Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama, amepandishwa cheo na kuwa Kamishna wa Polisi, pamoja na kuteuliwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuwa Kamishna wa Polisi Jamii.
Kamishna Mkama ameapishwa rasmi leo, tarehe 26 Machi 2026, na...