza kisasi?
Au unaendelea na siasa zenu za majitaka?
Kifo hupangwa na Mungu na sio hii Chadema yenu iliyojaa visasi mpaka matak**i.

Kwa ujinga huu,hakuna raia atawahi kuja kuwapigia kura mshike Dola.
Damu ya Chacha Wangwe itawaandama sana!
 
Kila ubaya utalipwa
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, Naibu DPP aliyefariki majuzi, Joseph Pande ni miongoni mwa watu wachache waliotumikishwa na kupanga Njama ya kuwafunga Jela Raia wema, Joseph Mbilinyi aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini pamoja na Emmanuel Masonga aliyekuwa Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa.

Washiriki wengine waliotumika kwenye dhuluma hiyo ni Amos Makalla aliyekuwa RC wa Mbeya , aliyedaiwa kuwa Mwandishi wa hukumu ile, akiandikia Hotelini, pamoja na RPC wa wakati ule wa Mkoa wa Mbeya kamanda Mpinga .

Bado tunaendelea kutoa wito kwa wenye dhamana za uongozi kuacha kukubali kutumikishwa kukandamiza raia wasio na hatia kwa lengo la kuwafurahisha wanaowatuma, Yupo Mungu ambaye hakubali uonevu .

Namalizia kwa kusema hivi, Madaraka ni dhamana ya muda mfupi sana , tutende haki , hii ni kwa sababu "KILA UBAYA UNAOTENDA UTALIPWA TU"
Tunakoelekea sasa halitabaki jiwe juu ya Jiwe.
 
ndio mganga wenu kawaambia hivyo
 
Back
Top Bottom