Katika jamii ya kabila la Banyankole nchini Uganda, zipo mila na desturi za kipekee zinazohusu maandalizi ya harusi na ndoa. Miongoni mwa mila zinazovutia na kuzua mjadala ni jukumu la shangazi wa bibi harusi katika kuhakikisha uimara na uwezo wa mwanamume anayetaka kumwoa binti yao.
Kwa...
Huyu Dada alisifika sana kuwa mpigania Haki, Uhuru leo hii asikiki tena.
Mwenye kufahamu Alipo Huyu Bibie Atujuze.
Kuna nyakati wafuasi wa Chama Fulani walimtikuza sana na kumpambania Kuwa Kiongozi wa Chama cha Wanasheria TLS.
NB: Sio Kila Mwanaharakati Upigania Uhuru, Haki , Demokrasia...
Sijawahi kukutana na ndoa ya watu ambao ni mabinamu lakini ikitokea mabinamu wameona ina maana shangazi na mjomba watabaki na titles zao au wanakuwa mama mkwe na baba mkwe?
Nb: Haishauriwi kisayansi binamu kuoana ili kuepuka kurithisha watoto changamoto kubwa za kijenitiki.
Vita mnayopigana kwa ajili ya Watanganyika ni kubwa ni Mungu pekee ndiye atakayewalipa wala siyo Ford Foundation.
Waliwabeza, waliwanyanyasa, waliwadharau, wametembea dunia nzima hadi kwa Papa, wametumia pesa nyingi lkn nyie mnatumia kalamu, akili na Mungu hongereni sana, tumeanza kuona...
https://youtu.be/on0XIvFqJV4?si=_zK9Ex1gcfPCnxtQ
Solo Thang kamchana vibaya vibaya Shangazi Kaja. Kafukua kila kona ya aliyofanya Shangazi Kaja.
Huyu Shangazi ni nani?
Nimejaribu kutafuta facts baada ya kuona kuna barua za mtandaoni zikionesha Wanaharakati wanavyopokea fedha kuharibu amani nchini.
nilichokutana nacho ni hiki hapa chini....Inatisha sana.....
Our grants
|Awarded grants
|Grants database
For support for the Shangazi Power project for...
Shangazi wa Taifa Maria, pole sana kwa harakati zako za kupigania haki, na Tanzania yenye demokrasia ya kweli, maendeleo kwa watu na kupinga ufisadi na ubadhirifu na kila aina ya dhulma nchini.
Nitoe pole nyingi sana kwa Watanzania waliofiwa na ndugu zao kutokana na yaliyojiri katika maadamano...
Kina mama mna tatizo gani aisee? Mikopo.. mikopo.. mikopo. Kuna case kadhaa za kina mama kujiua kwa sababu ya kuzidiwa mikopo. Kuna cases za ndoa kuvunjika pia. Wanawake wengi mnakopa sana bila kufikiria mara mbili. Hali ni mbaya sana. Mitandaoni nimeona watu wengi wakilalamika kuona mama zao...
Hamjambo Wote!
Leo nimepokea kwa Masikitiko makubwa Taarifa ya Msiba wa Aunt Dory, Moja ya Wamama ambao walikuwa wananikubali Sana enzi za uhai wake.
Taarifa hiyo nilipoipata moja kwa moja ikanirudisha Mwaka 2015 nilipokuwa Udsm Mwaka wa Pili.
Nikiwa na hekaheka, za ujana kukimbizana na kila...
Ngono ni laaana duh, kumbe mtoto alikuwa anapata kila kitu ambacho binti yoyote angekihitaji maana mme wa shangazi alikuwa well-off plus unajua sugar daddy akionga basi anahonga kweli, nyie agemates wake anawaona wahuni tu😁
Aisee ila yule binti hata na huruma kidogo kwamba Shangazi mtu...
#STrending "MIZIGO YA DADA YANGU #ZAIYLISA …… JANA KAONDOKA NA VITU VYAKE VYA KWENYE KITCHEN PARTY ALIVYOTUNZWA ……!!!!
SIJALALA MIMI NAIYOMBEA DUA HI NDOA 😭😭😭😭 TARAKA TATU NI NYINGI MJUE." - ✍️ #JumaLokole
#SallyTV #NiZaidiYaBurudani
Huyu dogo kutoka West Africa amelost big time.Kijana hizo ng'ombe fuso mbili bora angepelekea vituo vya watoto yatima wakala ubweche kuliko kulipia mahari SINGO MAZA with two kids from two different men who ate that punani without giving even a single cent😣😣😣😣
Huyu dogo mpira ukianza kumtupa...
Ukienda club mdada anajua kucheza piano anaringa kama mwenye degree ya MD
Ukimuongelesha mashangazi nawakumbusha Kuna walikuwa wanaringa na style za VIDUKU
Waafrica wote akili zetu zinafanana,
Ustaadhi Ngolo Kante amevamia mtumbwi wa vibwengo kwa kuoa lishangaji Jude Littler lenye watoto watatu na umri wa miaka 47.
Historia ya shangazi huyo huko nyuma sio nzuri Djibril Cisse aliwahi kuwa nae huko nyuma aliambulia kupigwana kitu kizito.
Pesa zote...
Huniambii kitu hata!
Mimi siingilii Uhuru wa maonî ya Watu walah!
Kûna waliniita Mario,
Kûna waliniita Serengeti boy,
Kûna waliniita kibenteni.
Basi kama mjuavyo Siku hizi Vijana Hawana Kazi, na kama nimetoa Ajira Kwa Watu kunitungia Majina na huenda Kwa Mwezi wanapewa Pesa za kujikimu Maisha...
Ni kisa cha miaka 10 iliyopita lakini mhusika anapitia kipindi kigumu mpaka sasa
Ilifikia kipindi anashinda sana kanisani mpaka anaacha watoto nyumbani, hapiki analipa kanisa kipaumbele, kuchukua pesa za savings kwajili ya zaka na sadaka za kitapeli, anaweza kesha kanisani, n.k. Mume wake...
Wadau hamjamboni nyote?
Je umewahi pata majibu ya hovyo na kukatisha tamaa kutoka kwa shangazi yako/zako? Ulichukua hatua gani?
Karibu utupe uzoefu
Tahadhari usitaje jina Wala sehemu anayeishi shangaziyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.