ebola

  1. Selikavu

    Nimezuiliwa kuingia hospitalini kisa ebola

    Habari za Asubuhi wakuu Leo nimejiimu mapema nikamwone Mgonjwa Hospitali ya wilaya ya Nyamagana Mwanza .. Cha ajabu nimezuiliwa na walinzi kwamba mtu anayeruhusiwa kuingia ni Mwenye chakula cha mgonjwa tuu ili kuepuka maambukizi ya ebola Swali langu limekuja je serikali imeshatoa tamko...
  2. Elli

    Marbug ni hatari kuliko Ebola. Serikali isiweke siasa

    Nilikua napitia kwenye mtandao kuona tofauti ya Marbug na Ebola, nikakutana na hii kitu hapa chini. Marburg hemorrhagic fever is a severe and highly fatal disease caused by a virus from the same family as the one that causes Ebola hemorrhagic fever. Both diseases are rare, but can cause...
  3. B

    Tunapoichukulia poa Ebola hata kuiita majina yasiyojulikana ni hatari

    Tumekumbwa gonjwa hatari lenye kuuwa hadi 90% ya wahanga. Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola. "Kwamba tumependa kutoliita koleo kwa jina lake." Maajabu ya Mussa. Tangu lini uswahilini neno Marburg...
  4. Mystery

    Ugonjwa unaodaiwa na Wizara ya Afya, ulioua watu 5, unaweza kuwa ni Ebola?

    Imetolewa taarifa na wizara ya Afya na Profesa Tumaini Nagu kuwa huko Bukoba vijijini, katika Kata ya Maruku na Kanyangereko, kumetokea ugonjwa usiojulikana, ambao dalili zake ni kutoka damu mfululizo, kwenye sehemu mbalimbali, ikiwemo puani, hadi Figo zinazshindwa kufanya kazi, uliosababisha...
  5. BARD AI

    WHO yaitangaza Uganda kuwa haina tena ugonjwa wa Ebola

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limefikia maamuzi hayo ikiwa ni baada ya Siku 113 tangu Ugonjwa huo ulipoingia nchini humo na kusambaa katika maeneo ya jiji la Kampala huku ukisababisha vifo 55. Katika kukabiliana na maambukizi, Rais Museveni aliziweka kwenye vizuizi Wilaya mbili za Mubende na...
  6. JanguKamaJangu

    Uganda: Majaribio chanjo ya Ebola yakwama kwa kukosekana wagonjwa

    Wataalam wa Afya wanasema hali hiyo ya kukosa wagonjwa wapta tangu Novemba 2022 imewafanya kushindwa kutoa chanjo aina tatu za majaribio zilizotua nchini humo hivi karibuni. Maambukizi ya ugonjwa huo kupitia Kirusi cha ‘Sudan strain’ yamesababisha vifo vya watu 55 tangu mlipuko ulivyoanza...
  7. BARD AI

    Uganda: Wizara ya Afya imesema mgonjwa wa mwisho wa Ebola ameruhusiwa kutoka Hospitali

    Wizara ya Afya imetangaza taarifa hiyo na kueleza hali ya matumaini ya kufanikiwa kuudhibiti ugonjwa huo ulioathiri watu 142 na kuua wengine 56 imerejea nchini humo. Afisa Kutoka Wizara ya Afya, Diana Atwine ameandika pia kupitia Twitter "Ninafuraha kutangaza kwamba tumemruhusu mgonjwa wa...
  8. BARD AI

    Visa vya Ebola vyapungua nchini Uganda

    Wiki tatu zijazo ni muhimu kwa Uganda kudhibiti Ebola kufuatia kupungua kwa maambukizi mapya kwa mara ya kwanza ndani ya siku 10. Iwapo hali hiyo itaendelea, nchi inaweza kufurahia likizo "huru" za Krismasi baada ya takriban miezi miwili ya vizuizi kwa watu kutoka wilaya za Mubende na Kassanda...
  9. JanguKamaJangu

    Uingereza: Uchunguzi wafanyika kubaini kama kuna mgonjwa wa Ebola

    Sehemu ya eneo la Hospitali ya Colchester ilifungwa kwa muda kutokana na mgonjwa kuonekana ana dalili za awali za ugonjwa huo huku akiwa na historia ya kutembelea Bara la Afrika. Inaelezwa mgonjwa huyo alipata homa kali na akawa anavuja damu katika sehemu za mwili wake. Ikiwa itabainika kweli...
  10. JanguKamaJangu

    Uganda: Rais Museveni adai wanaidhibiti Ebola

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amewahakikishia watalii na wageni kuwa maambukizi ya Ebola yanadhibitiwa na hawana haja ya kusitisha kuitembelea Nchi hiyo Amesema kuna watalii walisitisha ratiba ya kwenda Uganda na wengine kuhamisha shughuli zao walizotakiwa kuzifanya Nchini humo. Ameeleza...
  11. DodomaTZ

    Huyu hapa Komediani anayetoa elimu ya Virusi vya Ebola kwa njia ya mabango barabarani

