Kiongozi wa namna hii hatufai

Nasema Uongo Ndugu Zangu

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
279
773
Ukiwa na kiongozi ambaye anaacha huru wanasiasa (hasa wapinzani) kufanya siasa kwa uhuru ila akafeli kwenye
1. Kudhibiti mfumuko wa bei.
2. Kudhibiti nidhamu ya watumishi wa Umma.
3. Kudhulumu maskini kwa kuanzisha tozo lukuki kisa kashindwa kukusanya kodi halali kwa makampuni makubwa.
4. Kufukuza watu kwenye maeneo yao asilia kupisha wawekezaji wakigeni.
5. Kuteua watu wenye kashfa kubwa za wizi, ufisadi na ubadhilifu wa fedha za serikali.
6. Mwoga na asiyetayari kufa kwaajili ya kuwatetea watu wake.
7. Anayeshindwa kutatua changamoto za watu wake Kwa kutumia njia yoyote hata kama itawachukiza mabeberu mf. Kuagiza mafuta na ngano toka Urusi maana Urusi wamesema wako tayari kuuza bidhaa hizo Africa bila kuongeza chajuu.

Ukiona kiongozi hawezi mambo hayo basi huyo hatufai hata kama ataruhusu tumnange.

TUNAHITAJI CHUMA AMBACHO HAKIAMBILIKI KAMA PUTIN ILI TUVUKE.
 
Sisi huwa tunajibu hivi 👇
IMG-20220726-WA0060.jpg
FB_IMG_1659129551024.jpg
FB_IMG_1659129542351.jpg
Screenshot_20220802-205444 (1).png
Screenshot_20220804-092517.png
Screenshot_20220804-140428.png
Screenshot_20220804-134220.png
Screenshot_20220801-203007.png
Screenshot_20220801-203258.png
Screenshot_20220801-142444.png
 
Ukiwa na kiongozi ambaye anaacha huru wanasiasa (hasa wapinzani) kufanya siasa kwa uhuru ila akafeli kwenye
1. Kudhibiti mfumuko wa bei.
2. Kudhibiti nidhamu ya watumishi wa Umma.
3. Kudhulumu maskini kwa kuanzisha tozo lukuki kisa kashindwa kukusanya kodi halali kwa makampuni makubwa.
4. Kufukuza watu kwenye maeneo yao asilia kupisha wawekezaji wakigeni.
5. Kuteua watu wenye kashfa kubwa za wizi, ufisadi na ubadhilifu wa fedha za serikali.
6. Mwoga na asiyetayari kufa kwaajili ya kuwatetea watu wake.
7. Anayeshindwa kutatua changamoto za watu wake Kwa kutumia njia yoyote hata kama itawachukiza mabeberu mf. Kuagiza mafuta na ngano toka Urusi maana Urusi wamesema wako tayari kuuza bidhaa hizo Africa bila kuongeza chajuu.

Ukiona kiongozi hawezi mambo hayo basi huyo hatufai hata kama ataruhusu tumnange.

TUNAHITAJI CHUMA AMBACHO HAKIAMBILIKI KAMA PUTIN ILI TUVUKE.
Mkuu, umeshasahau mara hii mazuri yote ya "royal tour" na kufikia hata kiwango cha kuilinganisha na hifadhi mpya ya Burigi!?
 
Kuhusu mfumuko wa bei huwa tunawacheka😬😬 na kusema mnapiga siasa njaa tuu maana Tanzania hakuna mfumuko wa bei ukilinganisha na wenye mfumuko wa bei..

Cheki hapa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220731-141140.png
    Screenshot_20220731-141140.png
    90.5 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220719-153021.png
    Screenshot_20220719-153021.png
    58.8 KB · Views: 4
Ukiwa na kiongozi ambaye anaacha huru wanasiasa (hasa wapinzani) kufanya siasa kwa uhuru ila akafeli kwenye
1. Kudhibiti mfumuko wa bei.
2. Kudhibiti nidhamu ya watumishi wa Umma.
3. Kudhulumu maskini kwa kuanzisha tozo lukuki kisa kashindwa kukusanya kodi halali kwa makampuni makubwa.
4. Kufukuza watu kwenye maeneo yao asilia kupisha wawekezaji wakigeni.
5. Kuteua watu wenye kashfa kubwa za wizi, ufisadi na ubadhilifu wa fedha za serikali.
6. Mwoga na asiyetayari kufa kwaajili ya kuwatetea watu wake.
7. Anayeshindwa kutatua changamoto za watu wake Kwa kutumia njia yoyote hata kama itawachukiza mabeberu mf. Kuagiza mafuta na ngano toka Urusi maana Urusi wamesema wako tayari kuuza bidhaa hizo Africa bila kuongeza chajuu.

Ukiona kiongozi hawezi mambo hayo basi huyo hatufai hata kama ataruhusu tumnange.

TUNAHITAJI CHUMA AMBACHO HAKIAMBILIKI KAMA PUTIN ILI TUVUKE.
Mwaka na nusu tangu kifo cha JPM kitokee naona wewe bado umevaa nguo nyeusi, matanga hujayamaliza.
 
Wapumbavu tu ndiyo huandika comment za namna hii.
Ni mpumbavu na mshenzi asiejua hili wala lile hana mbele wala nyuma..shwain kabisaa..watu tunaongelea mambo ya mana huyo fala analeta ukabila kwenye mambo nyeti kwa nchi..mijitu kama hii ni kula chuma tuu..shit
 
Kuhusu tozo huwa tunasema umieni hadi mnune Ili wale wa Vijijini wasio na huduma za Afya wafurahie maisha..

Na huwa tunawaonyesha matokeo ya tozo kama hivi 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220730-172556.png
    Screenshot_20220730-172556.png
    204.9 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220730-075101.png
    Screenshot_20220730-075101.png
    126.7 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220730-074637.png
    Screenshot_20220730-074637.png
    158.4 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220713-194118.png
    Screenshot_20220713-194118.png
    155.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220719-201445.png
    Screenshot_20220719-201445.png
    265.4 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220705-200624.png
    Screenshot_20220705-200624.png
    139.5 KB · Views: 4
Ni sahihi, lakini watanzania wapo tayari kufanya maamuzi magumu 2025? Na kulinda maamuzi yao? , Ni nani mwingine wa kumpa gari atupeleke sehemu tunayoitamani?
 
Mengine ni blaa blaa zisizo na msingi za Sukuma gang ila Kuhusu Mapato huwa tunawaonyesha rekodi tuu 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220704-082537.png
    Screenshot_20220704-082537.png
    113.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220704-082656.png
    Screenshot_20220704-082656.png
    43 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220801-203258.png
    Screenshot_20220801-203258.png
    100.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220804-182324.png
    Screenshot_20220804-182324.png
    194 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220804-182316.png
    Screenshot_20220804-182316.png
    128.8 KB · Views: 2

Similar Discussions

Back
Top Bottom