mandonga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Karim Mandonga achakazwa, apigwa kwa TKO Raundi ya 6

    Bondia Karim Mandonga amepoteza pambano dhidi ya Mada Maugo kwa kupigwa katika Raundi ya 6 kwa TKO kwenye pambano lililofanyika Mkoani Morogoro. Ngumi iliyopigwa kwenye kidevu katika pambano hilo la Raundi 6 ilimfanya Mandonga apoteze mwelekeo, ndipo mwamuzi Pendo Njau akaingilia na kumaliza...
  2. Uzalendo wa Kitanzania

    Bondia Karim Mandonga apigwa Knockout na bondia Maugo

    Wadau hamjamboni nyote Ni usiku huu Mandonga aokolewa na refa round ya mwisho wa mchezo
  3. Clever505

    Matokeo ya Mandonga pale zenji jana mbona mi sijayaelewa?

    Kwa uelewa wangu mdogo wa boxing baada ya kuufatilia ni kwamba, Points zinapotangazwa mfano 56 kwa 59 bila kutaja majina ni kwamba yule bondia aliyeingia mwanzo points zake ni zile zinazotajwa mwanzo na zinazotajwa mwisho ni za bondia wa mwisho kuingia. Na hata majina yanavyoandikwa kwenye tv...
  4. BARD AI

    TPBRC: Mandonga hajafungiwa kupigana

    Rais wa Kamisheni inayosimamia ngumi za kulipwa Tanzania (TPBRC) Chaulembo Palasa amesema Bondia Mtanzania Karim Mandonga hajafungiwa kama inavyoripotiwa na baadhi ya Vyombo vya Habari bali sheria za ngumi nchini zinamtaka Bondia yoyote atayepoteza pambano kwa KO au TKO kabla ya kurudi ulingoni...
  5. GENTAMYCINE

    Bondia Mandonga adhibitiwe kauli zake za kihuni zisije kuchafua Mchezo wa Ngumi

    "Nimepigwa na huyu Bondia Golola kwakuwa nimegundua ni Mganga wa Kienyeji, kwani nilikuwa naona mauzauza tupu ulingoni. Leo mnaniletea Mganga wa Kienyeji ipo siku mtaniletea hata majini ili kupigana nami sitaki jamani." Amesema Bondia Mandonga jana baada ya kupigwa kwa KO na Bondia Fundi Moses...
  6. aleesha

    Serikali mnusuruni Mandonga

    👉Pambano la Mandonga Zanzibar lifutwe 🙅 Hivi kweli Chama cha Ngumi Tanzania viongozi wao wanaelewa vyema sheria za mchezo huo? Ndugu zangu Watanzania bara na visiwani, hivi kweli Mandonga anastahili kuangaliwa tu na kuachwa acheze mchezo huo,bila kuzingatia hali yake? Kwanini Mtanzania huyu...
  7. Petro E. Mselewa

    Kiukweli, Mandonga hakutendewa haki

    Jana nilifuatilia, kwa kutazama runingani, pambano la ndondi kati ya bondia Karim Mandonga wa Tanzania na Golola Moses wa Uganda. Lilifanyika kule Mwanza. Pambano lilimalizika kwa Mandonga kupigwa kwa TKO raundi ya tatu ya pambano. Hii TKO ndiyo niliyoiona ina walakini na kutotendewa haki kwa...
  8. USSR

    Mandonga case study: Je Ni sahihi kwa bondia kupigana mara mbili ndani ya mwezi mmoja?

    Kwa wataalam wa ndondi hebu mtusaidie hili, Mandonga alipigana wiki mbili zilizopita nchini Kenya akapigwa TKO lakini leo Tena amepigana pale mwanza akapigwa Tena kwa KO yaani ndani ya mwezi mmoja tu bondia anapigana Mara mbili tena mapambano makubwa namna hii. Chama Cha ngumi Cha Tanzania...
  9. R

    Serikali mtafutieni Mandonga kazi yakufanya: vipigo anavyopata tutampoteza

    Mandonga alindwe, awekewe ulinzi asiingie ulingoni Ni aibu ukawa na mwili mkubwa vile then ukawa unapigwa tu kila siku. Ngumu anazopigwa na huyu Mganda zinaitwa Kideath beeper; hizi ngumu siyo nzuri maana zinaweza kugeuka death zisipodhibitiwa. Mpeni kazi huyu mzee bado tunamuhitaji
  10. Teko Modise

    Nyota ya Mandonga imeanza kufifia, sasa ni zamu ya Zumaridi na DJ Ally B

    Bondia wetu Mandonga taratibu anaanza kutoka nje ya reli. Ule umaarufu wake umeanza kupotea kiaina. Yeye sio wa mwanzo wala sio wa mwisho katika watu walioibuka na ku-vibe kisha kupotea. Huko nyuma alishawahi kuwepo babu wa loliondo, nabii tito, pierre likwidi, Dr. Shika na wengineo wengi...
  11. Erythrocyte

    Mandonga mtu kazi akutana na Godbless Lema

    Bondia maarufu wa Tanzania, Mandonga, amepata bahati ya kukutana na Mwanasiasa Mashuhuri mwenye koneksheni kubwa Duniani, Godbless Lema. Wawili hao wamebadilishana mawili matatu na bila shaka sasa tutarajie pambano kabambe la Mandonga Ulaya au America. Tunawatakia kila la heri.
  12. happyxxx

    Mkutano wa CHADEMA VS Mapokezi ya Mandonga: Kwa nini Mandonga kapata watu wengi zaidi?

