TAARIFA KWA UMMA
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga inawatafuta ndugu au jamaa wa mtoto huyu wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 5, ambaye hajafahamika jina lake.
Mtoto huyo alinusurika katika ajali ya barabarani iliyotokea tarehe 20 Juni 2026 eneo la Wendele, iliyohusisha gari la...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mama Maria Nyerere muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kuelekea Luanda, Angola ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Hospitali iliyopewa jina la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage...
angola
baraka
hospitalihospitaliyarufaa
jina
kabla
katika
kufanya
kupaa
mama maria nyerere
mgeni
mgeni rasmi
mwalimu
mwalimu nyerere
nyerere
rais
rais samia
rasmi
rufaa
samia
ziara
Habari ndugu zangu, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Watumishi wa hospitali ya rufaa ya kanda KCMC na serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,tunaomba kero zetu hizi zisikilizwe na kutatuliwa haraka kwani zinatukatisha tamaa na kufanya maisha yetu ya utumishi...
Wasaalam wanajamvi na Watanzania wote kwa ujumla.
Mnamo tarehe 27.03.2026 majira ya saa 12:30 jioni ilitokea ajari ya gari katika Barabara ya jojiro iliyopelekea madaktari sita wa Hospitali ya Sekou-Toure kujeruhiwa akiwepo Dk.Avetha Massawe.
Kabla sijaendelea kuhusu hili,kwa muhtasari...
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala imeona taarifa zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu muda wa kusubiri huduma kwa baadhi ya wagonjwa wanaofika hospitalini hapo kupata matibabu.
Uongozi wa hospitali unapenda kufafanua kuwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa
Mwananyamala inahudumia...
TAARIFA KWA UMMA
Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi umeona taarifa katika mitandao ya kijamii kuhusu changamoto ya ukosefu wa Mochwari katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi.
Hoja ya Mdau ~ Milioni 100+ zinatumika kununua gari la ‘staff’ Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi...
Tangu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi kuanza kazi ya kuhudumia umma haijawahi kuwa na chumba cha kuhifadhia maiti (Mochwari), hay ani maajabu, taasisi kubwa tena ya rufaa na hadhi ya mkoa inakosa huduma muhimu kwa jamii kama hiyo?
Nimeshangaa sana kuona tarehe 20, Mei, 2026 nikiwa katika...
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, Mei 20, 2026 amezindua rasmi Basi la Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi.
Akizungumza mbele ya Watumishi, Mrindoko amesema Basi hilo litasaidia sana Watumishi kupunguza gharama za maisha kwa kuwarahisishia usafiri.
Pia soma ~ Milioni...
MHE. GHATI CHOMETE AOMBA SERIKALI KUPELEKA FEDHA TAKRIBANI BILLIONI 18 KUKAMILISHA MIRADI YA AFYA HOSPITALI YA RUFAA YA MWL.NYERERE (KWANGWA), MKOANI MARA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete Leo tarehe 12 Mei, 2026 akiwa katika mwendelezo wa Bunge la Bajeti kwa Mwaka...
Mimi ni mwananchi wa Singida, kero yangu ni jengo la ghorofa sita kwaajili ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida, lilianza kujengwa tangu nipo Sekondari Miaka ya 2010's lakini mpaka leo ujenzi wake haujakamilika.
Kuna jengo la ghorofa 6 linaitwa Covid 19 sijui, yaani kuna majengo mengine ya...
Anonymous (0c95)
Thread
hospitaliyarufaa
jengo
kukamilika
miaka 10
singida
Watu wa Mapokezi ya Wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa Mbeya hawana huduma nzuri kabisa kwa Wananchi wanaofika kituoni hapo.
Mfano kuna mtumishi mmoja anaongea na simu muda mwingi bila kujali wagonjwa walio mbele yake, amekuwa na kawaida ya kufanya hivyo na hajali wanaohitaji kuhudumiwa.
Mbali...
