icj

The International Court of Justice (ICJ; French: Cour internationale de justice; CIJ), sometimes known as the World Court, is one of the six principal organs of the United Nations (UN). It settles disputes between states in accordance with international law and gives advisory opinions on international legal issues. The ICJ is the only international court that adjudicates general disputes between countries, with its rulings and opinions serving as primary sources of international law.
The ICJ is the successor of the Permanent Court of International Justice (PCIJ), which was established in 1920 by the League of Nations. After the Second World War, both the League and the PCIJ were replaced by the United Nations and ICJ, respectively. The Statute of the ICJ, which sets forth its purpose and structure, draws heavily from that of its predecessor, whose decisions remain valid. All member states of the UN are party to the ICJ Statute and may initiate contentious cases; however, advisory proceedings may only be submitted by certain UN organs and agencies.
The ICJ consists of a panel of 15 judges elected by the UN General Assembly and Security Council for nine-year terms. No more than one judge of each nationality may be represented on court at the same time, and judges collectively must reflect the principal civilizations and legal systems of the world. Seated in the Peace Palace in The Hague, Netherlands, the ICJ is the only principal UN organ not located in New York City. Its official working languages are English and French.
Since the entry of its first case on 22 May 1947, the ICJ has entertained 179 cases through March 2021.

View More On Wikipedia.org
  1. Ritz

    Israel kwenye kesi ya ICJ - nchi 52 kutoa ushahidi kuanzia Feb 19-26

    Wanakumbi. 🚨🇮🇱ISRAEL KWENYE KESI YA ICJ - NCHI 52 KUTOA USHUHUDA KUANZIA FEB 19-26 Kesi za ICJ zitaendelea hadi Februari 26. Baadaye, majaji wanatarajiwa kuchukua miezi kadhaa kujadili kabla ya kutoa maoni ya ushauri. Kikumbusho: Hata iwe uamuzi gani, ni juu ya nchi kote ulimwenguni kutunga...
  2. MK254

    Jaji Julia Sebutinde aliyesimamia kesi ya Afrika Kusini Vs Israel, ateuliwa kuwa Naibu Rais wa ICJ

    Wema hulipa. Kasimamia ukweli na kugoma kutetereshwa na hisia za kinafiki, na sasa huyo kateuliwa naibu rais. --- What you need to know: Before joining the ICJ, Sebutinde was a judge at the Special Court for Sierra Leone from 2005 to 2011. Sebutinde's election comes days after her ruling on...
  3. Webabu

    Afrika Kusini yalalamika kwamba Israel haijatekeleza hukumu ya ICJ

    Waziri mkuu wa Afrika Kusini ametoa angalizo kuwa Israel inaendelea kupingana na hukumu iliyotolewa na mahakama ya kimataifa juu ya jinai za kivita iliyotolewa hivi karibuni. Katika maelezo yake waziri huyo, Naledi Pandor amesema katika siku chache tu tangu hukumu hiyo itolewe Israel imeendelea...
  4. MK254

    Hizi hapa hoja za Jaji wa Uganda aliyesimamia ukweli kule ICJ

    Yeye hakuunga mkono upande wowote, alisimamia ukweli na kusema tatizo la pale Palestina ni la kihistoria na linapaswa kutatuliwa kidiplomasia, kasema kesi za kisiasa haziwezi kutatua lile tatizo. Na ndio ukweli wenyewe maana hata hiyo ICJ ilishindwa kusema chochote zaidi ya kuomba Israel iwe...
  5. MK254

    Israel yasema kichapo bado kipo pale pale na hadi wasafishe Gaza, ICJ haijazuia chochote

    Israel itaendelea kusafisha Gaza na kuondoa magaidi wa dini... Israel rejects the “vile” attempt to deny its right to defend itself and will continue to battle Hamas, Prime Minister Benjamin Netanyahu declares following a provisional ruling of the International Court of Justice calling on...
  6. demigod

    Mbwembwe za ICJ Zimeshindwa Kulazimisha Ceasefire Kule Gaza!