    Wiki hii kumekuwa na matukio mawili yaliyokusanya watu. Tukio la kwanza ni la bondia Mandonga ambaye alipokellewa na maelfu ya watu wa Morogoro. Tukio lingine ni mkutano wa Chadema uko Mwanza ambao mwenyekiti alitoa hotuba akiwa chakali. Kilichoshanzaga watu ni Mandonga kupata watu wengi...
  13. JanguKamaJangu

    Karim Mandonga alivyopokelewa kwenye ofisi za Balozi wa Tanzania Nchini Kenya

    Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dkt. John Simbachawene amekutana na bondia Mtanzania Karim Mandonga na kumpongeza kwa ushindi wake dhidi ya bondia wa Kenya, Daniel Wanyonyi katika pambano lililofanyika Jumamosi nchini Kenya.
  14. NetMaster

    Kwa hesabu za makadirio hata kama Mandonga kalipwa milioni 5 kwa pambano lake la ufunguzi bado kapunjwa mno, atafutiwe Meneja upesi

    Kumbuka pambano la Mandonga halikuwa pambano kuu, lilikuwa ni pambano la ufunguzi tu hivyo pesa aliyopewa inaweza isifikie hata iliyotajwa/ Pambano lilijaza nyomi ya wakenya zaidi ya elfu 6 waliojaza ukumbi wa KICC jijini Nairobi. Kwa wale ambao hawakuweza kufika hasa wa Mombasa, Nakuru...
  15. sinza pazuri

    Sallam SK: Mandonga usisindikize watu kwenye utajiri

    Baada ya kuwa na pambano lenye mafanikio supastaa namba tatu wa sport Tanzania Karim Mandonga amepewa ushauri wa bure na Sallam. Hii ni baada ya habari za nyuma ya pazia kuwa Ndonga kalipwa kiduchu licha ya kufanya pambano lenye ecosystem ya zaidi ya mil 400 za kibongo na yeye akiwa ndio...
  16. B

    Mandonga ameshinda kwa TKO, watanzania tuache roho mbaya

    Uzushi umekuwa mwingi nchi hii. Kwanini unamuombea mwenzio mabaya. Pambano la mandonga ndio limekuwa main fight na kufanyika usiku wa manane, Ila mida ya saa nne watu walianza uzushi kuwa amepigwa. Unafiki na uongo ni kitu kibaya sana No information, no right to speak
  17. NetMaster

    MANDONGA ashinda pambano la Kenya baada ya bondia wa Kenya Daniel WANYONYI kusalimu amri ya kukataa kuendelea pambano raundi ya sita

    maoni ya wakenya The Mandonga Effect I don't remember a Kenyan Boxing match with such attendance and energy. Perhaps in the Robert Napunyi Wangila era Supreme Hype Master Don King has nothing on this guy Ni kwasababu ya Mandonga leo hii wakenya wamejaa kuja kushuhudia ngumi, Sikumbuki pambano...
  18. OKW BOBAN SUNZU

    Kenya: Kareem Mandonga Mtu Kazi ashinda kwa TKO dhidi ya Daniel Wanyonyi

    KENYA: MANDONGA AMCHAKAZA MKENYA KWA TKO Bondia Mtanzania Kareem Mandonga amefanikiwa kupata ushindi huo wa TKO dhidi ya Daniel Wanyonyi katika pambano la uzito wa kati ‘Super-middleweight’ Kabla ya pambano hilo, Mandonga alisema atamchakaza mpinzani wake huyo kwa ngumi ya Sugunyo ambayo...
  19. SAYVILLE

    Mandonga anaongelea kumpiga mpinzani wake ngumi za tumboni?

    Karim Mandonga pamoja na kujizolea umaarufu katika mchezo wa ngumi, lakini wadau mbalimbali wanaona hautendei haki au kuupa heshima mchezo huo. Jana nilikuwa naangalia clip moja akiwa Kenya katika maandalizi ya pambamo lake. Wakati anazungumza na waandishi, akasema mpinzani wake akipata ngumi...
  20. MK254

    Mandonga ametua Kenya, huyu jamaa huchekesha sana

    Jamaa amepata mashabiki Kenya kimzaha mzaha, tambo zake yaani, huwa namfatilia sana. Mandonga mtu kazi tuko nawe kwenye hili, uzalendo pembeni, ukipigwa ni kama umepiga. ================ Amekuja na ngumi inaitwa Sugunyo ambayo imetoka Ukraine kwa mlipuko wa mabomu. Tanzanian boxer Kareem...
Back
Top Bottom