kcmc

KCMC (740 AM) is a radio station licensed to Texarkana, Texas, United States. It serves the Texarkana area. The station is currently owned by Texarkana Radio Center. Studios are located on Olive Street, just west of the border with Arkansas, and the transmitter is on De Loach Street in the Texarkana city limits also west of the Arkansas border.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania KCMC yazindua Tiba Mionzi: Matumaini mapya Saratani

    KCMC YAPATA TIBA MIONZI: Serikali Yawekeza Bilioni 5.5 Kusogeza Huduma za Saratani Karibu na Wananchi Na Dr.Zack– Kilimanjaro Tanzania imeandika ukurasa mpya katika mapambano dhidi ya saratani baada ya Serikali kuzindua rasmi Jengo la Tiba Mionzi katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya...
  2. G

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Je, kitendo cha chuo cha KCMC kuzuia wanafunzi wa Md4 ambao bado wako semester 1 wasifanye mtihani wa UE kisa hawajalipa ada ya semester 2 ni halali?

    Katika sintofahamu wanafunzi wa mwaka wa nne wa udaktari KCMC ambao bado wako semester 1 mpaka tarehe 12/06/2026 Kwa mujibu wa ratiba ya chuo,wametakiwa kulipia ada yote ya semester 2 ndipo uruhusiwe kufanya mitihani huo wa end of semester 1(UE) unaotarajiwa kuanza tar 8/06/2026. Wanafunzi...
  3. G

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo cha KCMC kinataka kuzuia wanafunzi wa mwaka wa nne kufanya mtihani wa semester 1 kama hawajalipa Ada ya semester 2

    Chuo Cha KCMC kimetangaza rasmi kupitia CR wa wanafunzi udaktari (MD) mwaka wa nne kikiwataka kulipa ada ya semester ya pili ilihali bado wako semester ya kwanza na kinatishia kuwa hakitawaruhusu kufanya mitihani wa kumaliza semester ya kwanza (end of semester exam) hata kama ada yao ya mwaka wa...
  4. Good doctor

    JamiiForums Tanzania Kwa comb ya PCP SIX ufaulu wa CDC naweza kupata kozi ya MD Kwa vyuo kama KCMC, Bugando na Kairuki?

    Husika na mada tajwa hapo juu msaada 🥺 please
  5. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania KCMC, CUHAS best medical schools ever

    Leo nataka niwashukuru kipekee walimu wangu walionipa heshima ya kuitwa daktari, chuo kikuu cha udaktari KCMC na CUHAS Bugando, hivi vyuo ni vyuo bora kabisa vya udaktari, nikiwa alumni wa vyuo hivi nasimama kama ushuhuda wa kazi nzuri wanayoifanya kwa maslahi ya nchi yetu. Sitaweza kuacha...
  6. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Senior Office Management Assistant Grade L-1 at KCMC University July 2025

    Vacancy Announcement KCMC University is seeking qualified candidates to fill the following vacant position within the Vice Chancellor’s Office. Position: Senior Office Management Assistant Grade L-1 Educational Qualifications A holder of Diploma in Secretarial Studies whereas bachelor’s degree...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Vilio na simanzi KCMC Majeneza ya waliopata ajali Same yakiwasili

    ilio na simanzi vimetawala katika viwanja vya Hospitali ya KCMC, mkoani Kilimanjaro wakati ndugu wakishuhudia majeneza 36 kati ya 42 yenye miili ya ndugu zao waliofariki dunia ajalini baada ya magari mawili kugongana na kuwaka moto Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Ndugu hao pamoja na...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Rungwe ‘Mzee wa Ubwabwa’ alazwa KCMC

    DAR. Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe maarufu Mzee wa Ubwabwa amelazwa katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro (KCMC) kutokana na uchovu wa kazi nyingi. Kwa mujibu wa Ofisa Uhusiano wa hospitali hiyo, Gabriel Chisseo, Rungwe alifikishwa hospitalini hapo...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pisi Kali kwa hapa Moshi - Maeneo ya KCMC zinapatikana wapi??

    Wakuu heshima zenu, Nipo Moshi kwa muda usiopungua wiki kadha.Kwa uwepo wangu hapa bado sijapata kuona maeneo yenye pisi Kali. Naomba uelekeo wenu wakuu na kama yupo humu ambaye yupo serious kidogo aje PM tuyajenge chap.
  10. Soul21

    JamiiForums Tanzania Waziri wa afya afanye ziara Hospitali ya KCMC

    Viongozi wamekuwa wakitoa kauli zisizo na vitendo au uhalisia unaowakba wagonjwa. Nimeshuhudia hospitality ya KCMC hata mgonjwa wa ambulance anasubirishwa mapokezi mpaka kujaza taarifa na malipo ya awali Hili jambo si utani, unaweza kuona mtu wako anafia mapokezi basi wakati mwingine Mungu...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali imekamilisha ujenzi wa jengo la tiba mionzi ya Saratani KCMC kwa bilioni 5

    Wakuu Wizara ya Afya imewekeza Sh5 bilioni katika ujenzi wa jengo jipya la tiba mionzi katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) pamoja na ununuzi wa vifaa tiba vya kisasa. Hatua hii inalenga kuboresha huduma za matibabu ya saratani kwa wakazi wa Kanda ya Kaskazini na maeneo...
  12. milele amina

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu Dr. Alex Gehaz Malasusa, Mkuu wa KKKT na mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Hospital ya KCMC ! KCMC ipo ICU!

