fatma karume

  1. benzemah

    Fatma Karume: Bandari haijauzwa, hakuna tatizo kufanya biashara na Dubai, acheni ubaguzi ni ushamba

    Ameandika kupitia ukurasa wa mtandao wake wa Twitter mwanaharakati na mwanasheria maarufu nchini Fatma Karume "Hao WAARABU msiowapenda wameweza kufanya MAPINDUZI ya Kiuchumu nchii zao kwenye kipindi kifupi sana. Dubai haitegemei mafuta.Badala ya kubaguwa basi ndugu zangu tujifunze.Acheni...
  2. Chizi Maarifa

    Fatma Karume na Deni lake kwa Musiba itakuaje?, Ukiona mwenzio ananyolewa....

    Baada ya Membe ambaye aligoma kusamehe deni la Musiba kufariki, je hii inaleta ujumbe gani kwa Fatma Karume? Inawezekana kabisa akajifunza kitu. Kuwa kudai pesa nyingi pia si salama kwa afya. Musiba amekuwa musiba kweli kweli. Nadhani sasa watu wataanza kugundua si kila mtu hivyo... Membe...
  3. kavulata

    Fatma Karume (shangazi) anapotosha wadau wa mpira

    Huyu mama ni mwanasheria nguli kabisa nchini anaeheshimika lakini kwenye hili la Faisal anakaribia kuipoteza heshima yake. Anadai kuwa Faisal sio mtumwa hivyo hawezi kulazimishwa kufanya kazi Yanga. Kauli hii imewachefua wengi sana. Faisal ni mzanzibar, alifikaje Yanga? Je Yanga Kuna soko la...
  4. Replica

    Kumbe Fatma Karume mkali hivi! Amchenjia mtangazaji wa Clouds FM live redioni

    Wakili mzoefu, Fatma Karume almaarufu shangazi leo amemtuhumu mtangazaji wa kipindi cha michezo cha Clouds FM, Prisca Kishamba kuwa ni muongo na yeye hamna kitu hapendi kama watu wanaofanya 'Assumption'. Fatma alitengeneza swali na kumtaka mtangazaji amuulize upya kama alivyosema baada ya...
  5. Shujaa Mwendazake

    Kuomba msaada wa bure kwa Fatma Karume. Je, Fei ameshindwana na wakili wake au hamuamini?

    Baada ya Fatma kutoka kwenye kikao cha review ya hukumu ya mchezaji Feisal Salum dhidi ya Waajiri wake Klabu ya Yanga, Wakili Fatuma Karume maarufu kama 'Shangazi' aliyekuwa upande wa Fei Toto amesema: "Tumemaliza tulichokuwa tunakifanya, tumewaachia wao watafakri upya, mimi nina mwakilisha tu...
  6. Roving Journalist

    Fatma Karume: Serikali imlinde Tundu Lissu na familia yake, tusikubali mtu apigwe risasi kwa sababu ya siasa

    Fatma Karume amezungumza na Wakili TV na kufafanua mambo kadhaa ikiwemo kuhusu hali ya demokrasia nchini, siasa ya Tanzania na kurejea kwa Tundu Lissu. Huyu hapa anafafanua: Nikiwa kama Rais mstaafu wa TLS nimefurahi sana kusikia Tundu Lissu anarudi Nchini Tanzania kwa sababu mazingira...
  7. Rammyq

    Law school of Tanzania yapandisha ada na gharama nyingine, kutoka 1,570,000/= mpaka 2,950,000/=

    Taasisi ya mafunzo ya uanasheria Kwa vitendo (LST) imepandisha gharama za mafunzo ya uanasheria kwa vitendo kutoka 1,570,000/= mpaka 2,950,000/=. Ikumbukwe kuwa malipo hayo hufanyika Kwa mkupuo mmoja. Maswali ya kujiuliza; ~ Je, lengo la kupandisha gharama kwa kiwango kikubwa kiasi hiki ni...
  8. S

    Fatma Karume: Walioanda zile fraudulent report za Makinikia ni watu evil

    Ameandika hivyo kupitia mtandao wa twitter akionekana kutoa maoni yake kuhusian na kauli ya Prof. Kabudi ambapo ame-attach gazetli la JAMHURI Msome hapa: Palamagamba na profesa wengine wote walieandika zile ripoti fraudulent ni wakushatakiwa. Innocent people walifungwa kwa miaka zaidi ya 2...
  9. S

    Maajabu ya Mbowe, Fatma Karume na Zitto: Wako kimya licha ya gharama za maisha kupanda. Kipindi Magufuli kaziba maslahi yao kelele kila siku!

