Fatma Karume: Muungano haujawaathiri Wazanzibar

Chawa wa lumumbashi

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
793
1,749
Kazi kwenu,

Zanzibar; mjane wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Karume, Fatma Karume amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar haujawaathiri Wazanzibari.

Alisema hayo nyumbani kwake Maisara visiwani Zanzibar wakati anazungumza na waandishi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN).

Fatma akasema tangu Tanganyika na Zanzibar ziungane mwaka 1964, hajaona kama muungano umewaathiri Wazanzibari kwa namna yoyote.

Anasema Watanzania hasa Wazanzibari wanapaswa kuuenzi, kuupenda na kuunyenyekea muungano huo kwa kuwa ni kiungo kizuri kati yao na wenzao wa Bara.

“Muungano ni kiungo chetu, na kiungo chenyewe ni kizuri sana, kimetutoa mawazo mabaya, kimetutoa ujinga, kila mmoja neema yake anaipata, kila mmoja kasafiri duniani anaona watu wanaishi vipi kwa ajili ya muungano,” anasema Fatma.

Habari Leo
 
yuko sawa kabisa mubibi wa Taifa.
wengine hatujui kitu inaitwa Tanganyika
 
Kwani huyo fatma karume ndio msemaji wa wazanzibari?
 
Back
Top Bottom