kujiua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa matatizo yote ni kifo kwanin ujachukua uamuzi wa kujiua?

    Jambo lenye uhakika siku moja utakufa matatizo, changamoto zote zitapotea ukifa maan hakuna mtu atayerithi matatizo yako unapokufa na zenyewe zinakufa. Chakushagaza watu kila siku wanalalamika mambo ni magumu wengine wanakata tamaa wanaachana na maisha lakni watu wanajua mwisho wa siku utakufa...
  2. bless on

    JamiiForums Tanzania Kwanini friji yako inakula umeme kuliko pasi? Siri ya inverter unayopaswa kujiua.

    Watanzania wengi tunadhani Pasi au Jiko la umeme ndivyo vinamaliza LUKU. Lakini ukweli ni huu: 👇 Pasi unatumia dakika 15, jiko unatumia saa 1, lakini Friji linatumia saa 24 kila siku. Kama friji lako siyo la teknolojia ya Inverter, basi unamiliki "mnyonyaji" wa siri ndani ya nyumba yako. Hapa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uchumi wa "Mr" umeyumba, nalea familia mwenyewe, maisha ni magumu sana, natamani kujiua

    Nina matatizo makubwa sana, umri wangu ni miaka 30, nimeolewa lakini sijabahatika kupata mtoto, kwani nikiwa Kidato cha 4 nilifanyiwa oparesheni ya uvimbe, niliporeje home mama akaniambia huku akilia kuwa daktari kasema siwezi kupata ujauzito kwa njia ya kawaida kwani ule mrija wa kupitisha...
  4. Red black

    JamiiForums Tanzania Arusha; ataka kujiua kisa mke wake ametoroka.

    wanawake mnataka nini kwenye ndoa ili mtulie?? sahii ungekuta ndugu wa jamaa wanandaa utaratibu wa mazishi.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanaongoza kwa kujiua kila mwaka Tanzania

    Kila mwaka Septemba 10, Tanzania inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Kuzuia Kujitoa Uhai Duniani, huku wataalamu wa afya ya akili wameeleza kuwa tatizo hilo limekuwa tishio kubwa nchini hususan kwa vijana. Akizungumza katika Maadhimisho hayo Septemba 10, 2025 katika...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania MWENDELEZO WA KUJIUA UNAENDELEA.AFISA MTENDAJI AJIUA KWA SUMU YA PANYA..AISEE

    JANA NILIANDIKA TUENDELEE KOMBA ONGEZEKO LA WATU WA KUJIUA LIMEONGEZEKA SA NA SANA AFISA MTENDAJI NAE KANYOOOKA KAAMUA KUJIUA RIP  AM
  7. Setfree

    JamiiForums Tanzania WHO wathibitisha pombe ni sumu. Sasa nina ujasiri wa kusema: "kunywa pombe bila kulewa ni dhambi."

    Kama ulikuwa huna habari, kisayansi, pombe ni sumu. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa Ethanol, kiambato kikuu katika pombe, ni dutu ya sumu kwa mwili wa binadamu. Shirika la Afya Duniani (WHO) through International Agency for Research on Cancer (IARC) linaiainisha pombe (ethanol in alcoholic...
  8. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi kiasi gani Rais kujinyonga au kujiua?

    Nimekumbuka mwaka 2009 huko Korea ya Kusini Rais wao Roh Moo-hyun alijiua. Wale walinzi huwa ni kwa ajili ya maadui wa nje au hata dhidi yake mwenyewe?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wadau nataka kujiua

    Wadau naona huyo Mungu wenu ameshindwa kunikill. Sasa Mimi nataka nijiue mnaonaje?
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi chuo cha KICHAS adaiwa kujiua kisa madeni

    Mwanafunzi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Kilimanjaro (KICHAS), Erick Sawe(21) anadaiwa kujiua kwa kujinyonga chooni katika nyumba aliyokuwa amepanga eneo la Kiriwa chini, Kata ya Rau Manispaa ya Moshi, huku chanzo cha kifo hicho kikidaiwa ni wingi wa madeni. Mwanafunzi huyo wa mwaka...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Njaa haimpendezi mtu kama nguo, Tundu Lissu akigoma kula msihangaike naye, atakula mwenyewe

