Search results

  1. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Kassim Majaliwa akwea pipa kuelekea Japan kumzika ABE

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo Jumamosi, Septemba 24, 2022 kwenda Tokyo, Japan ambako atamwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mazishi ya ya kitaifa ya Waziri Mkuu mstaafu wa nchi hiyo, Shinzo Abe. Taratibu za kutoa heshimaza mwisho zinatarajiwa kufanyika Jumanne...
  2. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Mrusi wa Buza: Barua ya wazi kwa Rais Putin

    Habari za hapo Moscow Urusi, mimi niko poa kabisa hapa Buza kwa Mparange. Lengo la kukuandikia barua hii ni kuonesha masikitiko yangu kwa kile kinacho endelea hapo Ukraine. Mimi Mrusi wa Buza niliwaaminisha watu mtaani kwangu kuwa tunaweza kuichakaza Ukraine kwa siku 3 tu kama ulivyo tuahidi...
  3. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Tangu Ahmed Ally aje Msimbazi timu yetu haijawahi kuifunga timu ya Yanga

    Mara yamwisho tumeifunga Yanga kule kigoma kwenye FA goli 1 bila, wiki hiyo mgogoro wa Manara na Barbra ulikuwa kwenye peak. Baada ya Manara kwenda Yanga, kijana machachari Ahmed Ally akaja Simba. Sasa tangu aje Simba hatujawahi kuifunga Yanga mara 5 mfululizo, binafsi nahisi huyu mwamba ana...
  4. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Ebola Yazuka Uganda: tujiandae kwa chanjo?

    Wizara ya Afya ya Uganda imethibitisha kuzuka kwa Ugonjwa wa Virusi vya Ebola (EVD) nchini humo baada ya kijana mwenye umri wa miaka 24 mkazi wa Kijiji cha Ngabano wilayani Mubende kufariki dunia huku vipimo vikionyesha alikuwa na dalili za Ugonjwa huo. Chanzo: ITV
  5. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Ulinzi Shirikishi/ Polisi Jamii ni kuwasumbua Wananchi

    Katika mambo ya kipuuzi ambayo jeshi letu la polisi linayafanya ni hiki kitu kinaitwa ulinzi shirikikishi. Sote tunajua maisha ya watanzania yalivyo, unakuta kijana anayejishughulisha na shughuli za kilimo jioni anarudi nyumbani hoi halafu unamtaka aingie mtaani eti kufanya doria ili kukomesha...
  6. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Uzi maalumu wa maoni yenye lengo la kukomesha Panya Road nchini

    Usalama wa raia na mali zao ni jambo muhimu sana katika maisha, hivi karibuni wimbi kubwa la uhalifu limerejea likihusisha makundi ya vijana wadogo ambao huvamia, kujeruhi/kuua na kupora mali za watu. Inaonesha intelijensia ya jeshi la polisi kanda maalumu Dar es Salaam imefeli kabisa kuzuia...
  7. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Pendekezo: Taifa Stars iitwe Mandonga Stars

    Kwanza nimefurahishwa sana na matokeo ya leo kati ya timu ya Uganda na Taifa Stars. Kwanini Taifa Stars tusiite Mandonga Stars jamani kwa matokeo makubwa zaidi?
  8. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Rais Samia ana mkosi?

    Tangu aingie madarakani nchi imekumbwa na hali ya ukame, mwaka huu mavuno yamegoma karibu nchi nzima na tayari bei za mazao zimepanda sana hatujafika hata mwezi wa 10. Mbaya zaidi jana TMA wametabiri kuwa msimu wa mvua utakao anza mwezi November utakuwa na mvua za chini ya kiwango na huenda...
  9. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    TANZIA Ajali yaua 5 na kujeruhi 36 Shinyanga

    Breaking News Watu watano wamepoteza maisha hapo hapo na wengine 36 wamejeruhiwa vibaya kwenye ajali iliyohusisha basi la kampuni ya Najmunisa T 413 DAY kugongana uso kwa uso na Fuso T 123 DJH katika eneo la Ibadakuli Shinyanga. Mzee Kinana kama nakuona vile Chanzo: ITV ==== Update Watu...
  10. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Uzi wa kura huru kuhusu Tozo mbalimbali zilizoanzishwa na Serikali

    Kwa muda mfupi iliyodumu serikali ya awamu ya 6, zimeanzishwa Tozo mbalimbali kwaajili ya kuongeza makusanyo ya Serikali. Je unadhani tozo hizo ziendelee au serikali itafute namna nyingine ya kukusanya mapato? Kura yako ni muhimu. Ikumbukwe kuwa Rais Samia aliwaambia Wawekezaji kuwa yuko...
  11. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Aliyetangaza Agosti 23 kuwa siku ya Mapumziko kwa ajili ya Sensa hakufikiria?