    Sioni kama kuna matumaini katika kuleta ceasefire kwa kupitia ICJ. Kama muda wote huo ndio wamekuja na kauli za kuwabembeleza Israel kupunguza makali ya Ukatili. Ni wazi kuwa bado Israel(Watoto Wa Mungu) wanaendelea kuwa washindi ktk hili. Case ya wasauzi bila kupata kampani ya mataifa ya...
  7. BARD AI

    Mahakama ya ICJ yaitaka Israel kusitisha Mauaji ya Halaiki katika eneo la Gaza

    Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) imetoa uamuzi unaoitaka Serikali ya Israel kuacha mashambulizi dhidi ya maeneo yanayokaliwa na Wapalestina pamoja na kuruhusu Misaada ya Kibinadamu kwa Waathiriwa wa Vita. Hatua hiyo inafuatia Kesi iliyofunguliwa na Serikali ya Afrika Kusini katika Mahakama...
  8. comte

    ICJ yatoa hukumu juu ya hatua za dharula kufatia maombi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel

    Uamuzi unaitaka Israel kuwa waangalifu na kuhakikisha hakuna kuua, kuumiza raia; kuhakikisha hakuna kuharibu mali na misaada ya kibinadamu inapatikana bila vikwazo https://www.yahoo.com/news/top-un-court-set-issue-055946714.html
  9. MK254

    ICJ yashindwa kuamrisha isitishe vita, waambulia kusema Israel iwe makini kwenye mapigo yake

    Ndio kama hivyo, kichapo kiko pale pale.... Wasema Israel iepuke genocide na kuongeza umakini.... The International Court of Justice issues a series of provisional measures against Israel on the basis that the rights of the Palestinians not to be subject to genocide must be protected before the...
  10. M

    UPDATES: Mahakama ya ICJ yaitaka Israel kuepusha Mauaji ya Raia katika eneo la Gaza

    Kwa wale ambao wana nafasi leo ndiyo siku ya hukumu ya kesi ambayo Afrika ya kusini ilifungua kuishitaki Israel katika mahakama ya kimataifa kuwa inafanya Genocide huko Gaza. kwa wale walio katika mitandao, muda wa hukumu unakaribia , siyo vibaya kuifuatilia hukumu hii LIVE ili kujua argument...
  11. MK254

    Mbona waarabu wameogopa kujiunga kwenye kesi ya SA dhidi ya Israel kule ICJ

    Hawa waarabu wamekua wakilalamika sana kwa kichapo cha Israel dhidi ya HAMAS, ila waoga likija suala la matendo, wameshindwa kujiunga kwenye kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel..... Last Friday, the International Court of Justice (ICJ) concluded the first hearing of the South African case...
  12. I

    Ujerumani yaiunga mkono Israel kwenye kesi yake katika mahakama ya ICJ

    Serikali ya Ujerumani imesema iko tayari kuiunga mkono Israel katika kesi yake kwenye mahakama ya ICJ nchini Uholanzi. Kesi hiyo iliyowasilishwa na serikali ya Afrika Kusini inaituhumu Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki dhidi ya wananchi wa Palestina madai ambayo serikali ya Ujerumani inadai...
  13. B

    Israel maji ya shingo ICJ

    1. Ama kweli za mwizi zinahesabika na jana ilikuwa ya 39. 2. Kimeumana mahakamani; kwamba aliyoyanena msauzi Jana, ati kuwa ndiyo haswa ushahidi wake? 3. Ati kuwa yeye ndiye amekuwa akitaka mno mazungumzo na Sauzi na eti kuwa ni u kichwa ngumu tu, wa Sauzi kukimbilia mahakamani? 4...
  14. S

    Nchi za Afrika zinajidhalilisha sana, kulikuwa na haja gani Afrika Kusini kuishtaki Israel mahakama ya ICJ?

    Nchi za afrika zinazidi kujianika kwa kujionesha unafiki,ona sasa eti afrika kusini imepeleka mashtaka mahakama ya kimataifa ya haki(ICJ),kulikuwa na haja gani kuishtaki Israel?,kama kweli wanapenda haki sana kwanini wasingewashtaki Russia kwa kuua watoto wa Ukraine bila kuchokozwa?,kwahiyo sasa...
  15. Suley2019

    Mahakama ya ICJ yaiamuru Uganda kuilipa DRC faini dola milioni 325

    Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) ilitangaza Jumatano wiki hii kwamba dola Milioni 325 ndio kiasi cha fidia ambacho Uganda inapaswa kuilipa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambayo ilikuwa ikidai zaidi ya dola bilioni 11 kwa uvamizi wa Uganda mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
  16. beth

    ICJ yaiunga mkono Somalia katika mzozo na Kenya

    Uamuzi huo wa Jumanne unafungamanisha kisheria, inagwa mahakala hiyo ya Umoja wa Mataifa haina mamlaka ya utekelezaji. Jopo la majaji 15 likiongozwa na jaji wa Marekani Joan Donoghue lilitoa uamuzi huo katika Peace Palace iliyoko Hague. Kenya ilikuwa inataka, mpaka huo usalie jinsi ulivyo...
Back
Top Bottom