hussein bashe

Hussein Mohamed Bashe (born 26 August 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Nzega Urban constituency since 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Mzee Mwanakijiji

    Gongo la Mboto 2025: CHADEMA wadai mambo 2 tu kwenye Sheria ya Uchaguzi

    Na. M. M. Mwanakijiji Kwa wanaokumbuka na wale wasiokumbuka ni kuwa mimi ni mpinzani wa madai ya Katiba Mpya. Sijaona bado na sijashawishika kabisa kutambua mchakato wowote halali wa uandikaji wa Katiba Mpya. Nilitakaa na kupinga mchakato haramu ulioanzishwa na Rais Kikwete wa kuivunja Katiba...
  2. M

    Fatma Karume amjia juu Martin Masese juu ya kauli ya Hussein Bashe

    Martin ukishatoa jini la udini kwenye chupa ni vigumu sana kulirejesha. Je Bashe angekuwa Mkristo na angesema ikifika Ramadhan sukari itakuwa nyingi ungesema hawajali Wakristo au ungesema anataka kuhakikisha stability ya bei ya SUKARI ikifika Ramadhan? Think sometimes. Source X. Zamani...
  3. Suley2019

    Hussein Bashe: Acheni kuijadili bei elekezi ya sukari

    Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amejibu baadhi ya hoja zilizoibuliwa kuhusu kupanda bei kwa sukari huku akiwatahadharisha Wafanyabishara wanaotumia Wanasiasa kuishikilia bango ajenda ya kupanda kwa bei ya sukari kwamba ajenda hiyo haitofanikiwa kwasababu tayari kuna bei elekezi inayotakiwa...
  4. Suley2019

    Hussein Bashe: Upungufu wa sukari nchini utaisha mwezi Machi

    Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo Kutokana na kuwepo kwa upungufu wa sukari nchini, Serikali imeeleza kuwa mvua za El Nino zinazoendelea kunyesha zimeathiri mfumo mzima wa uvunaji wa miwa na hivyo kuathiri wa uchakataji na kupelekea uwepo wa upungufu wa sukari. Akizungumza Waziri wa Kilimo...
  5. M

    Kwa namna Watanzania masikini wanavyohangaika kupata chakula Rais Samia mfute kazi ya uwaziri Hussein Bashe

    Sasa hivi ni kipindi cha mavuno hasa ya mpunga lakini chakula kipo bei ya juu. Huyu waziri mwenye dhamana ya chakula amefeli Mahindi yanauzwa vijijini debe elfu ishirini. Waziri makini lazima angekuwa makini kulinda walaji wa ndani. Hata nchi kama Usa haiwezi kuexport chakula hovyo bila kuwa...
  6. Mganguzi

    Hussein Bashe na ndoto za kufikirika, za kumbadili kuku wa kisasa kuwa wa kienyeji

    Ninae huyu mtu anaeitwa Hussein Bashe, Kwa mlio karibu nae jaribuni kumuonya kwamba hicho kilimo anachojaribu kukianzisha, kimeshashindwa hata kabla hakijaanza .labda kwa sababu yeye ni mtu anaedhani kilimo kinaendeshwa kwa makaratasi, hivyo anajaribu kutoa mishipa ya shingo kwa kuongea sanaaa...
  7. H

    Kwa anayekijua kilimo cha kitaalam, Bashe yuko sahihi

    Kama hekta moja ni 16mil na points kadhaa hivi ,budget hiyo iko sahihi na wamejitahidi Sana kuibana . Mfano tu; kwa kilimo cha kitaalam cha green house ,green house ya robo ekari yaani ukubwa wa mita 35 kwa 35, budget yake ni mil 4 hiv na vichenji, Nina jamaa zangu kadhaa walianzisha kilimo hiki...
  8. Per Diem

    Bashe anapaswa kujibu hili, amefeli kwenye kilimo. Hili la mbolea limeumbua, angalia idadi

    Kuna nguvu ilitumika sana kwenye suala la mbolea mwaka jana, nyimbo zilitungwa na sifa ziliimbwa kwa waziri bashe kuhusu mbolea ya ruzuku. Bashe akasema anataka kumuinua mkulima ndio maana anasaidia wakulima wote wapate mbolea ya ruzuku. Hafla ya mbolea ya ruzuku kwa wakulima ilifanyika mbeya...
  9. Mdude_Nyagali

    Mabadiliko kutoka Building Better Tomorrow - BBT mpaka kuwa Building Bashe Tomorrow - BBT

    Mabadiliko kutoka π˜½π™π™„π™‡π˜Ώπ™„π™‰π™‚ π˜½π™€π™π™π™€π™ π™π™Šπ™ˆπ™Šπ™π™π™Šπ™’ - π˜½π˜½π™ mpaka kuwa π˜½π™π™„π™‡π˜Ώπ™„π™‰π™‚ π˜½π˜Όπ™Žπ™ƒπ™€ π™π™Šπ™ˆπ™Šπ™π™π™Šπ™’- π˜½π˜½π™. TUMEPIGWA BILIONI 13. Kwa mujibu wa wizara ya Kilimo chini ya waziri @HusseinBashe ni kwamba serikali inatumia milion 16.4 kufadhili shamba la hekta moja kwenye mradi wa Building a Better Tomorrow kwa...
  10. JanguKamaJangu