Anonymous (f836)
Thread
hospitalihospitaliyarufaa
huduma
huduma nzuri
kitengo
mapokezi
mbeya
mtumishi
nzuri
rufaa
sana
simu
wagonjwa
Ikiwa ni jitihada za kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi, Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya kwa Kushirikiana na hospitali ya Aga Khan Tanzania zimesaini makubaliano ya kushirikiana katika utoaji wa huduma mbalimbali kwa wananchi.
Akizungumza baada ya kusaini makubaliano hayo Mkurugenzi...
Hapa hapa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala (MRRH), Watumishi wa Ajira Mpya hatujalipwa pesa za kujikimu, kila siku tunazungushwa.
Tusaidie sauti hii iwafikie wanaohusika.
Anonymous
Thread
ajira mpya
dar
hospitalihospitaliyarufaa
kujikimu
mwananyamala
pesa ya kujikimu
==
Akiongea na Wanahabari Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga anasema, Katika kipindi cha miaka minne ya Rais Samia, Mkoa wa Shinyanga umefanikiwa katika kujenga na kuboresha miundombinu ya afya kwa kiasi kikubwa ikiwemo Kukamilisha Hospitali ya Rufaa ya Mwawaza kwa zaidi ya TZS10 bn, hospitali za Wilaya...
Hospitali ya Rufaa na Mafunzo ya Moi iliyoko Eldoret imethibitisha kisa kimoja cha ugonjwa wa mpox kwa mtoto mchanga; imewashauri wafanyakazi wake kuwa waangalifu ili kuzuia kuenea kwa ugonjwa huo.
===================
Moi Teaching and Referral Hospital in Eldoret confirms one case of mpox from...
Rais Samia amejenga Hospitali ya Rufaa Mwanza kwa TZS25bn,akaboresha huduma za afya Bugando kwa TZS10bn na akafanya ukarabati wa hospitali kwa TZS5bn
Rais Samia katika jitihada zake za kuimarisha huduma za afya nchini ya Serikali yake ya Awamu ya Sita ametekeleza miradi yenye thamani ya...
Utaratibu ulowekwa sasa wa ndugu kuona wagonjwa Hospitali ya Morogoro sio mzuri kiasi kwanza huleta ugomvi wa mara kwa mara kati ya walinzi na ndugu wa wagonjwa.
Pia kutoa mwaya wa upendeleo kwa wale wenye kujuana na walinzi Hao kuweza kuona wagonjwa wao kwa uhuru kuliko wale wasiojuana nao...
Anonymous
Thread
hospitalihospitaliyarufaa
kati
katika
kuona
mara
mara kwa mara
mkoa
mkoa wa morogoro
morogoro
ndugu
rufaa
ugomvi
utaratibu
wagonjwa
wao
Habari ni kwamba zipo taarifa za kuaminika kuwa hospitali ya rufaa kanda ya shinyanga iliyopo eneo la mwawaza watendaji wa hospitali hiyo wameingia kwenye kashfa kubwa za kushindwa kutoa huduma bora kwa jamii kwani malalamiko mengi ni kuwepo kwa vifo vingi vinavyotokana na operation za wagonjwa...
Wakati Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mawenzi ikikabiliwa na ongezeko kubwa la watoto wachanga, hasa wale wanaozaliwa kabla ya kufikia muda kamili wa ujauzito (njiti), Mpango wa NEST360 kwa kushirikiana na Wizara ya Afya umekabidhi vifaa tiba na wodi maalumu zenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 217...
MBUNGE MAVUNDE AKABIDHI JENGO LA KUPUMZIKIA WANANCHI HOSPITAL YA RUFAA YA DODOMA
▪️RC Senyamule ampongeza kwa jengo na uanzishwaji wa ujenzi wa uzio
▪️Rais Samia apongezwa kwa maboresho makubwa ya huduma ya Afya
▪️Wananchi wamshukuru Mbunge Mavunde kwa utatuzi wa changamoto ya muda mrefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.