Mzee Kinana Umetukataza Kukagua Taa za Magari Mchana, Sawa Tumekuelewa

Mlikuwa mkikamata hizo gari na taa zisizowaka mlikuwa mnazizuia zisiendelee na safari au ndio mlikuwa mnaishia kukunja na watu wanaendelea kupiga gia.

Hizo trekta na hayo matatizo ya taa ni matatizo na hivyi vicheche vipo kila siku, zile power tilla usiku zinakuwaga na taa moja mbele huku zinavuta tela pana barabarani na mlikuwa hamuwafanyi kitu.
 
mlikuwa mkikamata hizo gari na taa zisizowaka mlikuwa mnazizuia zisiendelee na safari au ndio mlikuwa mnaishia kukunja na watu wanaendelea kupiga gia.

Hizo trekta na hayo matatizo ya taa ni matatizo na hivyi vicheche vipo kila siku, zile power tilla usiku zinakuwaga na taa moja mbele huku zinavuta tela pana barabarani na mlikuwa hamuwafanyi kitu.
Sawa hatukuwa na lolote zaidi ya kupokea rushwa, futeni kitengo kabisa.
 
Baada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa.

Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.
Shida ni kwamba hamjitambui. Wewe unafanya kazi chini ya kinana? Au umeajiriwa na kinana? Sasa kwanini anawapangia jinsi ya kufanya kazi?
 
Japo ni kweli mnlikuwa na changamoto zenu na pia kupenda sana ela ila kwenye sula la usalama barabarani bado kuna shida kubwa saana yaani tanzania bora tu ujue kuendesha gari hayo mengine kila mtu anatumia utashi na akili zake, jifunzeni kutoka hata rwanda mbona hana ajali za kipuuzi kama tanzania.
 
Sawa hatukuwa na lolote zaidi ya kupokea rushwa, futeni kitengo kabisa.

Acha hasira kinana kaongea vizuri tu ndugu yangu Kwa mfano apo daslamu kuendesha gari ni kero kubwa aise. Yani kila chochoro mmejaa ndugu zanguni sio vizuri aise!!! Na mnasaidia ila atlist ukikaguliwa mara moja basi sasa kila kituo unasimama unasimamishwa ni kero mkuu wangu
 
Baada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa.

Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.
Pole sana kwa kubadilishwa.

Mnatakiwa kutoa elimu zaidi kuliko kukusanya pesa barabarani.

Maelfu ya madereva hawajui sheria za barabarani kwa kuwa wamepoata leseni kwa njia za ujanja, kupiga faini hakuwapi elimu ya usalama njiani hivyo akilipa faini anarudia makosa yaleyale.
 
Elimu tunatoa sana, tatizo mnatuona sisi ni vilaza na wala rushwa unamsimamisha mtu unampa elimu yeye anakupa elfu 5 hujamwomba ila ameamua tu anaona kama unamsumbua vile Sasa mtu kama huyo wewe ungemsaidiaje?
 
Back
Top Bottom