ubishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nafurahishwa sana na mlipuko wa ujenzi wa maghorofa Kariakoo, wenye nyumba za chini mliobaki pisheni, acheni ubishi

    Najua kwamba kuna uwezekano mkubwa pesa zinazotumika kununua viwanja na kujenga maghorofa Kariakoo ni pesa za upigaji (pesa zenye kona kona) , lakini nimetafakari na kuona kwamba ni bora anaeiba Tz na kujenga Tz , kuliko wanasiasa na wahindi wanaopiga pesa nchi na kwenda kuzificha uingereza na...
  2. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Ubishi Wageuka Ushindi: Brown Anthony Avuka Mbeya–Dar kwa Pikipiki Ndani ya Saa 10

    Kijana dereva wa bodaboda anayefahamika kwa jina la Brown Anthony ameibua gumzo kubwa miongoni mwa wananchi baada ya kufanikiwa kusafiri kutoka jijini Mbeya hadi Dar es Salaam kwa kutumia pikipiki aina ya Boxer 150 HD yenye namba ya usajili MC 473 FKT, ndani ya saa 10, safari iliyoanzia kwenye...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Fun fact: Ubishi wa wafanyakazi wa Huawei kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe Libya

    Wakati vita ya wenyewe kwa wenyewe nchini Libya inaanza, kampuni ya mitambo ya simu ya Huawei haikutaka kuachia biashara hata kidogo. Walichofanya ni wafanyakazi wa Huawei nchini Libya kujigawa makundi mawili. Moja likihakikisha upande huu wa vita mawasiliano yanaendelea na lingine...
  4. FK21

    JamiiForums Tanzania APEWE TU HAKUNA UBISHI LY 19

    Nachompendea dogo ni uwezo wake mkubwa uwanjani na maneno ya shombo aliyonayo Jana Tena kaonyesha kwanini ana stahili
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Upande wa Jamhuri unafurahia Lissu kuwa na mawakili 100,wakiongea wote siku imeisha, na hakuna kilichoendelea, ni kuibua la ubishi kadogo tu

    Upande wa Jamhuri kazi yao ni kuibua vipengele tu, halafu utetezi watavijibu kwa masaa 5 au 6, hapo kama kesi imeanza saa 3 maana yale saa 9 tayari, mtuhumiwa arudi rumande. Nadhani lead counsel wasizidi watatu. Anyway, nawapongeza mawakili wa Lissu kwa kukwepa utando wa kisheria (legal cobweb)...
  6. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Picha: Naona Mjadala umekua mkubwa, sasa tumalize ubishi..

  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hakuna Ubishi Kuhusu Wasomi Kusoma VETA!, Kila Msomi Anayeendesha Gari, Udereva ni Ujuzi wa VETA, Hivyo Hakuna Ajabu Wasomi Kusoma VETA!.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu katika gazeti la Nipashe la leo. Paskali
  8. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania Tumalize ubishi wa miamba hii ya muziki nchini kati ya Chidumule, Bitchuka na hayati TX Moshi, nani alikuwa mtunzi na muimbaji mzuri?

    Swali langu ni hilo wakuu, japo kwa upande wangu nilimkubali na nitaendelea kumkubali sana mzee Hassan Rehani Bitchuka. Wewe je unakubaliana na huyo huyo wa kwangu? Au Cosmos Chidumule? Au hayati Tx Moshi?
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Binafsi ni maoni gani utabaki kuwa na msimamo nayo haijalishi hata kama ukiwekwa mtu kati namna hii?

    Kuna opinion unaweza kuisema, then ikawa controversial kwa watu na wakakupinga vibaya mno ila wewe ndani yako unaiamini iko sahihi na luckily baadae wanakuja kujua ulikuwa sahihi ingawa walikuweka mtu kati kukushambulia na kukupinga
  10. R

    JamiiForums Tanzania Unapokutana na vibaka kuna mambo matatu tu, kimbia sana, uwe tayari kwa pambano au utoe ushirikiano, usianze kuleta ubishi / ujuaji.

    Watu wengi sana wanaishia kuumiza na wezi kwa kuchukua risk ya kuanza kutaka kunegotiate na kubishana, wengi wao huwa hawana uzoefu, baada ya kuumia ndio hujifunza maana somo huwa linaeleweka ukipata madhara. Unapokutana na wezi ni option tatu pekee 1. Kimbia toka nduki utadhani umekanyaga...
  11. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania TUMALIZE UBISHI: Nimeiuliza CHATGPT Which is The best football club in Tanzania

    BAAAS KWISHAAA
  12. Jipatie Siagi ya karanga

    JamiiForums Tanzania Wahaya kichwani wamebarikiwa sana hii haina ubishi.

