Hakimu adaiwa kujiua akiwa 'Guest House' Sumbawanga

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,357
8,067
Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kasanga iliyopo Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Michael Royan (31) anadaiwa kujiua kwa kunywa sumu katika nyumba ya kulala wageni ya ‘gesti’ iliyopo Manispaa ya Sumbawanga mkoani humo.

Akizungumzia tukio hilo leo Jumanne Novemba 29, 2022 Kamanda wa Polisi mkoani Rukwa, Theopista Mallya amesema tukio hilo limetokea Novemba 27 mwaka huu akiwa amelala katika nyumba ya wageni.

Amesema kuwa asubuhi ya siku hiyo ofisa upelelezi wa mkoa wa Rukwa alipigiwa simu na mmiliki wa nyumba hiyo na kueleza kuwa kuna mteja ambaye amelala na hajaamka na inaonekana kuwa amepoteza fahamu.

Kamanda Mallya amesema baada ya polisi kufika eneo hilo waliingia ndani ya chumba hicho na kumchukua mtu huyo kisha kumpeleka hospitali ya Rufani ya Mkoa ya Sumbawanga ambapo alipokelewa na baada ya uchunguzi wa awali wa kitabibu ilibainika kuwa mtu huyo amefariki dunia.

Amesema kuwa Polisi walipoanza uchunguzi wa tukio hilo walibaini kuwa marehemu alikua ni mtumishi wa Serikali katika idara ya mahakama mkoani hapa katika mahakama ya mwanzo na kituo chake kilikuwa ni Mahakama ya mwanzo Kasanga.

Kamanda huyo amesema kuwa uchunguzi wa awali unaonesha kuwa huenda marehemu alikunywa sumu, lakini baadhi ya viungo vyake vya mwili vimechukuliwa na kupeleka sampuli kwa mkemia mkuu ili kupata majibu sahihi ya nini kilicho sababisha kifo cha Hakimu huyo.

Amesema marehemu hakuacha ujumbe wowote hivyo imekua ni vigumi kufahamu sababu za tukio hilo lakini amedai kuwa jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo na litatoa taarifa baada ya uchunguzi huo kukamilika.

MWANANCHI
 
Kuwa mtumishi wa mahakama si lazima kuwa hakimu, hiyo ya hakimu umeitoa wapi?
 
kuifia gesti kunazua maswli mengi zaidi.

1. kwanini alienda kulala gesti?
2. alikuwa peke yake?
3.alikunywa sumu au alinyweshwa?
4.
Ulevi wa kupindukia na uzinzi/uasharati au wivu wa kimapenzi vimekuwa ni vyanzo vikuu vya mauaji au kujiua.

afya ya akili inaweza kusababishwa na mambo mengi sana lakini pia waajiri/mabosi wanaweza kuwa "frustrate" watumishi wao kwa kuwafanyia mambo yasiyo faa na hivyo kupelekea mzongo wa mawazo na hatimaye kujiua au hata kufa kwa msongo wa mawazo.

nakubaliana na wewe kuwa vifo kama hivi vinapswa vichinguzwe kwa makini ili kubaini chanzo na kuweza kudhibiti.
 
Mungu amlaze pema
 
Wachangiaji wengi ktk uzi wa kijana (rip) wa SUMA JKT, Wamesema kwamba huenda ni stress kutokana na mshahara mdogo.
je hakimu nae vipi?
mshahara umekuwa mkubwa kupitiliza?

ndg zangu, yapo mambo mengi sana yanayofanya watu kuchukua maamuzi magumu, bila kupata ushauri mzuri ni hatari.

kuna mtu alikuja hapa na kusema kwamba tuwasaidie watu wenye matatizo ya akili (sijanukuu vizuri):
na kweli tuwasaidie.

mtu anapokufuata kukuomba ushauri, mpe ushauri wa hekima, usiweke kejeli wala utani, huwezi jua yaliyo kichwani mwake..

"tuwasaidie"
 
Swali la kwanza halina mantiki. Ni sawa na kuuliza kwanini gari liliendeshwa barabarani
 
afya ya akili inaweza kusababishwa na mambo mengi sana lakini pia waajiri/mabosi wanaweza kuwa "frustrate" watumishi wao kwa kuwafanyia mambo yasiyo faa na hivyo kupelekea mzongo wa mawazo na hatimaye kujiua au hata kufa kwa msongo wa mawazo.

nakubaliana na wewe kuwa vifo kama hivi vinapswa vichinguzwe kwa makini ili kubaini chanzo na kuweza kudhibiti.
watu kama hawa, kabla hawajafanya maamuzi hayo magumu, hutafuta ushauri kutoka kwa watu wao wa karibu. Hata hapa jf kuna watu humwaga matatzo yao yoote jukwaani ili apate msaada! Lakini mara wengi wetu tunatoa majibu ya kejeli, dharau, matusi na kuvunja moyo kwa kila aina.. na hii hupelekea mtu kukata tamaa kbisa! tunapaswa kuwatia moyo watu wanaotufuata kuomba ushauri (hyo ndyo point yangu)
 
Back
Top Bottom