    Comedian ANTON KAMONGA ambaye amekuwa akisambaza ujumbe wake wa mada mbalimbali kwa njia ya mabango, akionesha mabango yenye kutoa elimu kuhusu Virusi vya Ebola Pia soma: Ugonjwa wa EBOLA: Asili, Dalili, Usambaaji na Kinga dhidi yake
  12. BARD AI

    Wanafunzi 8 wafariki kwa Ebola Uganda, Serikali kuzifunga shule zote

    Baraza la Mawaziri limeridhia Shule kufungwa Novemba 25, 2022 ikiwa ni baada ya wanafunzi 23 kupata maambukizi ya Ugonjwa huo. Mke wa Rais Museveni ambaye pia ni Waziri wa Elimu amesema hatua hiyo itapunguza mikusanyiko ya watoto kukutana na wenzao, walimu na wafanyakazi wengine wanaoweza...
  13. BARD AI

    CDC yatoa Tsh. Milioni 181 kukabili Ebola, kipindipindu mipakani

    Serikali ya Marekani kupitia Kituo cha kudhibiti na kuzuia magonjwa cha Marekani (CDC), imekabidhi vifaa vya teknolojia ya habari na mawasiliano (Tehama) vyenye thamani ya Sh181.1 milioni kwa ajili ya ufuatiliaji wa magonjwa katika mipaka ya Tanzania. Vifaa hivyo ni pamoja na kompyuta za...
  14. BARD AI

    Uganda: Virusi vya Ebola vyazidi kusambaa Kampala

    Serikali ya Uganda ipo katika presha kubwa ya kusambaa kwa Virusi vya #Ebola baada ya wanafunzi 6 kukutwa na maambukizi jijini hapo. Idadi hiyo inafanya jumla ya waliokutwa na maambukizi #Kampala kufika 15 kwa mujibu wa Waziri wa Afya, Jane Ruth Aceng ikiwa ni siku chache tangu Serikali...
  15. BARD AI

    Maambukizi ya Ebola yafikia watu 14 Kampala ndani ya saa 48

    Waziri wa Afya Jane Ruth Aceng ameripoti ongezeko la Wagonjwa 9 waliothibitishwa kuwa na Ebola jijini humo na kufanya jumla ya wagonjwa kufikia 14 ndani ya saa 48 zilizopita. Usambaaji wa kasi wa Ebola jijini Kampala umezusha hofu kwa raia kuwa huenda Rais Museveni akatangaza hatua kali za...
  16. JamiiForums

    Ugonjwa wa EBOLA: Asili, Dalili, Usambaaji na Kinga dhidi yake

    UGONJWA WA EBOLA ULIANZA VIPI NA WAPI? Ebola Virus Disease - EVD (Ugonjwa wa Virusi vya #Ebola) awali ulijulikana kama Ebola haemorrhagic Fever. Ni ugonjwa wenye madhara makubwa kwa Binadamu ikiwamo kusababisha kifo ikiwa haujatibiwa Ebola kwa mara ya kwanza ilionekana mwaka 1976 katika...
  17. BARD AI

    Wahudumu 5 wa Afya wamefariki kwa Ebola hadi sasa, Rais Museveni atangaza Karantini ya siku 21 kwenye wilaya hatarishi

    Kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Afya, Dkt. John Grace Walugembe anakuwa mhudumu wa 5 wa Afya kufariki kutokana na ugonjwa huo uliosababisha vifo 20 na maambukizi kufikia watu 58 Katika kukabiliana na kasi ya maambukizi Rais Yoweri Museveni ametangaza kuziweka Karantini ya siku 21 wilaya 2 za...
  18. BARD AI

    Rais Museveni apiga marufuku waganga wa jadi kutibu Ebola

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni siku ya Jumatano aliamuru waganga wa kienyeji kuacha kuwatibu wagonjwa katika jitihada za kukomesha kuenea kwa ugonjwa wa Ebola, ambao tayari umegharimu maisha ya watu 19 nchini humo. Katika hotuba yake kwa taifa, kiongozi huyo mkongwe pia aliagiza maafisa wa...
  19. JanguKamaJangu

    Wasafiri Stand ya Magufuli (Dar es Salaam) kupimwa maambukizi ya Vizuri vya Ebola

    Serikali imeweka kituo maalum cha ufuatiliaji wa ugonjwa wa Ebola kwa abiria wanaotoka mikoa ya mipakani mwa Tanzania na nchi jirani katika kituo kikuu cha mabasi cha Magufuli jijini Dar es Salaam. Akizungumza na EATV mratibu wa huduma za maabara kutoka Manispaa ya Ubungo Nalimi Nacharo...
  20. JanguKamaJangu

    Kampala: Kifo cha kwanza cha Ebola charipotiwa

    Hiyo ni mara ya kwanza tangu mlipuko wa Ugonjwa wa #Ebola kuripotiwa kuanza Nchini Uganda, Septemba 2022 ambapo kifo cha mtu huyo kinafanya waliofariki kwa Ebola kufikia 19. Baada ya kuanza kuonesha dalili alianza kupata matibabu kwa dawa za kienyeji badala ya kwenda hospitali, alifikwa na...
Back
Top Bottom