    Nchi hii wananchi walio wengi huamini kuwa mwanasiasa hupigania maslahi yao ila nyuma ya pazia mambo ni tofauti sana. Kipindi cha awamu ya tano kweli kulikuwa na mapungufu ya kiuongozi kama pia ilivyo sasa maana haiwezekani uongozi ukawa kamili kwa asilimia mia! Mfano ni Zitto Kabwe kipindi...
  10. happyxxx

    Fatma Karume aendeleza spana kwa CHADEMA, awaambia "Hamnitishi na sikuogopeni"

    Huu ndio ujumbe wa Shangazi wa Taifa. Wataalam wa siasa za kimataifa wanaita hizi ni spana za kisoviet. Wakati unaendelea kutupatia ukweli. Shujaa hakuendekeza wanasiasa na wanaharakati njaa njaa sasa wanagombania kulamba sukari wao kwa wao.
  11. happyxxx

    Fatma Karume atuma salamu kwa CHADEMA: "Nawasubiri na udini na ukabila wenu"

    Fatma Karume ametumia mtandao wa Twitter kuwashambulia wafuasi wa Chadema wanaomporomoshea matusi kwa sababu ya yeye kuonekana kumuunga mkono Rais Samia. Amewaita ni wanafki kwa kupongeza Mbowe akikutana na Rais ila kuwashambulia watu Wengine wakikutana na rais au viongozi wa serikali...
  12. Stuxnet

    Video: Fatma Karume Kwenye Mhadhara wa Kimataifa Asimulia Unyama wa "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe"

    Clip ya Dak 2:47 akiwa Oslo Forum anasimulia namna "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe" namna kilivyo piga bomu ofisi yake ya UWAKILI na kumjeruhi Tundu Lissu kwa risasi 16. Hatimaye Kinyago chenyewe kilinyauka mnamo 17/ 03/ 21.
  13. M

    Shangazi Fatma Karume afika mbele ya kikosi kazi kutoa maoni yake kuhusu mambo ya katiba na mengineyo

    Mwanadada mpigania haki za binadamu na demokrasia nchini, amefika mbele ya kikozi kazi cha mheshimiwa rais kwa ajili ya kutoa maoni yake namna gani ya kupata tume huru ya uchaguzi, namna gani kufanya siasa safi nchini na katiba mpya.
  14. John Haramba

    Hoja za Fatma Karume baada ya Mahakama kufuta kesi ya Freeman Mbowe na wenzake

    Kauli za Wakili Fatma Karume kuhusu hatua ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kufutiwa mashitaka yake katika Mahakama Kuu, Machi 4, 2022 ambapo alikuwa yeye pamoja na wenzake watatu ambao wote wamefutiwa mashitaka yaliyokuwa yakiwakiabili. "Ukitazama historia ya siasa, haijawahi kutokea...
  15. Msanii

    Fatma Karume ajipanga kukazia hukumu dhidi ya Musiba

    Mahakama Kuu ya Tanzania imempatia Fatma Karume Hukumu ya kesi yake aliyoshinda dhidi ya Musiba. Hukumu hiyo inampa haki Shangazi kukazia hukumu ili kukamilisha safari ya kupata haki zake baada ya kuchafuliwa vilivyo na bwana Musiba ambaye kwa sasa ameenda mafichoni kusikojulikana Kupitia...
  16. J_Okay

    Nawajua mashoga 5, wote walianza kwa kufanyiwa dhuluma ya kingono utotoni

    Abuu Kauthar Nianze kwa kuelezea uzoefu wangu katika maisha wa kukutana na kuwajua mashoga. Nianze kwa kuomba msamaha kwa jina hilo kwani sina hakika kama ni rasmi na linakubalika kwao. Nimepata kujuana na mashoga watano. Najua kuna makundi mengi katika hao wanaojitambulisha kama jamii ya...
  17. Komeo Lachuma

    Maria Sarungi vs Fatma Karume kuna mambo haya

    Maria Sarungi - yupo very calm anapokuwa na hoja, anasikiliza na anaeleza kwa utulivu sana. Ana msimamo,uelewa na hana kiburi/ujivuni. Si mtaalamu wa sheria but yupo smart. Fatma Karume - Ana Jazba, mihemko si mzungumzaji mtulivu ana lack comm skills kwa kutumia maneno ya makwazo au ya kutaka...
  18. M

    Umeshakutana na mtu unayemdai anakuambia sina hela ukitaka niue

    Mzuka wanajamvi Kuna jamaa nilikuwa na mdai akawa ananikwepa tukakutana naye ghafla. Nikamzuia na kumuambia anilipe. Jibu alilonipa lilizidi kunikera kwa kuniambia sina hela ukitaka niue basi au fanya chochote. Sasa Shangazi ajiandae kabisa na majibu kama haya kutoka kwa 'short sighted'...
  19. W

    Mahakama Kuu Zanzibar yaamuru Cryprian Musiba kumlipa Fatma Karume Tzs 7.5 bilioni

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter Wakili msomi, Fatma Karume aka Shangazi, ameandika hivi; Hamjambo? Mnaomjua Cyprian Musiba mwambieni Mahakama Kuu ya Zanzibar, ndio pale VUGA, yametoa HUKUMU leo. Yamesema ni yeye na GAZETI lake wameandika UONGO dhidi yangu. Sasa anatafute 7.5 billion za...
  20. chiembe

    Fatma Karume na Maria Sarungi sijawaona katika maandamano Mahakama ya Kisutu, wanachochea halafu wamejificha nyuma ya kabati

    Hawa wadada wakiwa twitter wanaonekana kama tembo au simba, linapokuja suala LA kwenda saiti kutekeleza uchochezi wao, wao hawafiki! Yaani wanataka rule rungu, tufe,wao wabaki wakila bata. Maria Sarungi mama yake ni mzungu, ana pakwenda endapo njama zake za kuvuruga amani zikifanikiwa, sisi...
Back
Top Bottom