Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,209
- 4,705
Mapema leo nikijuliana khali na Mama Fatma Karume, Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, baada ya kuhutubia na kuzindua Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha Tanzania (TAWiFA) Kizimkazi, Zanzibar.
Katika hotuba yangu nimeendelea kusisitiza umuhimu wa taasisi za kiserikali na binafsi kuhakikisha zinafanya juhudi za makusudi kuwapa wanawake nafasi ya kusikika, lakini huku hilo likiendelea, wanawake nao wanapaswa kujipanga ili kufikia malengo yao kwa vitendo.