ulinzi shirikishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imezinduliwa, ianze na wale wanatumia taarifa za watu kwenye Vifungashio

    Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Mwaka 2022, ilianza kutumia rasmi Mei 01, 2023 na Tume inayosimamia Ulinzi wa Taaarifa Binafsi japo ilianza kufanya kazi tangu Mei 2023, imezinduliwa jana na Rais wa Samia Suluhu Hassan. Najua Tume ina kazi nyingi za kufanya hasa kwa wakati huu ambapo ndio...
  2. S

    Je, Ulinzi Shirikishi ni suala la lazima?

    Ivi wadau ulinzi Shirikishi ni suala la kulipia kwa ulazima? Maana mimi nilipo nimeajiri walinzi kutoka kwenye kampuni binafsi lakini kumekuwa na watu kutoka Serikali za Mitaa kunjlazimisha mimi kutoa pesa za ulinzi shirikishi wakati mimi tayari eneo langu lina walinzi saaa 24...
  3. Lady Whistledown

    Juma Nature: Tunalipa michango ya Ulinzi Shirikishi, kwa nini bado tunaibiwa Mitaani

    Kupitia akaunti yake katika Mtandao wa Instagram, Mwanamuziki Juma Nature amepost Video akizungumzia suala la Ulinzi Shirikishi maarufu kama Sungusungu au Makamanda na Usalama wa Mitaani Nature amehoji kuwa kwanini licha ya Wananchi kuchangishwa fedha za Ulinzi, bado vitendo vya Wizi wa Mitaani...
  4. MWAISEMBA CR

    Je, ulinzi shirikishi ni biashara haramu?

    ✳️JE ULINZI SHIRIKISHI NI BIASHARA HARAMU!? 🔜JE, NI NANI MWAJIRI WA HAWA POLISI JAMII, NA JE WAPO KISHERIA NA MAFUNZO YAO WAMEYATOA WAPI!? 🔜KWANINI WANANCHI TULIPIE ULINZI SHIRIKISHI WAKATI TUNALIPA KODI!? 🔜NA IKIWA TUNALIPIA, JE POLISI JAMII WATAWAJIBIKA KUTULIPA FIDIA IKIWA WAMESHINDWA...
  5. Roving Journalist

    Mbeya: Kikundi cha Ulinzi Shirikishi Kata ya Ifumbo chafanya kazi Kidigitali

    Wananchi wa Kata ya Ifumbo iliyopo Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wametakiwa kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi kupitia Mkaguzi Kata hiyo pamoja na kikundi cha ulinzi shirikishi kilichopo ili kuzuia uhalifu. Akizungumza Januari 29, 2024 katika hafla ya kupokea na kukabidhi vitendea kazi vya...
  6. JanguKamaJangu

    Serikali ya Mtaa Kawe: Kweli kuna kundi la Wahalifu wanatumia kivuli cha Ulinzi Shirikishi, wanatuchanganya sana

    Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Mzimuni, Kata ya Kawe, Raiya Nassoro akifafanua kuhusu matukio ya Uhalifu maeneo ya Kawe katika eneo la Tanzania Packers. Mtaa huo una Ulinzi Shirikishi ukiwa umegaiwa katika Mitaa saba, moja kati ya maeneo hayo ni eneo la National Housing, ni kubwa lakini...
  7. JanguKamaJangu

    Dar: Wahalifu wadaiwa kutumia jina la ‘Ulinzi Shirikishi’ kufanya uhalifu maeneo ya Tanganyika Packers

    Wakazi wa Mtaa wa Kawe Jijini Dar es Salaam, wameliomba Jeshi la Polisi Nchini kuongeza ulinzi hasa nyakati za jioni katika maeneo ya Tanganyika Packers ikidaiwa kuongezeka kwa vitendo vya ukabaji na unyang’anyi wa kutumia silaha mbalimbali hususani za jadi. Ikidaiwa kuwa wahusika wanaofanya...
  8. H

    Naomba kujua utaratibu wa kuanzisha ulinzi shirikishi kwenye shina

    Ninaomba kujua taratibu kuanzisha ulinzi shirikishi kwenye shina letu. Kisheria, je ni lazima kujiunga?
  9. JanguKamaJangu

    Naunga mkono wanaokataa kutoa ushirikiano kwa Ulinzi Shirikishi wachukuliwe hatua na wapelekwe Mahakamani

    Huku mtaani kwetu suala la ulinzi shirikishi ni kama limekuwa linachukuliwa poapoa hivi, kuna wengine wao wanajiona wapo salama labda kutokana na mazingira yao ya nyumba zao kuwa na geti au kuwa na walinzi. Wengine wanaona ni ubahiri kutoa fedha kwa vijana au watu wanaofanya kazi ya kulinda...
  10. JanguKamaJangu

    Kijitonyama: Wananchi wanaokataa kulipia ulinzi shirikishi kupelekwa Mahakamani

    Maamuzi hayo yanatarajiwa kufanywa na Serikali ya Mtaa wa Bwawani Kata ya Kijitonyama, Dar es Salaam kwa wale watakaokaidi kulipa kutoa ushirikiano kwa ulinzi shirikishi. Mwenyekiti wa Bwawani, Felicianus Kamkala amesema “Wapo baadhi ya raia wanaotaka kuleta mgomo wa kuchangia fedha za motisha...
  11. samwel phanuel

