tangazo

 1. Isaack Newton

  Ifanye gari yako ionekane mpya kwa kushonea roof, seat cover, dashboard n.k. check attachment hapo chini

  Habari wakuu.! Kama kichwa cha habari kinavyosema, tunashonea seat za magari zilizoharibika, dashboard zilizoharibika, roof za magari aina zote, kwenye milango ya magari. Tunapatikana salasala-Mbezi beach. Unaweza ukatucheki what's up au kutupigia moja kwa moja. 0679478758
 2. Pascal Mayalla

  Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari

  Wanabodi, Naangalia Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kipindi kinajadili Msiba wa Benjamin Mkapa. Tangazo la Msiba lililotolewa na Rais Magufuli, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu imelaumiwa kwa kutokumsaidia rais kikamilifu kutoa tangazo hili, hali inayotafsiriwa kuwa katika baadhi ya...
 3. Mwamba1961

  Tangazo la ajira: Technician Grade II

  EMPLOYERSHIRIKA LA MZINGA APPLICATION DEADLINE :2020-07-21 DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To operate, maintain and assist to repair production machines; ii. To assist to design and inspect products manufactured and other work to ensure they conform to specified standards, plus...
 4. Kapepo

  Tangazo la kukumbushia kunakili namba ya usaili

  Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawataarifu Wasailiwa wote walioorodheshwa katika tangazo lililotolewa tarehe 29 Mei, 2020 lenye Kumb.NaEA.7/96/01/K/208 linaonyesha Usaili unatarajiwa kuanza tarehe 06 hadi 17 Juni, 2020. Ambao nafasi za kazi walizoomba zimeoneshwa kuwa watafanya...
 5. Extrovert

  Vipi wake zetu wangekuwa kama mdada wa tangazo la Tigo?

  Laiti kama wake zetu wangekuwa na ukarimu wa namna ile mambo ya kupenda vipande yasingekuwepo. "Na ile elfu ninayosevu kila siku ndio nimetumia baabah!" Mwamba unaacha 10 unakula msosi wa elfu 15! 🤣🤣🤣 Ai wishi i kudu bi Haijipiii!!!
 6. A

  Tangazo la mnada wa nguo mpya la kitaifa

  Tangazo la mnada wa kitaifa Kampuni yenu pendwa ya online traders inafanya mnada wa nguo kwenye maduka yake yote Nguo za tishrt za v zitakuwa 7000 Kuanzia 100 6500 Changamka wahi ewe mfanyabiashara huu ndo wakati wako saiv Tunapatikana mtaa wa pemba na livingstone kariakoo Whatsapp or call...
 7. Singidan

  Uzi kwa ajili ya wanachuo wanauza assets zao ili wapate Ada ama nauli

  Tangazo kwa Wanachuo waliokula Ada. Tunanunua simu za wanazouza ili wajazie katika Ada na nauli zao za kurudi chuo. Mwanachuo weka tangazo lako usione aibu.... Kitaa pagumu na ndiyo may be ushakula Ada.
 8. J

  Inakuwaje CCM yenye wabunge zaidi ya 250 inashindwa kujitosheleza kwa sifa za uwaziri hadi hadi wanateuliwa wapinzani na akina Mwigullu kurudi tena?

  Kwa idadi ya wabunge wa CCM ambao ni zaidi ya 259 inashangaza kwanini wanashindwa kujaza nafasi zisizozidi 50 kwenye baraza la mawaziri. Imefika wakati Rais Magufuli amelazimika kumteua Mwita Waitara aliyekuwa Chadema kabla ya kuhamia CCM na pia kuwarejesha barazani mh Simbachawene na Mwigullu...
 9. Sandali Ali

  Kutokusoma vizuri tangazo la kazi kumesababisha vijana wengi kukosa kazi huku wana sifa za kupata kazi

  Ni takribani miaka 3 hivi nimekuwa nikiwasaidia vijana au ndugu wa karibu kuomba kazi katika taasisi mbalimbali hasa za umma. Nimejifunza mengi sana, nimeona challenges nyingi ila leo nitaongelea jambo moja tu. Jambo hilo ni kusoma tangazo la kazi kwa umakini na kulielewa. Wengi wakikuta...
 10. Mwanamayu

  Tangazo la Waziri Ummy Mwalimu juu ya Coronavirus (COVID-19) lirekebishwe kukidhi mazingira yetu

  Tangazo ni zuri na linatoa taadhari kitaalam, lakini kuna baadhi ya mazoea ya baadhi ya watanzania ambayo yaweza kuzidisha COVID-19 kusambaa yanakosekana. Wana-sosiolojia walitakiwa kushirikishwa katika kuandaa hilo tangazo. Mfano, kuna lile kundi la vijana wavuta sigara kugoneana sigara...
 11. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Tangazo la kujiunga na vyuo vya maendeleo ya Wananchi

  Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatangaza nafasi za kujiunga katika Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDC) kwa mwaka 2020. Sifa za Mwombaji ni mwananchi yeyote mwenye nia ya kupata ujuzi na maarifa mbalimbali. Aina ya Mafunzo yanayotolewa ni: 1. MAFUNZO YA UFUNDI STADI- NGAZI YA I, II...
 12. P

  Nimepoteza cheti changu cha kuhitimu kidato cha nne

  JAMANI NAOMBA KWA YEYOTE YULE ATAKAYE OKOTA KUSIKIA AU KUWA NA CHETI CHA FORM 4 CHENYE JINA PETRO NATAL KIJUNGA NAOMBA TUJULISHANE KWA NAMBA 0629268795/0757658264
 13. K

  Tahadhari kwa wapenda kula matunda wote, juweni kuna homa ya ini

  Katika kula tunda, kuna kuanza kwa kula denda, kulamba chumvi, kulamba dushe, na hatimae kula tunda, na katika kula tunda kuna kutoka jasho, na mwisho kabisa kuna kumwaga majimaji kwa wote wawili. Tangazo ni hili, hivi sasa kuna homa ya INI, hii huambukizwa kwa kugusana ama kuachiana majimaji...
 14. GENTAMYCINE

  Je, Serikali kupitia Wizara ya Afya na TBS wana taarifa kuhusu tangazo la ‘kitapeli‘ la Dawa ya Kumfanya Mtu aachane na Ulevi?

  Tangazo hilo linachezwa sana Wasafi fm (sijajua kwa Vituo vingine vya habari). Tangazo hilo linalosema kwamba hii dawa ya Hans Maks (naomba radhi kama nimeiandika vibaya) ukimpa tu Mtu Mlevi wa pombe ambaye ameshindakana kwa kila namna hasa ile ya ‘kimaombi‘ basi ukimpa hii Dawa ndani ya dakika...
 15. Rockcity native

  Wazee wenzangu wa kuweka mzigo (Kubet) - karibuni tubashiri mechi za leo!

  Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi) 2+ (katika mechi...
 16. S

  Namna na Kusoma China Bure.

  Ndugu zangu wana jamvi..hii nimeiona kwa rafiki yangu ambaye anasoma China tangu mwaka jana, aliweza kupata scholarship ya kusoma china kupitia hawa jamaa wanajiita SMAI SCHOLAR, Instagram @smaischolar_ wana bei nafuu sana mnoo katika kutoa huduma zao ukilinganisha na mawakala wengine ambao...
Top Bottom