    Msikilize huyu mtanzania!! Mkurugenzi wa Hospital hiyo kubwa nchini,amejikita kwenye miradi ya ujenzi,akiachilia mbali maisha ya watu! Idadi ya vifo ni kubwa mno, na Kuna uwezekano mkubwa mmiliki wa duka kubwa la majeneza nje ya hospital hiyo ni la wa Mkurugenzi wa KCMC Manesi wamezidiwa...
  13. milele amina

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Haraka kwa Serikali ya Tanzania:Ujenzi wa Barabara kuu ya YMCA kwenda Hospital ya Rufaa ya Kanda ya KCMC ,yenye urefu wa kilometer 2.6 tu.

    Tunaandika kwa huzuni na wasiwasi mkubwa kuhusu hali mbaya ya barabara kuu inayounganisha roundabout ya YMCA mjini Moshi na Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC. Barabara hii yenye urefu wa kilomita 2.6, ambayo ilijengwa mwaka 1971, imekuwa kizuizi kikubwa kwa huduma za afya na...
  14. luambo makiadi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa Shao Mkurugenzi mstaafu hospitali ya KCMC azikwa, madaktari wamlilia

    Aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa hospitali ya KCMC, na makamu mkuu wa kwanza wa chuo Kikuu Tumaini Makumira Profesa John Shao (80) aliyefariki Oktoba 6 mwaka huu amezikwa. Profesa Shao ambaye ni mtanzania wa kwanza kusoma shahada ya vimelea vya magonjwa atakumbukwa kwa uchapakazi wake ndani na...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Familia ya Muuguzi aliyetoweka KCMC yaamua kutumia njia za kimila kumsaka

    Wakati Jeshi la Polisi likisema linafuatilia mawasiliano ya mwisho na watu aliokuwa akiwasiliana nao Muuguzi wa KCMC, Lenga Masunga (38) aliyetoweka katika mazingira ya kutatanisha hivi karibuni, familia yake imesema itatumia taratibu zake za kimila kujua ndugu yao huyo yuko hai au amefariki...
  16. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania KCMC na TPC waungana kutoa huduma za kitabibu

    MADAKTARI BINGWA KCMC KUTUOA HUDUMA ZA KIBINGWA HOSPITAL YA TPC Moshi. Hospital yenye hadhi ya nyota nne inayomilikiwa na kiwanda cha Sukari cha TPC,ipo katika hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa kuingia makubaliano ya ushirikiano na Hospital ya Rufaa ya KCMC kwa ajili ya kutumia madaktari...
  17. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Watu 5 mbaroni wakihusishwa na kifo cha muuguzi wa KCMC

    Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watu watano kwa tuhuma za mauaji ya Khudheifa Changa, ambaye alikuwa ni Muuguzi wa Hospitali ya KCMC Moshi mkoani humo. Inadaiwa Khudheifa Changa aliuawa usiku wa kuamkia Julai 2, mwaka huu wakati akipita katika uchochoro wa Mtaa wa Marindi...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Muuguzi KCMC auawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali uchochoroni

    Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Muuguzi wa hospitali ya KCMC Moshi Khudheifa Changa (26) Akitoa taarifaa hiyo kwa vyombo vya habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro ACP Simoni Maigwa amesema kuwa walio kamatwa ni...
  19. comte

    JamiiForums Tanzania Tupate mkataba wa uendeshi wa hospital za Bugando (TEC) na KCMC (KKKT) ili tujadili bandari vizuri

    Hospital za Bugando na KCMC zinamilikiwa na makanisa na zinaendeshwa kwa ubia na serikali ya JMT. Ninafikiri mikataba yake ingetusaidia sana kwenye mjadala unaoendelea wa bandari
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania KCMC inapokea Wagonjwa 300 wa Akili kwa mwezi

    Daktari bingwa wa afya na magoniwa ya akili wa Hospitali ya Rufani ya Kanda ya KCMC, Dk. Editruda Gamassa, amesema hivi sasa wanapokea wagonjwa wa nie wenye matatizo ya afya ya akili, zaidi ya 300 kwa mwezi mmoja. Magonjwa ya afya ya akili ambayo ni tishio nchini ni Kihoro (Anxiety), Sonona...
Back
Top Bottom