Hakimu wa kiume ajigeuza binti ili amfanyie mtihani mpenzi wake

Mtanzania2020

JF-Expert Member
May 23, 2020
368
763
HAKIMU WA KIUME ADAIWA KUJIGEUZA BINTI, AKAMATWA AKIMFANYIA MTIHANI MPENZI WAKE

Hakimu mmoja nchini Uganda amefutwa kazi kutoka utumishi wa mahakama baada ya kukamatwa kwa kujifanya mwanamke ili kufanya mitihani ya sheria kwa niaba ya mpenzi wake.

Ammaari Musa Semwogerere aliteuliwa kuwa Afisa wa Mahakama mwezi uliopita na Tume ya Huduma za Mahakama kwenye nafasi ya Hakimu Daraja la Kwanza kwa muda wa majaribio.

Kisha siku ya Jumatano wiki iliyopita, Semwogerere alikamatwa akiwa anaendelea kufanya mtihani kwa niaba ya mmoja wa wanafunzi wa kozi ya sheria anayejulikana kwa jina la Irene Mutonyi, ambaye inasemekana ni mpenzi wake, katika Kituo cha Maendeleo ya Sheria huko mji wa Lira, kaskazini mwa Uganda.

Hakimu huyo alikamatwa na siku ya Ijumaa alishtakiwa kwa makosa mawili ya kutoa hati ya uongo na kosa moja la kujifanya mtu mwingine.

Mahakama iliyotoa taarifa baada ya tukio hilo ilisema uteuzi wake mpya umefutwa.

Msajili Mkuu wa Mahakama, Sarah Langa Siu, alisema miongoni mwa kanuni kuu katika Kanuni ya Maadili kwa maafisa wa mahakama ni uwazi, akikitaja kama msingi muhimu kwa utendaji mzuri wa ofisi za mahakama. Kwa sasa, Semwogerere amewekwa rumande hadi Agosti 3.

#edmotvupdates #edwinmoshiupdates

FB_IMG_1690894083022.jpg
 
View attachment 2705106
Na hapo mpenzi atamwacha kwa sababu hana kazi
 
Kuna wanaume wana tru love had unabubujikwa machozi ya raha
 
Semwogerere. Amwaggala nnyo Ireini.🤣
 
Back
Top Bottom