    Naomba kufaham mambo kadhaa kuhusu ulinzi shirikishi

    Naomba kufaham mambo kadhaa kuhusu ulinzi shirikishi wanaosimama kama walinzi wa msaada jamii 1) Hawa walinzi shirikishi wanareport kwa nani je? Kwenye jeshi la polisi ngazi ya kituo cha polisi au Ofisi yq uhamiaji ? 2)Uhalali wa utendaji kazi wao na jinsi wanavyopatikana hadi kuingia kufanya...
  12. Tajiri Kichwa

    Ulinzi shirikishi pia ni chanzo cha kuongezeka kama matukio ya wizi “panya road”

    Ulinzi shirikishi naweza sema ni moja ya chanzo cha panya road. Wengi wanakua watu waliojikatia tamaa na maisha, wahuni wahuni wanalipwa ujira kuzurura usiku. Hii ni fursa kwao wanachora ramani ya mtaa kwa ajili ya matukio kupitia wenzao. Ulinzi shirikishi ni chanzo maana mtu unaweza kutana na...
  13. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Ulinzi Shirikishi/ Polisi Jamii ni kuwasumbua Wananchi

    Katika mambo ya kipuuzi ambayo jeshi letu la polisi linayafanya ni hiki kitu kinaitwa ulinzi shirikikishi. Sote tunajua maisha ya watanzania yalivyo, unakuta kijana anayejishughulisha na shughuli za kilimo jioni anarudi nyumbani hoi halafu unamtaka aingie mtaani eti kufanya doria ili kukomesha...
  14. Mawematatu

    Wenyeviti wengine sikio la kufa. Wiki imekwisha hata kuitisha vikao vya ulinzi shirikishi wamegoma

    Serikali inafanya kazi yake, watendaji wanatushangaza Sana. Alianza Mh Rais akasema waache. Wakavamia kunduchi. Lahaullah! Mkuu wa mkoa ametangaza jeshi la police likawataka wakuu wa vituo na wananchi washirikiane, Cha ajabu Kuna mitaa imekaa kimya. Kwa mtaa nilipo mie hata wakija Leo...
  15. E

    Bonyokwa Dar - Mwenyekiti wetu wa mtaa hataki kuanzisha ulinzi shirikishi wananchi hatuna lu kumfanya

    Tumepiga kelele weee kwa kutizama yanayotukia mitaa mingine ya dar, tukimsihi mwenyekiti kuanzisha ulinzi shirikishi mtaani kwa wasio na mda wa kulinda kuchangia na wasiopenda kuchangia kupangiwa zamu za kulinda wenyewe wala mwenyekiti hana habari. Tunaomba viongozi watusaidie kinga ni bora...
  16. D

    Tujuzane Je, Mbinu gani mnatumia kuwalipa ulinzi shirikishi mtaani kwenu ili kuepuka upigaji?

    Ulinzi shirikishi ni jambo zuri sana! Maeneo ya vijijini limeonyesha kufaulu kwa asilimia kubwa kutokana na watu wake kujitolea au kupangwa kwa zamu! Tatizo kubwa la ulinzi shirikishi mjini una harufu ya upigaji! Kuna wakati huwa nashawishika kuamini huenda PANYA ROAD ni PROJECT? Kwasababu...
  17. kajekudya

    Mkuu wa kituo Mabwepande huyo Mama uliyemuweka ndani kisa mchango wa ulinzi shirikishi Tsh. 15,000 kwa mwezi, ipo siku utalipa

    Umeshirikiana na kiongozi wa CCM mnamnyanyasa huyo Mama. Tena mtumishi wa Serikali kisa Tsh. 15000/= za ulinzi shirikishi. Yaani kweli kila mwezi mtu alipe Tsh.15,000/= tena kwa Walinzi ambao hata hajui Kama wanalinda. Najua mnataka kugeuza kesi. Lakini ipo siku utalipa nakuapia. UPDATE: Mama...
  18. exalioth

    Nimemkamata mwizi wa Taa (balbu) usiku wa leo

    Inashangaza na inaskitisha... Ilikua ni majira ya usiku saa saba na ushee usinigzi uligoma kabisa nilikuwa naumwa, tumbo lilikuwa linasokota nikatoka nje kuskilizia maumivu, sasa nikiwa nmekaa kwenye maua yaliyostawi niliona kwa jirani yangu taa za nyumba yake zimeanza kuzima moja baada ya...
  19. Erythrocyte

    Wananchi kuweka Mageti ya ukaguzi mitaani ni ishara ya kushindwa kwa Jeshi la Polisi

    Sasa hivi maeneo mengi ya Mkoa wa DSM wananchi kwa umoja wao wameamua kuajiri walinzi binafsi na kuweka Vizuizi vya ukaguzi kwenye mitaa, ukifika kigamboni au Mbezi Beach ni lazima wenyeji wako wathibishe ujio wako mbele ya walinzi , vinginevyo utaishia njiani . Pamoja na pongezi hizi kwa...
  20. B

    IGP Sirro anapopingana na Dhana ya Ulinzi Shirikishi

    Kamanda Sirro amekuwa akijinasibu kuhamasisha watu na ulinzi shirikishi. Sirro amekuwa akihimiza kuwa: "ushirikishwaji watu katika maeneo yao ndiyo njia pekee ya kuumaliza kabisa uhalifu katika maeneo husika." Kamanda Sirro amekuwa akieleza zaidi kuwa, wahalifu wote wanajulikana katika jamii...
Back
Top Bottom