    Kuna Jamaa anajiita Coy mzungu founder wa Cheka TU huyu jamaa ni muhaya and is very bright enough.
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Lissu, Uwezo wao na Madhaifu yao

    Copy & Paste from Twitter. MBOWE VS LISSU SIFA ZAO NA MAPUNGUFU YAO SIFA ZA MBOWE 1. Ni Kiongozi mwenye uwezo wa kuunganisha palipo vunjika kwenye Jamii. 2. Ni Kiongozi ambaye ni Mtulivu 3. Ana uwezo wa kuwalea na kuwakuza vijana japo baadae wengi humgeuka na kukimbilia chama tawala. 4...
  14. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Nashangazwa na ubishi wa pesa za Abdul.

    Wiki iliyopita nilikuwa napita ghetto usiku saa mbili hivi, nikawaona watoto wachache wamekaa pale,wasichana nikatoa offer,nikawapa sh.1000(elfu moja) buku. Wakaikataa. Sasa,I was very shocked. Ile hela nikaichana kwa hasira zangu,nikawaachia pale, nikaondoka. Ingawa,kwa kweli,siyo jambo zuri...
  15. Cannabis

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Sikumuogopa Magufuli aliyekuwa na majeshi na silaha mpaka za kuua, sasa nimuogope Lissu kwa lipi?

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman A. Mbowe amesema hamuogopi Lissu ambaye anagombea nafasi ya kuwa mwenyekiti wa chama hicho. Amesema hakumuogopa Magufuli aliyekuwa na majeshi na dhamira ya kuua amesema Lissu hana cha kumtisha. Anasema Lissu ni kuongozi mwenzake na wamepitia mengi, hawawezi...
  16. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM mmekosea hapa kwenye kuandikisha watoto, mngefanya hivi mngefanikiwa, acheni ubishi na ujuaji

    Inawezekana kutokana na mama kuwa chaguo la mungu kwa mara ya kwanza mwaka huu tumebahatika kupata watoto waliotimiza umri wa miaka 18 na wanasoma shule moja darasa moja, mungu mkuu na lolote chini ya giza linaweza kutokea. Ushauri wangu mngewaelekeza walimu wasipeleke darasa zima kwenye kituo...
  17. Utajua wewe

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili niache tabia ya ubishi?

    Habari wanaJF, Nilikuwa naombeni msaada wa kimawazo nifanye nini kuacha tabia ya ubishi na kuwa na misimamo mikali usiyobadilika. Hizi tabia nimeanza mdogo sana kubishia wazazi na kusimama na misimamo yangu mpaka mauti itakaponikuta. Hii hali imepelekea kugombana na wengi pia kupendwa na...
  18. DeMostAdmired

    JamiiForums Tanzania Namna huyu mzee alivyoponzwa na ubishi wake

    Hello JF hope you are doing well! Twende kwenye mada. Huyu mzee tupo naye mtaa mmoja, ni mstaafu alikuwa nesi katuka hosii ya wilaya. Huyu mzee amejenga nyumba yake katika kiwanja kikubwa tu na sehem kubwa ya neo lake hulitumia katika shughuli za kilimo cha umwagiliaji, ufugaji wa cows...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Yesu ni Mungu hilo halina ubishi

    Inakuwaje wanajamvi! Yesu mtu wangu wa nguvu wewe ni Mungu hilo halipingiki shikilia hapo hapo mwanangu tulio wengi tuko nyuma yako. Tunakupenda na kamwe hatutaacha kukuabudu. JESUS FIRST JESUS FOREVER JESUS IS GOD HUNIAMBII KITU KUHUSU YESU
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hakuna Ubishi Mwabukusi ni Mwanaharakati, Je TLS Yake Iwe ya Kiharakati, Au Asilete Harakati Zake kwenye TLS Yetu, Ibaki Kuwa Profesheno Body?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu gazeti la Nipashe la leo Hii ni makala yangu ya pongezi kwa Wakili Mwabukusi kuchaguliwa kuwa rais wa TLS, na kumpa ushauri wa bure, aibadili TLS kutoka kule juu ilipo, aishushe chini ground zero Ihudumie wananchi wa kawaida wanaohitaji huduma za kisheria, badala...
Back
Top Bottom