    Njaa mbaya jamani, njaa ndio inayowafanya akina Heche wapande jukwaani kulalamika maisha magumu, ile ni njaa. Wakati Lissu anakamatwa tuliambiwa kuwa wasaidizi wake walikimbia haraka nyumbani kwake kwenda kuvunja mlango wamchukulie dawa zake anazotumia, kwahiyo Lissu anatumia dawa kutokana na...
  12. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Kibatala: Tundu Lissu kugomea kula chakula Gerezani mpaka haki ipatikane

    Leo Mei 3, Mawakili wanaomtetea mshtakiwa Tundu Lissu wanazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari. https://www.youtube.com/live/qwDj_39LjYk?si=p81m5_E7ICnpOth1 Kibatala: Intelijensia inayotumika kuthibiti maandamano ingetumika kuepusha kushambuliwa kwa Padre.Kitima na Mdude...
  13. Xiao qui shui

    JamiiForums Tanzania Mbona matukio ya kujiua yamekuwa mengi hivi?

    Habari wakuu Nasikitika sana kuona matukio ya watu wanajikuta hivi Kwamfano Kuna huyu jamaa aliyekuja kwasababu ya madeni ya mkewe eti mkewe ana Madeni ya vicobaaa duuuh aiseee Hii ni changamotoo wakuuu Karibuni kwa maoni
  14. Setfree

    JamiiForums Tanzania Waambieni mapema wanaowaza kujiua: “wataruka majivu na kukanyaga moto.”

    Inasikitisha sana kusikia kesi za watu wanaojiua, ama kwa kunywa sumu, kwa kujinyonga, kwa kujipiga risasi au kwa kujitupa chini kutoka ghorofani. Wanaofanya hivyo huwa wanafikiri kwamba wakijiua ndio watapumzika tabu zao. Wanafikiri kujiua ndio mwisho wa kero walizo nazo. Wanadhani wakijiua...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Bunge la Uingereza jana limepitisha muswada wa kukusaidi kujiua.

    Bunge la Uingereza (House Of Common) leo limepigia muswada kura muswada wa “assisted - dying” wa wagonjwa ambao wana terminal illness kuweza kusaidiwa kujiuwa. Wabunge 330 wamepiga kura ya ndio na wabunge 275 kura ya hapana. Huo muswada unapelekwa kwenye House Of Lord ili kupishwa kuwa sheria...
  16. Ritz

    JamiiForums Tanzania CNN imeripoti kwamba wanajeshi wa Israeli wanaorejea kutoka Gaza "wanakumbwa na kujiua"

    Wanaukumbi. CNN imeripoti kwamba wanajeshi wa Israeli wanaorejea kutoka Gaza "wanakumbwa na kujiua." Kuongezeka kwa viwango vya kujitoa mhanga miongoni mwa wanajeshi hao kunaonyesha hali mbaya ya kisaikolojia inayowapata wale waliohusika katika mauaji ya kimbari yanayoendelea Gaza. Wachinjaji...
  17. wakuchuja

    JamiiForums Tanzania Nimechoka na haya maisha nataka kujiua nipumzike

    Kama nilivyoandika kwenye mada hapo juu, nimekuwa nikipitia magumu kila kukicha baada ya kupoteza mali mke kaniacha sina chochote Nimetengwa na ndg karibia wote hata nliokuwa nawasaidia nimekuwa ni mtu wa masononeko kila kukicha mbaya zaidi connection zangu karibia zote zimepotea Nimepoteza...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Sean "Diddy" Combs aondolewa kwenye uangalizi wa kujiua

    Sean "Diddy" Combs ameripotiwa kuondolewa kwenye uangalizi wa kujitoa uhai huku akiendelea na maandalizi ya kesi yake ya usafirishaji wa binadamu kwa ajili ya biashara ya ngono. Kwa mujibu wa wakili wake, Diddy yuko "imara na amewekeza muda mwingi kwenye utetezi wake." Diddy, ambaye yupo kwenye...
  19. S

    JamiiForums Tanzania TRUE STORY: Historia ya maisha yangu na jinsi ambavyo nilitaka kujiua

    Habari za muda huu wana JF, natumai ninyi ni wazima wa afya na kama kuna mgonjwa kati yenu basi mwenyezi mungu amponye. Bila kupoteza muda tuje kwenye mada husika iliotuleta hapa kwenye huu uzi. Tuvumiliane jamani kwa changamoto zozote za kiuandishi kama zitajitokeza kwani sio fani yangu bali...
Back
Top Bottom