    Devotha Minja: Namshangaa Hussein Bashe kutaka Bodaboda za Maafisa Ugani zifungwe GPS

    "Namshangaa Hussein Bashe anataka pikipiki za maafisa Ugani zifungwe GPS, mbona wao kwenye V8 zao hawajafungiwa" Devotha Minja. Mbunge wa wananchi Jimbo la Morogoro Mjini. Chanzo: Jambo TV === Devotha Minja, ambaye alikuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini kwa tiketi ya CHADEMA...
  11. K

    Hussein Bashe: Kati ya Ajira 10 ajira 7 ni za sekta ya Kilimo

    Wakati wa uwasilishwaji wa bajeti ya Kilimo leo Bungeni, Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe alielezea maendeleo ya sekta ya kilimo nchini na kusema sekta ya kilimo imetoa wastani wa asilimia 65 za ajira kwa vijana ambayo ni takribani sawa na watu saba kwenye kila watu kumi wanaoajiriwa...
  12. Mganguzi

    Hussein Bashe, zuia mahindi kutoka nje kwanza nchi ijitosheleze

    Nimeona baadhi ya maeneo mahindi yameanza kuvunwa hasa mkoa wa Rukwa na nimeona malori kutoka Kenya na wanunuzi karibia wote wanapeleka shehena ya mahindi Zambia na Congo... Hatukatai watu kuuza nje lakini kwa kuwa maeneo mengi ya nchi hawakulima mahindi ya kutosha na mikoa mingine kama...
  13. sifi leo

    Waziri Bashe, lijulishe Taifa mchakato uliotumika kuwapata vijana 812 wanaokwenda kwenye mafunzo ya kilimo yatakayozinduliwa na Rais Samia

    Sina mengi ya kuuliza ninataka kujua utaratibu ulio TUMIKA kuwapat vijana 812 ambao wanatarijiwa kwenda kupewa mafunzo ya kilimo? Ukiweza type data ni wangapi. Waliomba na wangapi wamechukuliwa n wangapi wameachwa na. Sababu za kuwaacha walio achwa ni zipi? Msingi wa swali langu ni huu, Taifa...
  14. J

    Sasa huyu Bashe kamsaidia mkulima au kamuangamiza? Huu mchele wa Ruzuku unaweza kuuzwa 1,500/- kwa kilo

    Ninavyowajua Watanzania wanapenda vitu vya bei rahisi Bila kuzingatia ubora Hiyo michele iliyofichwa na Wakulima soon inaenda kuwadodea Bashe ajipime kama anatosha!
  15. G

    Hongera Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kwa kutetea soko la wakulima, wanaokupinga ni wanafiki

    Wakuu nampongeza mh Bashe waziri wa kilimo kwa mengi aliyoyafanya kilimo, isipokuwa Kwa Leo nampongeza kwa msimamo wake wa kutetea wakulima juu kuuza mazao Yao waliyolima kwa gharama zao kuuza kwenye soko lolote Le ye tija kwao ndani na nje ya nchi. Wakuu, lazima tutambue kwamba kwa sasa kilimo...
  16. baro

    Waziri Bashe aache kuingilia majukumu ya wizara nyingine

    Waziri Bashe tumeona kwa miezi kadhaa umezindua program inaitwa BBT (Building Better Tomorrow), ambayo itafanywa na wizara ya Kilimo kwa ajili ya vijana , hii ni Kuingilia majukumu ya Wizara ya VIJANA, AJIRA ,KAZI na WATU WENYE ULEMAVU. Hii unayofanya kwenye BBT ni Skills development na Capital...
  17. Keynez

    Waziri Hussein Bashe futa kauli yako kuhusu Roho Mtakatifu

    Miaka ya hivi karibuni kumetoka tabia ya viongozi wa serikali mara kwa mara kutoa kauli za ovyo zisizo na staha zinazoleta ukakasi katika jamii ila kwa sababu hatuna uwajibikaji, tatizo hilo tumeendelea kulilea. Nilikuwa naangalia clip moja ya hivi karibuni ya Waziri wa Kilimo Hussein Bashe...
  18. BARD AI

    Waziri Bashe atangaza bei mpya ya Chai

    Waziri wa Kilimo, Husein Bashe ametangaza bei mpya ya chai ambayo ni Sh366 kwa kilo itakayoanza kutumika kwenye mnada wa kwanza utakaofanyika Februari 10, 2023. Kwa zaidi ya miaka mitano, bei ya zao hilo haijawahi kupanda kutoka Sh314 jambo lililokuwa linawadidimiza wakulima. Pamoja na bei...
  19. figganigga

    Hussein Bashe wanamuita Msomali lakini ni Mzalendo kuliko wakina Makamba wanaojiita Wazawa

    Baada ya kutafakari na kuangalia mambo yanavyoenda, nimegundua Hussein Bashe wanamuita Msomali lakini ni Mzalendo kuliko wakina Makamba wanaojiita Wazawa. Hussein Bashe ni Waziri wa Kilimo sioni Watu wa Kilimo Wanamlalamikia. Sasa hivi anapima udongo anajenga maghala sababu anaamini Wakulima...
Back
Top Bottom