    Kwa mujibu wa Mama Anne Makinda, Zoezi litaendelea kwa Siku 7, yaani endapo hukufikiwa Leo, utafikiwa siku zijazo, sasa ni nini mantiki ya kupumzika leo? Tumeambiwa tupumzike ili tupate muda wa kuona picha za viongozi wakihesabiwa? Haya kesho inafika saa 11 tunaingia barabarani kupambana na...
  12. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Pendekezo: Serikali ilipie Gharama za internet na TV Siku ya Sensa 2022

    Kama kweli inatupenda itulipie kesho gharama za internet ili tutumie tuwezavyo siku nzima pia ilipie vifurushi vya premium vya Tv kwenye visimbuzi vyote ili tusiboreke kuwasubiri makarani. Vinginevyo tutapata stress tushindwe kujibu maswali kwa ufasaha. Tafadhali mama hebu jaribu kutudekeza...
  13. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Ajali mbaya Inyala Mkoani Mbeya, idadi ya waliofariki yafikia watu 19

    Ajali mbaya imetokea katika eneo la Inyala mkoani Mbeya baada ya lori la mafuta kufeli breki na kugonga basi la abiria na gari ndogo na kusababisha vifo vya watu kadhaa na majeruhi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo. --- Watu nane wamefariki...
  14. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Singida: Watu 6 wafariki kwa ajali ya gari

    Ajali mbaya iliyo husisha gari dogo aina ya Raum imetokea wilayani Mkalama katika mkoa wa Singida. Chanzo cha ajali ni mwendo kasi. Mzee Kinana nilikwambia kupitia uzi fulani hapa, kazi iendelee. ======== Watu sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Raum...
  15. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    The Hidden Tanzania: Filamu itakayofuata baada ya The Royal Tour

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ndugu Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni nyota wa filamu ya Tanzania The Royal Tour ameahidi kuja na filamu nyingine itakayoitwa The Hidden Tanzania. Rais Samia amesema filamu hiyo italenga kuonesha vivutio ambavyo havikuonekana katika filamu yakwanza...
  16. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Mzee Kinana Umetukataza Kukagua Taa za Magari Mchana, Sawa Tumekuelewa

    Baada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa. Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.
  17. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Bugati: Tupo tayari kwa lolote Kutoka kwenu ikiwapendeza mtushushe hata madaraja kumi

    Tupo tayari kwa lolote Kutoka kwenu ikiwapendeza mtushushe hata madaraja kumi Ila hatupo tayari kwa maamuzi yenu ya kuikandamiza Yanga kila siku. Kuna kesi ngapi za Yanga zipo mezani kwao hadi leo hatujapata ushirikiano wowote Kutoka kwao.Tupo tayari ikimpendeza atupeleke kabisa Fifa. MY TAKE...
  18. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Yah: Ombi la tenda ya Kubandua nembo kwenye jezi za Simba

    Kwanza nawapa pole watani kwa chupli chupli nyingi klabuni kwenu. Kwakuwa changamoto ni fursa, naomba ule mzigo wa jezi zenu muulete kwangu niwasaidie kubandua nembo za mdhamini wenu wa awali ili tuweke nembo ya mdhamini wa B26 zenye utata. Mods msifute Uzi huu mpaka mtani wangu Barbra ausome...
  19. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Nasikitika kutangaza kuwa CHADEMA na ACT hawana uwezo wa kuongoza nchi.

    Nasikitika kwasababu ukweli ni kuwa mabadiliko kwenye hii nchi yanaweza kuletwa na kiongozi wa CCM tu kama alivyojaribu JPM kwa muda alio hudumu kama Rais. Nje ya CCM hakuna chama chenye uwezo wala mpango wa kuchukua hii nchi, hakipo labda kama kitatokea huko mbele. Kwahiyo watanzania poleni...
  20. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Kiongozi wa namna hii hatufai

    Ukiwa na kiongozi ambaye anaacha huru wanasiasa (hasa wapinzani) kufanya siasa kwa uhuru ila akafeli kwenye 1. Kudhibiti mfumuko wa bei. 2. Kudhibiti nidhamu ya watumishi wa Umma. 3. Kudhulumu maskini kwa kuanzisha tozo lukuki kisa kashindwa kukusanya kodi halali kwa makampuni makubwa. 4...
Back
Top Bottom